instagram story viewer > #MUNGU

#MUNGU

Posts
Askofu Dr Josephat Gwajima anatarajia kutoa uamuzi juu ya mali za kanisa zilizochukuliwa | 13.09.2026
Naizdaa mungu zeelsen hunii duu #animofestival
Wachezaji mganga mungu mitishamba imani
This song has blessed me so much😭👇🏽 Yupo Mungu mbinguni (There is a God in Heaven) Asikiaye maombi yetu (Who hears our prayers) Yupo Mungu mbinguni (There is a God in heaven) Ayajibuye maombi yetu (Who answers our prayers) Tunaopoomba, asikia, anajibu (When we pray, He hears and He answers) Tunapoomba, asikia maombi yetu (When we pray, He hears our prayers) Tunaopoomba, asikia, anajibu (When we pray, He hears and He answers) Tunapoomba, asikia maombi yetu (When we pray, He hears our prayers) Usikiye maombi (The One who hears our prayers) Ujibuye kwa moto (The One who answers with fire) Bwana, u mwaminifu (Lord, You are faithful) #kenyagospel #kenyanmusic #worshipwithme #tanzaniagospel #swahiliworship
𝐤𝐢𝐟𝐨 𝐡𝐚𝐤𝐢𝐤𝐨𝐬𝐢 𝐦𝐢𝐚𝐝𝐢 Kila mmoja wetu ana mipango, ndoto na malengo ya kutimiza. Lakini kuna ukweli mmoja ambao hakuna anayeweza kuukwepa—kifo hakichagui umri, mali, cheo wala umaarufu. Ndiyo maana usiahirishe kuishi maisha yenye maana. Usiahirishe kuwaomba msamaha uliowakosea, kuwasamehe waliokukosea, kuwathamini wazazi, familia na watu wanaokupenda. Kesho haijaahidiwa kwa yeyote. Wengi huishi kana kwamba wana miaka mia mbele yao, mpaka siku wanapogundua muda umekwisha. Usisubiri tukio la kusikitisha ndipo uanze kuthamini kila siku uliyopewa. Ukipoteza nafasi ya kufanya jambo jema leo, huenda usipate nafasi nyingine tena. Ishi kwa hekima, pendana na watu, mtangulize Mungu, na tumia kila siku kana kwamba ni zawadi ya mwisho uliyopewa. 👉Usikose post kama hii — bonyeza follow @fikrachanya_tz sasa hivi. . . . #FikraChanya #Mindset #faith #Mungu #Hekima LifeLessons
We kuweza..we unayapa asilimia ngapi aya maombi?🙌maana mi nimeshindwa kujizuia kucheka ila naomba mungu anisamehe kwa hili 😂🙌
Mungu anitunzie wewe 🙌🙌📌 @ahaz.k ❤️❤️
Nikamwimbie Mungu😁🙌
1. Unaendelea kumuomba Mungu akupe jibu ambalo tayari ameshakuonyesha. Unaomba, “Mungu, nionyeshe nifanye nini,” lakini ndani yako tayari unajua anachokuweka moyoni. Wakati mwingine si kwamba Mungu hasemi; tunangoja jibu tunalolitaka. 📖 Yohana 10:27 — “Kondoo wangu huisikia sauti yangu… nao hunifuata.” 2. Unajisikia unatakiwa kubadilika, lakini unaendelea kutoa visingizio. Unajua unatakiwa kuacha tabia, uhusiano au jambo fulani, lakini unaendelea kulihalalisha. Wakati mwingine hatumsubiri Mungu aseme — tunasubiri akubaliane na uamuzi wetu. 📖 Yakobo 1:22 — “Msiwe wasikiaji wa neno tu… bali watendaji.” 3. Unaendelea kupata ujumbe uleule, lakini unauita coincidence. Andiko lilelile, mazungumzo yale yale au ujumbe unaendelea kukufikia. Usijiulize tu, “Kwa nini naendelea kuona hili?” Jiulize: “Je, niko tayari kubadilika?” 📖 Warumi 12:2 — “Mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu.” 4. Unamuomba Mungu akuongoze, lakini unachagua kile kinachokufanya ujisikie salama. Unataka mapenzi ya Mungu, lakini unapohitajika kuchukua hatua kwa imani, unaogopa. 📖 Mithali 3:5–6 — “Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe.” 5. Unapata amani unapompelekea Mungu jambo, lakini hofu inakuzuia kutii. Unaomba, unapata amani, lakini baadaye unaanza kusema: “Vipi kama mambo hayataenda vizuri?” Wakati mwingine si kwamba hujasikia. Ni kwamba hofu imekuwa na sauti kubwa kuliko utii wako. 📖 2 Timotheo 1:7 — “Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu, ya upendo na ya moyo wa kiasi.” ❤️🙏🏽 #God #Faith #Christianity #Prayer #GodsVoice TrustGod ChristianMotivation BibleVerse FaithOverFear GodsPlan SpiritualGrowth JesusChrist
“Mwenyezi Mungu awajaalie watoto wa kiume ambao hamjaoa awajaalie muoe. Na nafasi kama inaruhusu chukua chuma cha kwanza, cha pili, cha tatu, hadi cha nne. .... Kama hauna mtaji wa maisha njoo uchukue kwangu” - Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Abbas bin Ramadhan akiwaombea vijana wasiooa kupata wake. Credit: Wasafimedia
Tumia umri wako kwaajili ya kazi za Mwenyezi Mungu, kama Sheikh Nurdin Kishki.. ndiyo maana Sheikh Walid anampenda sana! Masha Allah.. #zanzibar #reelsinstagram #trending #mawaidha #trendingreels #reels #tanzania #mawaidhayenyemanufaa #trendingreelsvideo #viral #millardayoupdates #aqupdates #aqonlinetv
🥺🙏🏽🙌🏽 WAKATI WA MUNGU 😭😭
back to up