Maisha ni mafupi sana tupendane rest well Teacher Asante sana kwa mchango wako na support โค๏ธ๐๐พ pumzika kwa amani @d.e.l.u.x__
@tanzania_dance tutakukumbuka Daima
ZUCHU ANA MOYO WA CHUMA!โ โค๏ธโ๐ฅ โTANASHA ALISHINDWA, MIMI NISINGEWEZA!โ ๐ณ ZARI ALIVYOAMPA ZUCHU SIFA ๐ฏ BAADA YA NDOA YAKE NA DIAMOND
Baada ya mjadala mkubwa kuhusu maisha ya @diamondplatnumz na Zuchu, mfanyabiashara na mzazi mwenza wa Diamond, Zari The Boss Lady, amewahi kutoa mtazamo wake kuhusu uhusiano huo.
Kupitia mahojiano yake na @millardayo , Zari amesema anamwona Zuchu kama mwanamke mwenye uvumilivu mkubwa, kiasi cha kusema anastahili โtuzo ya Girlfriend Bora wa Mwaka.โ
๐ โMimi nisingeweza.โ
Kwa mujibu wa Zari, kuna mambo ambayo Zuchu ameyapitia kwenye uhusiano wake na Diamond ambayo yeye binafsi asingeyaweza kuvumilia.
๐ Mfano wa Tanasha Donna.
Akieleza mtazamo wake, Zari amesema hata Tanasha Donna hakudumu kwenye mazingira kama hayo, jambo ambalo kwake linaonyesha kuwa kila mtu ana kiwango chake cha kuvumilia changamoto za mahusiano.
๐ Ushauri kwa Diamond.
Pamoja na hayo, Zari amesema anafurahia kuona Diamond ameoa na amemtaka aijenge familia yake kwa utulivu. Ameongeza kuwa asingependa binti yao, Tiffah, aje kupitia changamoto zinazofanana na hizo siku zijazo.
๐ Co-parenting kwanza.
Zari pia amesisitiza kuwa kwa sasa yeye na Diamond wana uhusiano mzuri wa kulea watoto wao pamoja, huku kila mmoja akiendelea na maisha yake.
Je, unaamini uvumilivu ndio siri ya kudumu kwa mahusiano ya watu maarufu, au kila mtu ana mipaka yake ambayo haipaswi kuvukwa? ๐๐พ๐ฌ
#Zarithebosslady
#Zuchu
#DiamondPlatnumz
#TanashaDonna
#insideoutz
AYA NDO MAISHA YETU USIJE UKAIGA ATA SKUMOJA UTAPOTEA
Aunty Ezekiel amefunguka kuhusu mabadiliko kwenye maisha ya mahusiano na utaratibu wa zamani wa kupenda wanaume wakubwa ki umri.
#AuntyEzekiel #trending #bongomivie #entertainment #limmyip
Miongoni mwa Watanzania waliorejea nchini kutoka Afrika Kusini amesema anajisikia furaha kurejea Tanzania baada ya kukaa kwa muda nchini humo.
Kijana huyo amesema maisha nchini Afrika Kusini si rahisi kwa wageni, akibainisha kuwa tofauti za elimu na hali ya uchumi ni miongoni mwa mambo yanayochangia kuwepo kwa tofauti za kitabaka katika jamii.
Alfajiri ya leo, Septemba 4, 2026, kundi la Watanzania limewasili nchini likitokea Afrika Kusini.
Kundi jingine la Watanzania linatarajiwa kuwasili nchini mchana wa leo, Ijumaa, Septemba 4, 2026.
Comment kitu ambacho Huwezi kuja sahau kwenye maisha yako tuone, Afu jmn Mme wangu huwa ananisaidia kuosha pia maana mmejua kumsema ๐๐๐๐คฃamekuwa baba atu ila nyie ๐๐๐คฃ๐๐ป#fypageใท #instagood #tanzania #inspiration #kenya
Wakati mwingine maisha huandika hadithi ambazo hata maneno yanashindwa kuzisimulia.
Jana alikuwa tumboni, leo tayari anafungua ukurasa wake wa kwanza wa mafanikio.
Wengi wanamuona kama mtoto mchanga, lakini sisi tunaona ndoto mpya, tumaini jipya, na kizazi kipya cha washindi. Kabla hata hajaanza kutembea, tayari amepata nafasi yake ya kwanza kama balozi wa brand.
Ni ukumbusho kwamba umri si kigezo cha ukubwa wa ndoto. Safari ya mafanikio inaweza kuanza siku ya kwanza ya maisha.
Moyo wetu umejaa shukrani kwa sababu Manunu alipata nafasi ya kushuhudia kusainiwa kwa dili hili kabla hajatuaga. Aliona mwanzo wa hadithi hii, alishuhudia ndoto hii ikianza kutimia, na hilo ni jambo ambalo tutalibeba milele mioyoni mwetu.
Karibu duniani baby Ollie. Safari yako inaanza kwa wema, neema, upendo na fursa zisizo na mwisho.
We love you baby Ollie.โค๏ธ @babyollie_oscar
Cc @beatricendungu
Tizama hadi mwisho .Ukicheka nakublock:๐๐๐.Ila Tajiri wa Katoro Gsm.Wewe Mungu akupe maisha marefu.
#HABARI Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto, amempongeza Isaya Yunge, mwanaume anayetarajiwa kumuoa binti yake Charlene Ruto, akimsifu kwa ujasiri wake na kumtakia safari njema katika hatua hiyo mpya ya maisha.
Rais Ruto alitoa pongezi hizo wakati wa sherehe ya uchumba wa binti yake Charlene Ruto, iliyofanyika nchini Kenya tarehe 8 Agosti 2026.
โ๐ฟ @mariamshabanitz
#taimediatz #taimediatv
Tuishi maisha ya kishua leoooo ๐
๐
๐
๐
Unanipa maksi ngapi maisha ya ushuani?
#tanzania
@annsmhrn_ โค๏ธโจ
Mua @lilis_salon_makeupstudio
Hijab style @amhe_maisha_makeup
Attire @lilis_salon_makeupstudio
Henna @ayu.hennamakassar
๐ค๐ข๐๐จ ๐ก๐๐ค๐ข๐ค๐จ๐ฌ๐ข ๐ฆ๐ข๐๐๐ข
Kila mmoja wetu ana mipango, ndoto na malengo ya kutimiza. Lakini kuna ukweli mmoja ambao hakuna anayeweza kuukwepaโkifo hakichagui umri, mali, cheo wala umaarufu.
Ndiyo maana usiahirishe kuishi maisha yenye maana. Usiahirishe kuwaomba msamaha uliowakosea, kuwasamehe waliokukosea, kuwathamini wazazi, familia na watu wanaokupenda. Kesho haijaahidiwa kwa yeyote.
Wengi huishi kana kwamba wana miaka mia mbele yao, mpaka siku wanapogundua muda umekwisha. Usisubiri tukio la kusikitisha ndipo uanze kuthamini kila siku uliyopewa.
Ukipoteza nafasi ya kufanya jambo jema leo, huenda usipate nafasi nyingine tena. Ishi kwa hekima, pendana na watu, mtangulize Mungu, na tumia kila siku kana kwamba ni zawadi ya mwisho uliyopewa.
๐Usikose post kama hii โ bonyeza follow @fikrachanya_tz sasa hivi.
.
.
.
#FikraChanya #Mindset #faith #Mungu #Hekima LifeLessons