Acha sasa nitoke kwa msitu….wewe sasa utajua kilicho mnyoa kang’a manyoa….yaani unasaahu adi mroko wako …ati mother-in-law ….huyo goshodo nazama na yeye laivvvv…nimejaaa ngori na itakua mbayaaaaa
Msitu wa Amazon Rainforest unaenea zaidi ya kilomita za mraba milioni 5.5 kote Amerika Kusini, ukiwa msitu mkubwa zaidi duniani.
Ufuniko wake wa miti ni mkubwa na wenye tabaka nyingi kiasi kwamba chini ya 1% ya mwanga wa jua hufika kwenye ardhi, na kufanya sehemu ya chini kuwa na mwanga hafifu hata mchana.
Msitu huu una tabaka nne kuu: tabaka la juu (emergent), ufuniko (canopy), tabaka la kati (understory), na sakafu ya msitu, kila moja ikiwa na mfumo wake wa viumbe hai.
Wanasayansi wanaamini kuwa maeneo makubwa ya Amazon bado hayajachunguzwa na binadamu, na viumbe vipya vinaendelea kugunduliwa kila mwaka.
Msitu huu unaishi takriban 10% ya viumbe wote duniani, ukiwemo makabila ambayo hayajawahi kuwasiliana na ulimwengu wa nje. Pia huzalisha takriban 20% ya oksijeni ya dunia na kuchakata maji kwa kiwango kikubwa kiasi cha kuunda mfumo wake wa hali ya hewa.
Amazon si msitu tu ni mfumo hai unaosaidia kudumisha uhai wa sayari nzima.
──────────────
Tufuatilie kwenye page zetu za Mitandao ya kijamii @byteview_tz lakini pia 🔴 Youtube yetu BYTEVIEW kupata habari motomoto
──────────────
#ByteView #viral #reels #trending #updates
✍🏽 | @mgomijr
Ulimwengu Uliofichwa Katika Amazoni… Haujaguswa na Maisha ya Kisasa 🌿😳 Unashuhudia kitu ambacho karibu hakuna mtu amewahi kuona... Ndani kabisa ya msitu mkubwa wa Amazon, mbali na miji, barabara, na teknolojia ya kisasa, wanaishi makabila ambayo hayajawasiliana - jumuiya ambazo zimesalia bila kuguswa kwa maelfu ya miaka. Kwa video adimu zilizorekodiwa na BBC, tunapata mtazamo wa mbali kuhusu ulimwengu wao - zilizorekodiwa kwa uangalifu kutoka juu ili kuhakikisha usalama wao na wetu. Hawajawahi kutumia simu mahiri. Kamwe uzoefu miji ya kisasa. Hatujawahi kuwa sehemu ya ulimwengu tunaoujua. Badala yake, wanaishi kwa maelewano kamili na asili - kuwinda kwa pinde na mikuki, kujenga makao rahisi, na kufuata mila iliyopitishwa kwa vizazi. Rangi yao nyekundu ya kuvutia hutoka kwa mbegu za mmea wa annatto - rangi ya asili iliyo na mizizi katika utamaduni wao. Lakini mtazamo huu pia unakuja na jukumu ... Kugusana kunaweza kuwa hatari, kwani hata magonjwa ya kawaida yanaweza kusababisha hatari kubwa kwa jamii zilizojitenga. Ulimwengu fulani haukusudiwi kubadilishwa - kuheshimiwa tu. 🌍 . . #Msitu waMvua wa Amazon #Dunia Siri #Maisha ya Ukabila #RareFootage #Utamaduni Asili ⚠️ Kanusho: Video hii si mali yetu. Salio zote huenda kwa watayarishi asili, ikijumuisha BBC inapohitajika. Imeshirikiwa madhubuti kwa madhumuni ya elimu, uhamasishaji, na habari. Hakuna mawasiliano au kuingiliwa na makabila yaliyotengwa kunahimizwa.
Zoezy ni ya kinyama…..nimeona kuna jamaa iko 73kg…alafu nikikuita ngeus unajam ….sasa umechokoza simba mseee….sai niko kwa msitu till 4th April na Nimejaa ngori
Sai naishi tuh kwa msitu na wanyama….Majembe wewe ile makosa kubwa umedo ni kuniita goshodo…mimi king of the jungle unaniita goshodo….itakua mbayaaaaa
Kama una msitu nyumbani au shambani kwako, tambua kuwa una mali; si kwa sababu tu unaweza kuvuna mazao ya misitu, bali pia kutokana na biashara ya uvunaji wa hewa ya ukaa kwa ajili ya kujipatia kipato.
Huko mkoani Kilimanjaro, Chuo cha Viwanda vya Misitu (FITI) kilichopo wilayani Moshi kimeanzisha programu ya mafunzo kwa jamii na wadau wa mazingira, inayolenga kuwapa mbinu na misingi ya biashara ya hewa ya ukaa.
Hewa ya ukaa huzalishwa kutokana na shughuli mbalimbali za kibinadamu, ikiwemo shughuli za viwandani, na huchangia ongezeko la joto duniani, ambalo husababisha athari kubwa za mabadiliko ya tabianchi.
Taarifa zaidi na Enos Masanja
Mhariri @claud_jm
#AzamTVUpdates
KISARAWE, Pwani: MCHEZO wa kupiga makasia maarufu kama 'boat kayak' ni muhimu kwani ni sehemu ya mazoezi ya mwili, burudani na kujiliwaza, sambamba na kusaidia kuibua fikra mpya.
Mchezo huu ni maarufu katika bwawa linalopatikana ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Pugu Kazimzumbwi @pugukazimzumbwi_forest_reserve ndani ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.
Je, ungependa kujaribu mchezo huu? 🚣♀️🌿
#HabarileoUPDATES
Howie, shujaa wa msitu, anarudi tena kukabiliana na hatari mpya baada ya Kabila la Panya kusababisha mgogoro mkubwa. Katika safari iliyojaa hila na vikwazo, anafichua mhusika mkuu nyuma ya machafuko.
Usikose Howie Explores kila siku jumatatu hadi ijumaa saa 12:00 jioni kupitia St.Kids
Mteja wa ANTENA:
🚀Lipia NYOTA - 11,000 tukubusti mpaka MAMBO - 17,000
🚀Lipia MAMBO - 17,000 tukubusti mpaka UHURU - 23,000
🚀Lipia UHURU - 23,000 tukubusti siku tano zaidi buree!
Mteja wa DISHI
🚀Lipia NYOTA - 11,500 tukubusti mpaka SMART - 23,000
🚀Lipia SMART - 23,000 tukubusti mpaka SUPER - 38,000
🚀Lipia SUPER - 38,000 tukubusti siku tano zaidi buree!
Lipia sasahivi usipitwe.
Bonyeza link kwenye Bio kupakua StarTimes ON kuangalia kiganganjani
#startimeson #stkids #startimescare #startimeson #startimescares @startimest StartimesTZ watoto
“Karibuni Hifadhi ya Taifa Rumanyika-karagwe ujionee Uzuri wa asili, msitu wa kiikweta, hewa safi na mandhari ya kuvutia,kijani cha msitu wa kiikweta kinachoipa Hifadhi yetu uzuri wa kipekee.”
📍Rumanyika–Karagwe, fahari ya asili ya Tanzania.”
#visitrumanyikakaragwenationalpark #visittanzania #rumanyikakaragwenationalpark #tanzaniaparks
Umwitu msitu hasaa 😎🚀
Great Experience @boogie_festivals
#Arusha #A-town #sound #live #music #love #energy #band #power #blessed #band #damiansoulmusic🚀 #grateful
See you nxt time beautiful people.
Katika kipindi cha Tanzania ya Kijani wiki hii, tutazungumzia faida za Msitu wa Mazingira Asilia na Msitu wa Kupandwa wa Rondo, uliopo Manispaa ya Mtama, mkoani Lindi.
Usikose kipindi hiki Jumamosi saa 12:30 jioni, na marudio ni Jumatatu saa 3:00 asubuhi hapa TBC1 au mtandaoni kupitia YouTube kwenye chaneli ya @tbc_online.
Chama Tawala. UDA. Broadbased.
Hapa ndio kuna Kichele. Maziwa. Kìroma.
Hapa ndio kuna form. Hapa ndio kuna miradi.
Hapa ndio kuna kupangwa.
Haturudi kwa msitu. Haturudi kwa kichaka. Ziii!!!
Raia wanataka nafasi. Wanataka kitoweo.
Raia wamekataa ukame. Wanataka msosi. Adui ni njaa.
Raia wanataka nafasi katika Serikali yetu: Kazi, Mboka, Nominations na Appointments.
Karibia, tutembee pamoja.
#TeamDNG
#KijanaNaKazi
#2Term!! ✌️✌️
Hon. Davidson DNG Ngibuini,
MCA, Woodley/Kenyatta Golf Course Ward.