instagram story viewer > #Sera

#Sera

Posts
Prachar karna shuru kardo sab 🦁 #sherabhai #explorepage✨ #jabalpur_city #jabalpuriya #fyp
#michuzitv_updates:-Wachimbaji wadogo wa madini mkoani Geita wameendelea kupongeza juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa maboresho makubwa yaliyofanyika katika sekta ya madini na kuleta matumaini mapya kwa vijana wanaotegemea uchimbaji kujipatia kipato. Kupitia sera rafiki za Serikali ya Awamu ya Sita, wachimbaji wengi sasa wanapata mazingira bora ya kazi, huduma muhimu pamoja na fursa za kiuchumi zilizoongeza uzalishaji na mapato yao. Vijana wa kikundi cha Mgusu Miners wameeleza kuwa ujio wa umeme katika eneo lao umeleta mabadiliko makubwa kwenye shughuli za uchimbaji kwa kupunguza gharama za uendeshaji wa mitambo na kuongeza ufanisi wa kazi hata nyakati za usiku. “Tunamshukuru sana Rais Samia kwa kutuletea umeme ambao umetupunguzia gharama kubwa za uzalishaji. Zamani tulikuwa tunapata hasara lakini sasa faida imeongezeka na kazi zinaendelea muda mrefu zaidi,” amesema Defau John, Makamu Mwenyekiti wa Mgusu Miners. Mbali na sekta ya madini, wananchi wa Geita wamesema maendeleo hayo yamefungua ajira na kuongeza mzunguko wa fedha katika jamii, hali inayosaidia vijana wengi kujikwamua kiuchumi. Kwa upande wake Meneja wa Mradi wa Mgusu Miners, Bw. Edwin Ernest, amesema ushirikiano mzuri kutoka katika taasisi za serikali umeondoa urasimu na kurahisisha upatikanaji wa vibali pamoja na huduma nyingine muhimu kwa wachimbaji. Wananchi hao wameeleza kuwa maono na uongozi wa Rais Samia umeendelea kuifanya sekta ya madini kuwa nguzo muhimu ya maendeleo kwa vijana na uchumi wa Mkoa wa Geita.
Susi Mentai🤤
#kaktus #toprak #gübre #bitki #sera
Katika kampeni za ubunge Jimbo la Isimani, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shaban Itutu, amepinga uingiliaji wa serikali katika kupanga bei za mazao ya wakulima, akisisitiza kuwa wanapaswa kuachiwa uhuru wa soko. Itutu amesema sera hiyo inawaathiri wakulima na kupunguza tija katika sekta ya kilimo, hivyo kuiomba serikali kuhakikisha kuna mazingira ya soko huru na lenye tija kwa wazalishaji. Aidha, ameilalamikia sekta ya afya akidai baadhi ya zahanati hufungwa mapema saa saba mchana, hali inayosababisha wananchi kukosa huduma muhimu za matibabu kwa wakati, akitaka hatua za haraka zichukuliwe kuboresha huduma hizo.
Nyawer Hendry Egod 😂
#بدلاات👧👩👗 #فساتين_سهره #بدلات_عرس #فساتين_ناعمه #بدلات_سهره
Ngikutin yang lagi ngetrend
Pambano Zanzibar skimming inaendelea wasiliana nasi sasa
Bila kiongozi ni tatizo zaidi kuliko kuwa na kiongozi, hata kama ni muovu. 🎧 Tupate kupitia masafa haya: 📍 105.3 FM – Tanga 📍 100.9 FM – Mwanza 📍 99.7 FM – Kigoma 📍 104.1 FM – Mtwara 📍 99.1 FM – Singida 📍 99.1 FM – Lindi 📍 99.1 FM – Manyara 📍 92.1 FM – Tabora #radiomaarifa #Update#Uongozi #AmaniNaUtulivu #NchiBilaKiongoziNiHatari #UongoziNiMsingi #MaendeleoYaTaifa #SiasaNaUongozi #Uwajibikaji #HakiNaUtawala #UongoziBora
Wachimbaji wadogo wa madini Mkoani Geita wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake kubwa za kuimarisha sekta ya madini nchini, hatua inayozidi kuwainua wachimbaji wadogo na kuleta matumaini mapya kwa vijana wengi wanaotegemea sekta hiyo kujikwamua kiuchumi. Kupitia sera zake rafiki kwa wawekezaji na wachimbaji wa ndani, maeneo mengi ya uchimbaji sasa yamekuwa na mazingira bora zaidi ya kazi na uzalishaji, Vijana Mkoani Geita wakimshukuru kwa kuwaongezea thamani kupitia mabadiliko makubwa ya sera na uwezeshaji wa serikali kupitia Vyama vya ushirika ambavyo vimesababisha Vijana wengi kuweza kuingia katika uchimbaji wa madini. Katika Mkoa wa Geita kupitia kikundi cha Mgusu Miners, vijana wanaojishughulisha na uchimbaji madini wameeleza kufurahishwa na namna serikali ya awamu ya sita ilivyoleta mageuzi makubwa katika shughuli za uchimbaji madini, ikiwemo kuboresha miundombinu, kutoa elimu kwa wachimbaji pamoja na kuongeza usimamizi wenye tija. Wamesema hatua hizo zimeongeza mapato kwa wachimbaji na kuchochea ukuaji wa uchumi wa maeneo yao. “Tunamshukuru sana Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa kutuletea umeme hapa umetupunguzia gharama kubwa ya umeme kwenye mitambo yetu hapa, sasa hivi tunatumia umeme mdogo na uzalishaji unakuwa mkubwa. Mwanzo faida ilikuwa ndogo au hasara mara nyingine lakini tangu umeme umekuja tunapata faida kwani sasahivi pia kazi tunafanya mpaka usiku.” Amesema Defau John, Makamu Mwenyekiti Mgusu Miners. Mbali na kuinua sekta ya madini, wananchi wa Geita wamebainisha kuwa uongozi wa Rais Samia umeendelea kufungua fursa mbalimbali za ajira na biashara zinazochochewa na maendeleo ya miradi ya uchimbaji. Hali hiyo imeongeza mzunguko wa fedha katika jamii na kusaidia kuboresha maisha ya wananchi wa kawaida pamoja na kutoa ajira kwa Vijana wengi katika Mkoa huo. #weruntogether #mwendokasiupdates
I will die on the hill that Carmilla and Sera are meant to parallel each other. #hazbinhotel #carmilla #sera #angelicballet
back to up