instagram story viewer > #TICD

#TICD

Posts
Katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa ya Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Januari 27, 2026, Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) imeadhimisha siku hii muhimu kwa kupanda miti mia moja huku ikilenga kupanda jumla ya miti mia tano mpaka kufikia mwishoni mwa wiki hii ambapo zoezi hilo limeongozwa na Dkt.Bakari George, Mkuu wa Chuo aliyeambatana na viongozi mbalimbali wa chuo, watumishi na Wanafunzi wanaosoma chuoni hapo. Kujua kwa ndani yaliyojiri, fuatilia makala haya. @ikulu_mawasiliano @maelezonews @maendeleoyajamii @gersonmsigwa @bakari.george2
MAPOKEZI YA ALLY KAMWE, AHMED ALLY KWA WANACHUO TICD ARUSHA USIPIME Wasemaji wa vilabu vya soka maarufu hapa nchini Tanzania Ally Kamwe wa Yanga na Ahmed Ally wa Simba wamewasili jijiji Arusha na kuzungumza na Wanafunzi wa Chuo cha maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) Lengo likiwa ni kuongeza hamasa michezoni pamoja na kuwatia moyo wanachuo hao. Wakiwasili kwa wakati mmoja chuoni hapo, Ahmed Ally na Ally Kamwe wamepokelewa na Mkuu wa chuo hicho Dkt. Bakari George Pamoja na Umati mkubwa wa wanachuo ambao ni Mashabiki wa Simba na Yanga. Dkt. Bakari George amesema lengo la ziara ya Wasemaji hao ni kuwa vijana hao wamekuwa na ushawishi mkubw akwenye jamii, eneo ambalo Kada ya Maendeleo ya jamii inawahitaji ili kuweza kuwahamasisha vijana kufanya vizuri kwenye kila Nyanja wanayopata nafasi. @profit_mmanga #WasafiDigital
KITUO CHA UTAFITI POLISI KUSHIRIKIANA NA TICD KULETA MABADILIKO YA UTENDAJI WA JESHI LA POLISI NCHINI Kituo cha Utafiti cha Jeshi la Polisi kilichopo Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam kwa kushirikina na Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) imeendelea na mafunzo awamu ya Pili kwa kundi la wanafunzi wa kozi ya uofisa ambayo yamelenga kuwajengea uwezo na maarifa mapya katika kupambana na ukatili wa kijinsia. Akiongea leo Agosti 07,2023 Mkuu wa kitengo cha utatifi cha Jeshi la Polisi kilichopo chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam (DPA) kamishna msaidizi wa Polisi ACP Ralph Meela amesema kuwa kazi kubwa ya kituo hicho ni kufanya tafiti na kushirikiana na Taasisi za Elimu ya Juu katika kuwaongezea uwezo maafisa maafisa na askari wa Jeshi hilo. Ameongeza kuwa tayari Zaidi ya Taasisi kumi zimeshafika chuoni hapo kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa maafisa wanafunzi na wakaguzi wasaidizi wa Polisi huku akimshuru Mkuu wa Jeshi hilo IGP Camillus Wambura kwa namna ambavyo amewaunganisha na Taasisi za elimu ya Juu katika kufanya maboresha ya utendaji kazi unaoendana na mabadiliko ya sayansi na Teknolojia. Kwa Upande wake mhadhiri msadizi kutoka Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru Elinami Nassari amebainisha kuwa ni muhimu Jeshi la Polisi kushirikisha Jamii na kuzielewa kwa kina Jamii ambazo wanakwenda kuzihudumia ambapo amewaomba maafisa hao wanafunzi kufahamu mila na tamaduni husika ili kutengeneza ushirikishwaji wa Jamii kikamilifu na wenye matokeo chanya. Nae Mwanafunzi wa kozi ya Uofisa Rose Mbaga amesema Mafunzo hayo kutoka Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru yamewaongezea uwezo na maarifa mapya katika mapambano dhidi ya ukatili ya kijinsia. Sambamba na hilo Mwanafunzi wa kozi ya Uofisa Issa Asali amewaomba wanafunzi wenzake mara watakapo maliza mafunzo yao ya Uofisa na kupangiwa kazi na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Kwenda kutumia njia rafiki walizofundishwa na wahadhiri Pamoja na wawezeshaji kutoka Taasisi ya maendeleo ya Jamii Tengeru. #WasadiDigital
Musa J. Musa from @tengeruinstitute shared what he achieved during his apprenticeship program at Dunia Salama Foundation. He said, 'I learned a lot of things that I didn’t study in the classroom. DUSAFO is the right place for #TICD Tengeru students to gain practical experience and learn new skills. After completing my field training, I feel inspired to establish my own organization. @mussa_mwaimu #Dusafotz Dusafo2025 #youth
Agreement signing between @HEBOConsult and Tengeru Institute of Community Development (TICD) @tengeruinstitute towards collaboration in the development of project management skills in Tanzania. During the occasion, #MartinHekeno, Director of #HEBOConsult shared his vision in building capacity for local professionals with global standards and practices of managing projects. On behalf of Tengeru Institute Community Development, Dr. #GeorgeBakari, the Dean of the Institute and Prof. #GeorgeKinyashi, Deputy Principal of #TICD highlighted the Institution's commitment to collaborate towards advancing skills in projects through research, training programs, and exchange programs for faculty and youth development. #HEBO #TICD #ProjectManagement #SkillsDevelopment #Excellence #Tanzania 🇹🇿
New project coming soon #ticd #theindiancircusdesign #spraypaintart #newproject @wallartindia @artist_onkar_555
Magauni ya mtumba tuko arusha tengeru Mkabala na chuo cha maendeleo ya jamii Bei ni 15,000-20,000#gauni #gauni #arusha #outfit #ticd #tengeru #tengeruinstituteofcommunitydevelopment
Strategic Management. 1. Planning 2. Implementing 3. Evaluating. Mastery of these critical management processes is key for succesful realisation of organisational or institutional goals. This is an appreciation post to Tengeru Institute of Community Development (TICD) for the knowledge I am receiving on-the-go. @tengeruinstitute @ubungomanispaa
Kwenye mahafali ya 13 ya Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru sambamba na kuhitimishwa kwa maadhimisho ya miaka 60 ya Chuo hicho. Sherehe zimefanyika Novemba 24, 2023 katika viwanja vya Mahafali –TICD ambapo, takribani wahitimu 1652, waliofuzu mafunzo kwa ngazi za Cheti; Diploma; Shahada za awali na Shahada za uzamili, nimewatunukia tuzo zao. #Repost @tengeruinstitute —— Mahafali ya 13 ya Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru
NL CONSULTANTS RESEARCH WRITING AND CONSULTATION #udsmupdates #nlconsultants #iaa19 #ticd #dataanalytics
At Takshashila Institute for Child Development, we proudly celebrated the 78th Independence Day with our amazing neurodiverse children. Their unique talents and joyful spirits lit up the day with vibrant performances and heartfelt expressions of patriotism. We believe in creating an inclusive environment where every child, regardless of their neurodiversity, can shine and contribute to the nation’s future. Today, we honor the freedom that allows every child to dream, grow, and thrive. Together, let’s continue to build a nation where every individual’s potential is celebrated and nurtured! 🇮🇳 JAI HIND!!! #IndependenceDay #NeurodiverseAndProud #TakshashilaInstituteforchilddevelopment #TICD #InclusionMatters #ChildDevelopment #jaihind #bhopal #neurodiversity #Bharat
For All kind of Flowers. You're mostly welcome 0688523565 or 0713505691 #flowerarusha #arusha #moshi #arushaflowers #arushagift #ticd #iaa #giftarusha #weddingarusha #arushatanzania #arushaweddings
back to up