instagram story viewer > #Utamaduni

#Utamaduni

Posts
USHINDI MKUBWA KWA SHULE YA SEKONDARI YA PRINCE MPIKANINA – NONGOMA Shule ya Sekondari ya Prince Mpikanina, iliyopo katika mji wa Nongoma kaskazini mwa jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, imepata mafanikio makubwa baada ya kushika nafasi ya pili katika mashindano ya kitaaluma yaliyoshirikisha jumla ya shule 64 kutoka maeneo mbalimbali. Katika kuadhimisha ushindi huo, wanafunzi wa shule hiyo waliandaa sherehe maalum wakati wa mkusanyiko wa asubuhi (assembly), ambapo walitumbuiza kwa ngoma ya kitamaduni ya Wazulu ijulikanayo kama Ingoma – ishara ya fahari, mshikamano na utambulisho wa jamii yao. Shule ya Prince Mpikanina inajivunia kuwa sehemu ya historia ya mji wa Nongoma, eneo maarufu linalohusishwa na Ufalme wa Wazulu, ambapo ndipo anapopatikana Mfalme Misuzulu ka Zwelithini, kiongozi wa sasa wa Taifa la Wazulu. Uongozi wa shule, walimu, na wanafunzi wamepongeza juhudi za pamoja zilizowezesha ushindi huo, na wameahidi kuendelea kuimarisha elimu, nidhamu na utamaduni katika ngazi zote. @kgeradigital
Lashes and nail done at @utamaduni_salon @utamaduni_nails 😍🔥
Tujenge utamaduni wa kuwa na bustani za mbogamboga na matunda kwa ajili ya Afya zetu. Hii ni moja kati ya bustani bora ya mbogamboga tuliyotengeneza na tunapenda ujifunze na kuhamisika pia. Karibu Kilimo Mjini kwa mahitaji ya bustani za mbogamboga matunda, na pia tunayo miche bora ya mbogamboga na matunda. Piga 0716722899 #farmtoserve #agricultureismyculture
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na utamaduni wa kuwafanyia watoto hata wa mwaka mmoja au kutimiza siku 40 sherehe za gharama kubwa na mara nyingi uhusisha watu wazima! Je unadhani watoto watoto wanapata kile wanachohitaji katika sherehe hizi? Na wanafurahia? @elizabethkazibure anaelezea - - #bbcswahili #birthday #sherehe #burudani #wasanii #tanzania
Utamaduni, sanaa na michezo kwa wote! Karibun Makongo sekondari, tunaendelea na udahili wa kidato cha kwanza 2026. Nafasi za kuhamia pia zipo
"Kuvaa au kununua viatu ni sawa na kununua magonjwa na mimi siwezi kununua ugonjwa" - Dkt. Hamisi Ali Kote ni daktari bingwa wa mifupa amekuwa na utamaduni wa kutembea bila kuvaa viatu yaani pekupeku kwa madai ya kuwa hakuna faida yoyote ya kuvaa viatu zaidi ya kujitafutia magonjwa. - Amezungumza na mwandishi wa BBC Mariam Mjahid na kuelezea faida ya kutembea peku. 📸:@brianmala - - - #bbcswahili #kenya #afya #pekupeku
Happy Utamaduni Day!!!
✨UTAMADUNI GIVEAWAY CHALLENGE ✨ We are happy to announce our utamaduni day challenge giveaway. (10th October 2024) ✨Two sinia platter(platter for two) give away to the best answer in each of our branch @sukariburgers_u.s.i.u ✨ All you have to do is answer: 1. What is the one thing you and your bestie have been doing for a long time that is now a tradition to both of you? 2. Tag your bestie 3. Share this post and follow @sukariburgers_u.s.i.u Let’s hear what your tradition is!! #utamaduni #utamadunichallenge
Muonekano wa Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Dodoma ambapo kesho Februari 13, 2025 Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatarajia kusaini mkataba kwa ajili ya kuanza ujenzi wa uwanja huo.
December Really Did De’Ting !! @stephngina was walking around looking like a hot milli 🙌🏿🙌🏿 📍 5th floor, Lyric Hse, Kimathi Street adjacent to KFC 📞 0713538629 #utamaduni#utamadunifam #utamaduni_salon #nairobi#kenya
Rhodope Mountain 🏔️ nchini Bulgaria - mahali ambapo hadithi, utamaduni na maisha ya asili hukutana. Vijiji vya kitalii, hewa safi na utulivu wa kipekee vinakufanya ujihisi kama uko kwenye dunia nyingine 🏡 #RhodopeMountains #Bulgaria #TravelBulgaria #VillageTourism #MaishaKijijini #SafariZaKijijini #UlayaMashariki #MaishaHalisi #VillageLife
Katika mchezo wa bao na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (Mbunge) mjini Songea, nikianza ziara yangu ya kikazi mkoani Ruvuma leo Jumatatu, Septemba 23, 2024.
back to up