✨💄 KARIBU NÉE_STORE_TZ 💄✨
Je, unatafuta vipodozi vya ubora wa juu vinavyokufanya uonekane mrembo na mwenye kujiamini kila siku? Usitafute tena!
🌸 Tunauza vipodozi vya asili na vya kisasa kwa bei nafuu.
🌸 Bidhaa bora zenye ubora unaoaminika.
🌸 Huduma ya haraka na yenye upendo kwa kila mteja.
📍 Tunapatikana Moshi Mjini
📞 Piga au WhatsApp: 0788 187 068
NÉE_STORE_TZ – Urembo wako ni kipaumbele chetu. 💖
Wananiita PAPI JONASI MANANASI....ILA LEO NAONGEZEA PAPI MITISHAMBA, PAPI KIVUMBASI😂😂😂😂, long time ago nipo Strong, Uno la kutosha, performance 100%. Huu ni muda wa Kurudi kwenye mitishamba na Vitu vya asili.
#MwanaumeWaKweli
#OrijinoMitishamba
DRIED PINEAPPLE 🍍 ZIPO DUKANI BEI NI JUMLA NA REJA
Kg1-50000
Nusu-25000
Robo-12500
🍍 Faida za Dried Pineapple (Nanasi lililokaushwa)
✅ Huongeza nguvu mwilini – Lina wanga wa asili unaotoa nishati haraka.
✅ Husaidia mmeng’enyo wa chakula – Lina kimeng’enya kinachoitwa bromelain ambacho husaidia kuvunjavunja protini na kurahisisha mmeng’enyo.
✅ Lina nyuzinyuzi (fiber) – Husaidia afya ya utumbo na kupunguza tatizo la kufunga choo.
✅ Huimarisha kinga ya mwili – Lina vitamini C ambayo husaidia mwili kupambana na magonjwa.
✅ Huchangia afya ya ngozi – Vitamini C husaidia kutengeneza collagen kwa ngozi yenye afya na mwonekano mzuri.
✅ Lina madini muhimu – Kama manganese, ambayo husaidia afya ya mifupa na utendaji mzuri wa mwili.
✅ Snack bora ya afya – Ni mbadala mzuri wa pipi na vitafunwa vyenye sukari nyingi iliyoongezwa.
📲0659360986
📍ILALA BOMA
Bolt andika Dadaubuyu products
Tunanyonolea nywele
Tunapamba ma miss
Tunauza nywele asili si uchawi huu 🙌🏾🙌🏾😔
Chai 7 za asili za kuanzia Jumatatu hadi Jumapili 🤎✨
Na zote zina mapishi yake kamili! 😍
Mapishi yote yapo kwenye Juice Asilia Guide, kitabu (SOFTCOPY) chenye recipes 100 za juices, smoothies, maji ya detox na chai za asili, rahisi kutengeneza nyumbani.
Jipatie chako kwa Sh 10,000/= tu.
Andika neno “KITABU” au nitumie DM nikutumie.
#tea #tealovers #teatime #healthydrinksforhealthylife✌️😊 #fypagee❤️❤️
🌿 Je, umewahi kusikia kuhusu mmea huu?
Kwenye video hii ninaelezea jinsi mmea huu unavyotumika katika tiba za asili na kwa nini watu wengi huuhusisha na afya ya uzazi wa mwanamke.
⚠️ Kumbuka: Matumizi ya mimea ya tiba hayawezi kuchukua nafasi ya ushauri au matibabu kutoka kwa mtaalamu wa afya, hasa kwa matatizo ya uzazi.
💚 Fuatilia HAJRA FERTILITY kwa elimu zaidi kuhusu afya ya uzazi, lishe na tiba za asili.
#HajraFertility #AfyaYaUzazi #Women’sHealth #FertilityJourney #TryingToConceive NaturalWellness TibaAsili Uzazi HealthEducation FertilitySupport
🐔: Kuku wa Kienyeji
💰: 20,000
📍: Sinza White Inn
🛵: Delivery inapatikana kwa uhakika na salama
☎️: 0758223723
🛒 BOLT: Andika Awery’s Kitchen (Usisahau alama ya ’)
😋 Ladha ya asili, nyama laini sana. Karibu Awery’s Kitchen ujionee tofauti! ❤️🍽️
Ni mudaaaaaaa😁😁🔥🔥🔥ni leoooo🔥🔥 saa nane kamili tukutane hapa nayce lounge 📌📌asili yetu menu
Ng’ande, ngararimu,kiburu na mtura 📌📌📞0724876388
- [ ] *@Fareedahmoh_organic_fresh*
- [ ] 🌿 *TUNAUZA VITOWEO VIWANGO!* 🔥
- [ ] Ladha, ubora & asili halisi!
- [ ] ⭐️ Mayai ya kienyeji PURE
- [ ] ⭐️ Kuku wa kienyeji PURE
- [ ] ⭐️ Samaki wa maji baridi
- [ ] ⭐️ Samaki wa baharini
- [ ] ⭐️ Nafaka safi
- [ ] ⭐️ Viungo mbali mbali, sausages n.k
- [ ] 📍 Tunapatikana Ilala — Kituo cha daladala Amana (hospital)
- [ ] 📞 Mawasiliano:
- [ ] • 0657 568 860
- [ ] • 0620 102 207
- [ ] 🚚 *Delivery inapatikana (kwa gharama ya mteja)*
- [ ] 📲 *@fareedahmoh_organic_fresh*
Pata suluhisho la uhakika la kurejesha afya na nguvu zako za asili leo. Wasiliana na Afya Prime kupitia namba +255 757 955 569 tukusaidie kuchukua hatua sahihi kwa ustawi wako.
#immunitybooster #afyakwanza #healthtps #afyaprime #healthylifestyle
Sio Muziki tu! bali @diamondplatnumz Anaonesha kuwa pure Talented na uwezo uliobarikiwa vipaji vingi ikiwemo huu wa kupiga ngoma za asili, Huu ni Usiku wa #MD @mama_dangote
#WasafiMedia
BREAKING NEWS
: Mrembo wa Kimberly Jael Aremo Acio ameendelea kuvutia wengi katika mashindano ya Miss Universe Uganda 2026, akitajwa kuwa miongoni mwa washiriki wanaopewa nafasi kubwa kutokana na urembo wake wa asili, kujiamini na uwezo wake wa kutembea jukwaani kwa umahiri.
Kimberly, mwenye umri wa miaka 19 kutoka Wilaya ya Kole, si mrembo wa mashindano pekee bali pia ni mtetezi wa kuwawezesha vijana, hususan wasichana, kupitia programu za ulezi na ushauri (mentorship). Anasema uzoefu wake wa kukabiliana na unyanyasaji wa utotoni (bullying) ndiyo uliompa nguvu ya kutaka kuwasaidia wengine wasikate tamaa.
Fainali ya Miss Universe Uganda 2026 inatarajiwa kufanyika Agosti 1, 2026 mjini Kampala, ambapo mshindi atawakilisha Uganda kwenye mashindano ya kimataifa ya Miss Universe.
Follow upate habari zaidi Kila siku Santana cm