Hii inaitwa ndizi nyama vodafasta. Chap tu dk 20 ushapata chakula chako kitamu kisichokuwa na mambo mengi.
Multicooker nimeipata @radha__collection16 inanirahishia sana mapishi kama mnavyoona inachemsha nyama, inapika.. inakaanga.. ushindwe wewe tu hapo. Agiza yako anakuletea mpaka mlangoni
@radha__collection16 @radha__collection16
NAAN RECIPE🇰🇪🇺🇸‼️
Ingredients:
2cups all purpose flour
1tsp salt
1/4 cup yeast mix (1 1/2 tsp yeast , tbsp sugar & warm water)
1/2 cup warm water
1tbsp oil
Start with all your dry ingredients mix, then add your yeast mix knead, gradually add your warm water as you knead your dough until incorporated (takes about 5-10 mins)
Cover for an hour to double in size, divide into equal balls. Cover for 10/15 minutes and roll it out into your desired shape.
Cook them in a pan on low to medium heat , flip on both sides once you see the bubbles and the golden patches …your naan is ready , brush with your butter and parsley mix. ENJOY WITH ANY CURRY OF YOUR CHOICE
#mpishiaolewe #mapishi #kenya #usa #india #naan #naanbread #curry #dinneridea #simplerecipes #tanzania #africa #eastafrica #facebook #explore #chakula #chapati #foodie #kenyanfoodie #diaspora #kenyansabroad #christmas
Pika maini like a pro😀
Watu wasizoee mapishi yako,
Ili kupata ladha ya viwango vya juu tumia viungo vya Vivy's spices waliojaribu hawajarudi nyuma
Agiza sasa 0763333221
Tunapatikana Moshono Arusha
Pia tuna mawakala
Mbeya 0752460245
Dar 0752942961
Shinyanga 0688384513
Mwanza(uhuru street) 0675209044
Mwanza(Igoma) 0759679963
Singida 0769991475
Kigoma 0689817068
Arusha tunapatikana katika sales point
Happy mart supermarket(njiro)
Stop and shop(impala)
Divine shopping centre (banana)
Bethel shopping centre (moshono)
Mr never told supamaket(banana)
Annie 0687813123 moshono stand
#vivyspices
#spices
#trendingreels
#explore
#cookingathome
Chakula kimoja mapishi mbali mbali.. siku ujaribu kupikia familia pilau ya mbuzi mapande mapande ahh lazima wasimulie.. ila Tu hakikisha unatumia mafuta ya alizeti pure ya Yara @moessentials2025 @metlgroup
TUJIFUNZE MAPISHI KIDOGO KIDOGO HATA UKIWA MKOANI MAJIKO YANAFIKA KAZI BADO ZINAENDELEA TUPIGIE SIMU POPOTE ULIPO TUKUFANYIE DELIVRY ZA MAJIKO KAZI KWAKO .
@mr_majikotz
☎️CALL & WHTSAPP #0783840577
Mapishi ya DivaTheeBawse 🙌🏿💔😁
#kenya #viral #tanzania #nike #gym
Apoooo mapishi bora ya Tamara vithoria Ajab 😂👏❤️
CHAI NAZI, JUICE NAZI, MPAKA MAJI YA KUNYWA WANATIA NAZI HUKU😳ILA TANGA🤔
Ukiacha Mapishi/Masotojo Tuambie, Unaijua Tanga Kwa Sifa Gani Hasa? Au Taja Sifa Za Wanawake Wa Tanga??👇🏽
Mimi Naanza Na Hawa #SwahiliLounge😋 Wanapika Bwanaaa🫡
Pilipili ya kukaanga tamu sana kwa mapishi rahisi kabisa …utamu wa pilipili hii ukila pamoja na pilau hutamani chakula kiishe 😋👌.
Chupa ya mafuta @jikonisupplies
Hakikisha pilipili manga yako ni fresh au nunua ya mbegu ponda mwenyew!
#pilipilyakukaanga#pilau#swahilifood#food#pilipili
KABLA YA KUPIKA NAENDA KWANZA KUOGA - KHADIJA
Bi. dada Khadija, mkazi wa Dar es salaam ametoa darasa juu ya jinsi ya kupika wali wa nazi na samaki wa nazi.
Khadija ameweka wazi kuwa kabla ya kuanza mapishi huwa anaingia bafuni kuoga kwanza ndipo aendelee na shughuli nyingine.
#Mashamsham #Sokoni
Mama pipi Jumamosi Ya Mapishi Na Nyanya ya @naritomatoes
.
.
Happy woman's day My pipoo❤️🥰
Jana niliingia Jikoni na Hayley, nilikuwa nimechoka sikuweza kurecord kila kitu, But eventually namfundisha kupika pilau na ku balance Viungo! unajua mapishi ukishajua kubalance viungo na kupika pilau basi utajua kupika Almost kila kitu! Pishi gumu ni chakula chenye spices nyingi!
Yes, hajamudu ila with more practises atajua!
Tulipika Pilau, Njegere shatashata, Kuku wa Kukaanga, Kachumbari ya kiswahili, Fresh Juice ya Embe na passion, Nje Mr. alichinja mbuzi Jioni tukapata Supu na Nyama Choma ya mbuzi👌
.
Napambana my daughter kufanya Home chores ili amudu maarifa ya nyumbani! Unajua hiki kizazi ni kigumu mnooo hawataki kufanya kazi! Ila sio kwa mama mimi ambaye nachapa😆
Nikikwambia nachapa sio fimbo 2 nachapa kisawasawa😅
We usiechapa pia sikuingilii kila mzazi afanye ambacho ni sawa kwa mwanae! hata Biblia kwa Sisi wakristo kwenye Mithali 23:13 inakwambia Usimnyime mtoto wako Mapigo, Maana ukimpiga fimbo hatakufa!
HAPPY EASTER MONDAY💞