HII HAPA NGOMA MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ 🔥🔥🔥
Itarajie Ngoma Mpya ya Simba La Masimba Dangote @diamondplatnumz
#PanganiKunono
@diamondplatnumz Entrance on stage is always insane 🤯 🤯 🤯 🤯
This Is Simba La Masimba Dangote @diamondplatnumz 🦁
#diamondplatnumzlive #simbaindar
DIAMOND’S ENERGY ON STAGE 🌎 | WASAFI FESTIVAL 2024 🔥🔥🙌
Hii Hapa Performance Ya Kihistoria Ya SIMBA LA MASIMBA DANGOTE 🦁 @diamondplatnumz Ndani Ya Uwanja Wa Madini | RUANGWA #WasafiFestival2024
KAZI IPOOOOOOO 💯
SIMBA LA MASIMBA @diamondplatnumz na msafara kwenye uwanja wa ndege, tayari kuelekea Nairobi kwa ajili ya @furahacity #DiamondPlatnumz #Nairobi
🎥 by @papylion_
Sio story of the day, wala story of the week… HII NI EXTRA LARGE KUBWA KULIKO !! kwa Platnumz @DiamondPlatnumz na kwa Taifa !!! hongera sana La Masimba !! tumefika kwa Idol !! Mtu mbadi CB @chrisbrownofficial !!! FOR THE CULTURE 👊🏿🧩🏆
Simba la Masimba Dangote @diamondplatnumz 🦁
Mtu wa kazi kashatoka Bukoba nayupo Dar wavuvi Hello Jua akimalizaaaa…. Kazikazi
SIMBA LA MASIMBA WHAT …..? @diamondplatnumz 👑
Shishi la Masimba dangote👌💚💚💚 @diamondplatnumz 👊🏻🔰
BALAAAA KABISAAA 🙌🙌🙌 Vibe la Komasava SOUTH AFRICA 🇿🇦🇿🇦🇿🇦 Na Kijiji kilivoitika baada ya Kuiperform kwa Mara ya Kwanza Wasanii wote walohusika kwenye #KomasavaaRemix @diamondplatnumz ft @jasonderulo @khalilharison @chley_nkosi 🔥🔥🔥🔥🔥
Ilionekana Ngumu kufika Level hizi, S/O kwa Simba La Masimba @diamondplatnumz 🦁 kwa Kuendelea kupambania Muziki wetu kwa Muda mrefu zaidi ya miaka 15 Bila Kuchoka licha ya Mara nyingi alizokua anatamani kufika katika level hizi lakini alikatishwa Tamaa, Alisemwa na Mara zingine matokeo hayakua haya yanayoonekana sasa... kila kinachofanyika sasa hivi ni Kazi kubwa aliyofanya nyuma na Ubunifu, Uwekezaji na Kujiongeza.. Inafurahisha kuona Hatua ya Muziki wetu kufika hapa, Bado sehemu ndogo sana Tutoboe kabisa.
"SIRUDI NYUMBANI KWA SIMBA NG'O" - ZUCHU AMJIBU ESMA
Baada ya @diamondplatnumz kumtambulisha @sarahdavakingin kuwa ndiye EX wake aliyemfanya kuandika wimbo wa #Kamwambie
Dunia ilipewa taarifa kuwa @officialzuchu hajapendezwa na suala hilo kupitia 'Post' ya @_esmaplatnumz aliyoandika akimuomba Zuchu Kurudisha Mabegi yake nyumbani kwa Simba la Masimba
Kupitia #Mashamsham Esma amefunguka kile alichojibiwa na Zuchu kuhusu kurudiana na Diamond Platnumz
Cc: @didahshaibuofficial @jumalokole_02 @idriskitaa @ankali_mambi
#Mashamsham2024
Simba la Masimba @diamondplatnumz aliwakilisha ile kisawasawa katika jukwaa la Trace Awards. Kutokea katika fukwe za bahari ya Zanzibar kwa kifupi hivi ndivyo ilivyokuwa. Airtel tunajivunia kuwa sehemu ya tukio hili kubwa la muziki barani Africa! #AirtelTraceAwards
#AirtelXAfricanMusic
Una ujasiri wa kukabiliana na nyuki iwapo wataingia kwenye makazi yako?
Kama hilo ni gumu sana kwako basi njoo upate ujuzi kutoka kwa kijana jasiri Athumani Masimba wa Geita.
Imeandaliwa na Ester Sumira | Mhariri @moseskwindi