instagram story viewer > #mopalee

#mopalee

Posts
Mtaani watu wanamkubali @mopa_lee1 sana hadi inafika hatua si watoto, watu wazima wala vijana wamekuwa wakipenda nyimbo za msanii huyo, sasa ni muda wa #MopaLee kuendelea kuachia madude ili watu waendelee kufurahia muziki mzuri. ✍️ @monnyhimself_tz
Ilikuwaje 💉🤞🍁😂🌵 Mopao Junior @mopa_lee
Fido vato akubali uwezo wa MOPALEE Kwa mziki mzuri wagari yako na accessories mbali mbali za magari sehemu nimoja tu +255769974280 Kwa mziki mzuri wagari yako na accessories mbali mbali za magari sehemu nimoja tu +255769974280 @jembe_car_accessories arusha na free delivery Cc: @kingmohammedy_ Cc: @get2know_2 #get2know #twendepamoja #arusha #trending #jembecaraccessories
"MOPALEE AKIRUDI @udani_gang NI NYUMBANI"
mpo tayari kwa exclusive na mopalee tukutane saa tatu usiku kwenye YOUTUBE ya #kiswahilitv
On the house @the_only_one_barbershop @dogojanjatz @fidovato_official @wataitaz_mopalee
MIKONO SALAMA KWENYE MIDUNDO SALAMA CHUGA MABEGANI LIVE TEN PLUS NA MAGIC FM 🙌 SEMA NINI CHALII WANGU MOPALEE NDO WAKATI WAKO HUU KAKA TUONDOKEEE 🥷🥶
Yeyooo mambo ni kila no ojolo #mopalee #fidovato #arushatanzania🇹🇿 #chugamaican #Mataitaz
Chuga🙌😁 #mopalee
🇹🇿 Rap Playlist - 28.04.2026 1. Wasta Mc Ft. Shaulin Seneta – Salamu 2. Rabi James - Wao Ni Simba 3. Ze Blacklist Family - Burn Dem 4. FreshlikeUhhh – Kileleni 5. Mopalee, Fido Vato – Boombap 6. Mike Tee Mnyalu Ft. Chid Benz – Mnyalukolo 7. Tejo Clan - Naskia Tunatafutwa 8. TLW Crew – Hatubadili Style 9. G Nako, Nikki Mbishi, Lord Eyez, Songa, P Mawenge – Sawa 10. 20 Percent, EBL Drucula ft. P Mawenge, Zaiid, One Six – Umri Bonus Track Wasta MC – Kwa Niaba https://micshariki.africa/twenzetu-tanzania-tuesdays-the-latest-rap-music-28-04-2026/
@mataitaz mopalee Hii mistari ni hatari kama ni mara ya kwanza kumoka uwezi elewa!!!!! #hichohicho
Baada ya muda mfupi uliopita #Mnazitv kupost video ya mtoto wa kike akiimba wimbo wa msanii @mopa_lee1 unaoitwa Hicho hicho", kwenye upande wa comments amekuja shabiki mmoja na kuweka comment ya utani kwa #MopaLee Ameandika "😂😂mopaa tutakupeleka jelaa sas ushakua mzozo kila chochoro 😂" ✍️ @monnyhimself_tz
back to up