Hali iliyopo nyumbani kwa marehemu #Athuman nyanza ambaye alikutwa amefariki na kufukiwa nyuma ya nyumba yake
Video full ipo YouTube ya LOKOMA TV
Tufuatilie kupitia YouTube ya LOKOMA TV like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.
POLISI DAR YANASA WATU WAWILI AKIWEMO REHEMA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA ATHUMANI NYANZA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Rehema Maulidi ambae ni mkazi wa Kigamboni, na mwenzake mmoja, kwa tuhuma za mauaji ya Athumani Nyanza, ambaye mwili wake ulikutwa umefukiwa kwenye shimo karibu na nyumba yake huko Zingiziwa, Ilala.
Kulingana na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Jumanne Muliro Tukio hilo lilitokea hivi karibuni, na polisi wameendelea na uchunguzi wa kina ili kubaini ukweli kuhusu mauaji hayo.
Akizungumza na Wanahabari leo Machi 20, 2026 Kamanda Muliro amesema Taratibu za kisheria zinakamilishwa ili mamlaka zingine za kisheria zichukue hatua zaidi.
Aidha Jeshi la Polisi limetoa rai kwa wananchi kutoa taarifa kuhusu vitendo vya kihalifu na kushirikiana na vyombo vya usalama ili kuhakikisha usalama wa jamii unazidi kuimarika.
@Mwinyi_tza
Nimesoma haya maelezo ya watu wa karibu wa kaka nyanza wakieleza jinsi tukio Zima la mauaji lilivyo kuwa, Kuna kitu nimeona inawezekana huyu dada ni mkatili na muuaji mkubwa sana , Maelezo yenyewe ni haya hapa;
1- Shetani ni mmoja tu aliye husika .
2- Alimwekea sumu ktk uji huko kigamboni kisha kutapatapa hadi kufikwa na umauti. alimdanganya anywe dawa ya kuwawezesha wapate mtoto.
3- Alimtia ktk begi kubwa alilochanganya na nguo kisha kuita carry walikuja kubeba vijana wawili bila kujua chochote na kuelekea chanika. saa 9 usiku
4- Akiwa chanika alikaa na mwili ndani kwa siku 2 bila kujua nini cha kufanya , ndipo alipata wazo la kuita mtu kuchimba shimo la taka na kumlipa
5- Usiku huo baada ya kuchimba shimo peke yake alimburuza na kumtumbukiza nyanza shimoni, na kufukia nusu alipo umia mkononi aliacha hilo zoezi.
6- Ilipofika kesho yake ndio huyo dada / rafiki yake alipofika na kumwomba amsaidie kumalizia kufukia shimo la taka.
7- katika harakati za kukimbia kwake , moro alikuja kwa wifi yake yaani dada wa bwana wake mwingine baada ya kuona hana pa kukimbilia.
Jiulize kikawaida hata kama ni wewe unampa mtu dawa ya kienyeji halafu akafa utafanya Nini? Kwa kifupi lazima akili ikuruke.
Kwa hizi porojo zote kweli huyu ni muuaji kabisa hana KITU Cha kutueleza watanzania😭😭😭
NA NI KWANN WANAWAKE WAMEKUA NI WAKATILI SANA SIKU HIZI
ILI USIKOSE POST IJAYO FOLLOW HI PAGE KISHA SHARE HUU UJUMBE UFIKE MBALI ZAIDI
🚨AMAKURU MASHYA ⚠️🔥 URUGENDO RW’ABAHANZI BEREKEZA I HUYE MU ISERUKIRAMUCO RYA ‘SIGA ARTS FESTIVAL’ RWASOREJWE I NYANZA MU RUKARI! 🎤🎶
KU MUNSI WA MBERE W’IRI SERUKIRAMUCO, ABARI MU RUGENDO BABANJE KUNYURA I RUKARI AHO BAGIZE UMWANYA WO GUSURA NO KUMENYA AMATEKA Y’UMUCO NYARWANDA. 🇷🇼✨
#RUMURITV #SIGAARTSFESTIVAL #NYANZA #RUKARI #RWANDACULTURE TRENDINGNOW
BARAYIHITANA UMVA KO I NYANZA BOGEZA⚔️
Junet Mohamed criticises assertions that Nyanza votes are not enough to decide a presidency, terming it a slight on the region, and hints at possible support for William Ruto under a “broad-based government.”
Migoriiiiii for Jesus! 🔥🔥🔥🔥🔥
Halleluyaaah! 🙌
Jesus will be glorified now and forever!
Nyanza region, get ready, the fire of the Holy Ghost is here!
Yooooooooo!!see who landed ...all the way from #Nyanza #kisumoooo minister @dr.christineotieno and @sabino.dago
! Its today Fam... few hours to go!!! Gates open Exactly #4pm make your way to #EldoretSportsclClub📍 #EntryisFREE... because JESUS 📍📍📍JESUS JESUS JESUS JESUS JESUS 🎤🎤👏🔥 We are grateful
Gashizemo pe!😀😀😀
Aha mubona ni i Nyanza mu Rukari, aho mpagaze ni ho inzoga z'umwami zabikwaga hakaba umusogongezi Kinigamazi, ni we wabanzaga gusogongera inzoga zose Umwami yabaga agiye kunywa kugira ngo hatagira uwibeshya akamuha inzoga ibishye
Good morning, Rwanda ☀️
We’re in @southrwanda 📍
This 7–8 February, at Collège Christ Roi, Nyanza District , the Isonga Volleyball Intercenter Competitions tip off!
Six girls’ teams and six boys’ teams from across the country will battle it out for top honors 🏐🔥
Girls:
G.S ST ALOYS RWAMAGANA
G.S. ST JOSEPH KABGAYI
ESSF SHANGI
ESB KAMONYI
G.S. ST JOSEPH BIRAMBO
ISSF NYAMASHEKE
Boys:
GSOB
COLLEGE CHRIST ROI
RUSUMO HIGH SCHOOL
G.S KABARE
G.S. ST JOSEPH KABGAYI
PETIT SEMINAIRE V.F
#RwandaSports #IsongaProgram
NTSA is raising road safety awareness among KMTC students in South Nyanza
RAYON WEEK TOUR at NYANZA 🔥 🔥
S/O @official_rayonsports @skolrwanda
Stylish @iam_yogi_star
🎥 @rwandan_hertier
@kavu_music