instagram story viewer > #pasaka

#pasaka

Posts
Pasaka yangu imenipeleka ocha for a family gathering 😊 Make sure BIC EZ Reach iko karibu…ni light, easy kutumia, na ni safe, perfect for all your Easter lighting moments 🔥 You can get it in all supermarkets near you. #BICEZReach
Msihukumu wengine nanyi hamtahukumiwa🙏 #pasaka #gospel
Pasaka njema
🤩🤩🤩 ukiwaza ni wapi pasaka hii utaenda kuchangamsha akili na kuburudisha mwili waza EACLC UBUNGO hapa kuja kucheza sampromogaming karibu sana 🤩🤩🤩🤩🤩🤩
PASAKA HII 😍🥥🍚… usipike PILAU, pika WALI WA NAZI! My lovely beautiful people 💕, hebu tujaribu ladha tofauti mwaka huu ✨ Wali wa nazi 🥥🍚 ni chaguo bora kwa meza ya Pasaka—una harufu nzuri na utamu wa kipekee unaopendwa na wengi 💯 Ningependa kujua maoni yako 👇 👉 Wewe unapendelea pilau au wali wa nazi?🥥🍚 @dk_luxury_apartments
PASAKA MSICHINJE MDUDU @mr_creatine_amino
Njoo na Uwapendao🔥🔥… PASAKA✝️…Loading….
Pasaka is few day's away. Basi this rojo ni tamu pia saaaaana. Imenogeshwa na Royco Mchuzi Mix @royco_tanzania
Nawatakia sikukuu njema ya Pasaka vipenzi vyangu. Bwana awe nanyi 🙏🏼 Kuku wa kienyeji pure, nyama , mbuzi , mayai , soseji vyote unapata @asiel_farms karibuni sana
EASTER MONDAY 🎊 TUPO WAZI 🐣✨ Pasaka hii, sahau habari ya jiko kwako... Hamia Awery’s Kitchen! Kwanini upoteze muda jikoni wakati unaweza kutengeneza kumbukumbu na watu wako wa nguvu? Tunakuletea ladha inayozungumza na moyo kwenye msimu huu wa furaha. 🍽️🔥 🔥 SPECIAL FOR YOU: Leta familia, leta kicheko, sisi tutamaliza kazi ya ladha! 🌸 👇 Tag yule rafiki ambaye akiona nyama hachomoi! 📍 Mahali: Sinza White Inn ☎️ Booking/Oda: 0758 223 723 Awery’s Kitchen — Tunapika, Wewe Unafurahia! 🐣🙌
Please like comment ikibidi share puliziiiii Leo moyo wangu umejaa furaha ❤️ Nimepata nafasi ya kuwapikia wageni wangu wa Pasaka — ambao si wengine bali ni wadogo zangu 🥰 Kilichofanya iwe special zaidi ni kwamba nimepika kwa kutumia jiko la kuni 🔥 chakula cha asili kabisa, chenye ladha ya upendo na nyumbani. Hakuna kitu kizuri kama kushirikiana na familia na kuwapa kile kidogo kilichopo kwa moyo wa dhati. Pasaka njema kwenu wote 🤍nawapenda Dada witness apa
Mūsų su Pasaka vakaras. Tokiais vakarais pamirštu, kad pasaulyje yra ko bijoti. O mūsų naujieji šviestuvai - iš @baliwood.living. Ko gero vienos mėgstamiausių mano interjero parduotuvių Lietuvoje. Kai ten užeinu, tai noriu visko. Dabar esu nusižiūrėjusi natūralių medžiagų pagalvėles ant sofos. Ir labai realu, kad nusipirksiu, nes iki balandžio 20 salone visoms prekėms taikoma -20 % 🥳 Reklama #seima #rutina #kasdienybe #interjeras
back to up