Mchezaji wa Simba Mwamba wa Lusaka @realclatouschama akiwasili uwanja wa ndege wa Julius nyerere Dsm kutoka Mwanza pamoja na wachezaji wenzie baada ya mtanange uliochezwa siku ya jana ksti ya Simba VS Pamba jiji
#TZA
Bomboclaaat 🔥♥️, kama wewe ni shabiki yangu sema neno Moja tu 🙏