Za ndani ni kwamba Gigy Money pamoja na Licky ambapo baadhi ya taarifa za ndani zinasema kwamba ubani unafuka moshi je, ni kweli?
#rockdigitalupdates #burudani #trending #gigymoney #udaku
Pia Paula Kajala amesema kwa sasa hana mpango wa kupata mtoto mwingine hadi pale atakapofunga ndoa na mpenzi wake, Marioo, akieleza kuwa bado ni mdogo na anahitaji kupanga vizuri maisha yake.
Jioni ya leo, Machi 11, Paula Kajala ameandaa Iftar Dinner maalum kwa ajili ya kuwafuturisha watoto yatima. Tukio hilo limefanyika kwa mafanikio makubwa na kusimamiwa kikamilifu na Real Moment Kids, likiwa na lengo la kuonyesha upendo na kuwafariji watoto hao katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
#trendingreels #facebookreelsviralviralシfypシ゚ #udaku #videoreels #paulakajala
Mzazi wa Allissa queen @haroun_kamala25 afunguka kuhusu mtoto wake kupenda sana kuigiza hii inapelekea Allissa kupata nafasi ya kuigiza katika baadhi ya series kama @memkwaschool akiwa na @steve_mweusi pamoja na @ndaro__ pia series ya ukweni akiwa pamoja na @ankonzala hakika ni mtoto mwenye maadili ya kiislamu.
#contentcreators #eidmubarak #uislamu #livevideo #ramadhan #diamondplatnumsz #zuchuofficial #zuchu_official #wasaficlassicbaby #zuchu #diamondplatnums #zuchuupdates #DiamondPlatnums #diamonds #diamondplatnums0 #zuchuchallenge #tastethesweetness #realimpact #AfyaKwanza #AfyaYaMwanaume #daressalaam #TheBreakdown #ElimuYaAfya #NguvuZaKiume #ExclusiveInterview #udaku #realsuccess #tanzania #wanawake #hadith
Wasanii wetu wanafeli wapi?!
Wanajitetea kwamba Chaka 2 chaka Kuna hela sasa kama hapa @mo_musictz
@shark_the_cowboy
.
.
#momusic
#chaka2chaka
#diamondplatnumz
#wasafifm
#udaku
Baba levo akiwa wasafifm amefunguka kuwa aliwakataza wasanii wasishindane na Diamond Platnumz kwa madai ya Kuwa watafilisika Kiuchumi,Njia anazopita Diamond Platnumz msanii mwingine kupita ni ngumu sana.
Credit by @Presenterdax
Tafadhari tembelea YouTube channel yetu ya Presenter dax kwa taarifa nyingi zaidi.
Customer: ‘Naomba ubuyu’ na Mimi tayari nimekaa chini na udaku wote 😭
Kumbe anataka wa kula tu 💀😂
#SwahiliHumor #Ubuyu #Udaku #AfricanComedy #RelatableContent
Ila Ezekiel tena 😂😂😂 ngoja nimpe dawaa mume wa @ebitoke apone
Baada ya hapo jana Diamond Platinumz kudai serikali haina mpango na wanamuziki kutokana na kutowajengea ukumbi wa burudani 'Arena' kama ilivyo katika nchi kama Rwanda.
Leo kupitia Insta Story, Harmonize amemjia juu Diamond akidai kuwa hakuna mdau asiyejua kuwa serikali ina mpango wa kujenga ARENA na kumtaka msanii huyo asitumu nafasi yake kuonesha yeye ndiye aliyetoa wazo hapo kabla.
#harmonize #udaku #diamondplatnumz #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp
Mbona siku hizi watu wa kutuonyesha mitaa kijijini wakuwa wajanja , round mbili
anataka kakitu.
#Radiokaya #Kayaflavaz #Udaku
#trendingreelsvideo #bongotrendings #habari #udaku #tanzaniantiktok🇹🇿
Siku nyengine njema jamani wateja twende na dunia inavoenda aise tuwache kukariri magari mazuri yapo na ya kisasa yanayokupa reliability nzuri tu
#today #udaku
Office branding 0620409227
Tupo Savei near M city #viral #viralreelsvideo #diamondplatnumz #viralpost #udaku