instagram story viewer > #watu

#watu

Posts
Hadithi ya mtoto mdogo kutoka Nepal, Ashok Darji, imegusa watu wengi duniani baada ya kipaji chake cha kuimba kugunduliwa kwa bahati. Ashok, ambaye anatoka katika familia yenye kipato cha chini kijijini, aligunduliwa na msafiri mmoja aliyerekodi video yake akiimba. Video hiyo ilisambaa kwa kasi mitandaoni na kumfanya atambulike haraka kutokana na sauti yake ya kipekee. Baada ya kupata umaarufu huo, Ashok alipata msaada kutoka kwa watu walioguswa na kipaji chake, na sasa yupo katika mazingira bora zaidi yanayomsaidia kukuza ndoto zake za muziki. Inaripotiwa kuwa yupo chini ya uangalizi wa mtu anayemlea kama mlezi wake (“godfather”), akihakikisha anapata malezi, elimu na fursa bora zaidi ya kuendeleza kipaji chake. Hadithi ya Ashok Darji inaendelea kuwa mfano wa matumaini, ikionyesha jinsi vipaji vinaweza kubadilisha maisha hata kwa wale wanaotoka katika mazingira magumu.
Kumbe kuna watu mpaka Leo wanapigana kwenye mahusiano 😂😂😂😂😂😂 @pianno_tz @stella_manyanyarino #reel #followforfollow #fyp #viralvideos #viral
🤩🤩🤩🤩🤩 watu wa mazoezi kwao jambo lilikuwa kama hivii 🤩🤩🤩🤩
Watu Tunafunga Kukataa dhambi Alafu Mwingine Anatuzunguka Ivi Kweliii....Inauma Sana😩😂😅
Lipa baada ya kupokea bidhaa yako popote ulipo Tanzania 🇹🇿: Ukichelewa utajilaumu :: toleo la kwanza ni original usisubiri fake :: Fikra mpya inaanzia jikoni 🔥 Kama unataka kubadilisha maisha, anza na mazingira yako ya ndani :: Hakika itakusaidia sana :: isipopika ugali vile unavyotaka nakurudishia pesa yako :: bidhaa zetu huwa tunauzia viongozi na watu wote hivyo hatuwezi kuwauzia kitu kisicho fanya kazi:: hii utaipenda:: bei ni tsh 200000::: pigs simu kwa maelezo ya kina 0652719081
Kuingilia maisha ya watu matokeo yake
Wenye vibe lao sasa 😅 Pindi la Kijanja na Wajanja hawa hapa wanaiwasha Switch kuanzia muda huu moaka 11 jioni #TheSwitcht The Switch Ya 88.9 @WasafiFM 🔥📻 With @aaliyaahofficial & @mchaga_og & @ammygal_tz #TheSwitch #WasafiFM #theworldisyours
Watu wanajua kutafuta pesa huku nje, Wacha nisupport @bienaimesol kidogo
Watu hawataki mahubiri, huyo atakuwa ni bodaboda ana haraka
VIDEO Video inayosambaa mtandaoni kutoka Oman inaonyesha watu wakiwa wamekaa chini ya maji kana kwamba kuna shughuli maalum inaendelea. Baadhi ya watu wamejitahidi kueleza kuwa hao ni wapiga mbizi huru wenye ujuzi katika eneo la Musandam, Oman. Kulingana na maelezo hayo, wapiga mbizi hawa mara nyingi huvua samaki au kuvuna abalone, na wakati mwingine hula wakiwa chini ya maji ili kuokoa muda na nguvu. Hii huwasaidia kuepuka kupanda juu mara kwa mara kupumua na hivyo kuendelea na upigaji mbizi kwa muda mrefu. Inasemekana pia kuwa tabia hii ni utaratibu wa kawaida wa vitendo miongoni mwa baadhi ya wavuvi wa eneo hilo-ingawa kwa wengi, maelezo haya hayajawashawishi au kuwafanya wakubaliane nayo
msiwapande watu kichwani😂#patkunArt
WATU TUSHA CHANGANYIKIWA 🥹😂.
back to up