Instagram story viewer> @7sevenmediatz> Posts
831.2K
followers
2
following
𝐇𝐎𝐌𝐄 | ᴇɴᴛᴇʀᴛᴀɪɴᴍᴇɴᴛ | ꜱᴘᴏʀᴛꜱ | ᴄᴏᴍᴇᴅʏ
ɴᴇᴠᴇʀ ꜱᴛᴏᴘ ᴅʀᴇᴀᴍɪɴɢ ʙɪɢ 💥
POSTS STORIES REELS TAGGED
Baada ya kubeba matumaini ya watanzania katika kuwania taji la miss grand internation 2026 @jihandimack amewasili huku aliehakikisha jambo linakuwa kwa ukubwa @_.niffer._ wameonana na kupeana salama.

Pia mshindi huyo amemshukuru @_.niffer._ kwa kazi kubwa aliofanya kuhakikisha anashinda hilo taji.

#rugethegreat 
#7sevenmediaupdates by @7sevenmediatz
4
2 minutes ago
Download
Rasmi @jihandimack awasilia katika ardhi ya Tanzaia baada ya ushindi mzito missgrand internatinal 2026.

#rugethegreat 
#7sevenmediaupdatesn by @7sevenmediatz
10
17 minutes ago
Download
Mapema leo Oktoba 17 mwaka 2026, mbunge wa jimbo la kigoma mjini mhe Clayton Revocatus Chipando @officialbabalevo ameshiriki ziara ya waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais (muungano na mazingira) mhe. mhandisi hamad yussuf masauni inayoendelea mkoani Kigoma.

Katika ziara hiyo wananchi wameshindwa kujizuia baada ya kumuona mbunge huyo akiwa ni miongoni mwa vionhozi wakubwa walioshiriki ziara hiyo inayolenga kutembelea miradi mbalimbali na kukagua maeneo yenye changamoto kama vile bwawa la katubuka.

Endelea kufuatilia seven media kwa taarifa zaidi. by @7sevenmediatz
9
36 minutes ago
Download
Huyu hapa @rayvanny ametoa hapa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya mapokezi ya Miss Grand International2026 #Jihan 

✍️: #Mickydady_29
#7mediaentertainment🤸 by @7sevenmediatz
5
44 minutes ago
Download
Msanii wa bongofleva @rayvanny amewasili airpot ili kuonesha uzalendo kwa kumpokea @jihandimack baada ya ushindi mzito alipata hivi karibuni.

#rugethegreat 
#7sevenmdiaupdates by @7sevenmediatz
6
an hour ago
Download
Balaa la mapokezi ya JIHAN yanaendelea hapa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 

Watanzania wanaimba JIHAN APEPEWE🔥

✍️: #Mickydady_29
#7mediaentertainment🤸 by @7sevenmediatz
30
an hour ago
Download
Mawindo yamejificha chini ya theluji yenye unene wa nusu mita na kudhani hakuna anayeweza kukugundua lakini juu yake kuna mwindaji mwenye uwezo wa ajabu wa kusikia

Bundi anaweza kutambua sauti za panya wanaotembea chini ya theluji, hata pale ambapo binadamu hawezi kuzisikia

_______________________________
#Bandago
#7mediaViumbe by @7sevenmediatz
2
an hour ago
Download
Mfanyabiashara @_.niffer._ ameendelea kuwa mstari wa mbele katika mapokezi ya @jihandimack ambayo yatakuwepo leo saa 5,na ametangaza gari litakalo kumpokea mshindi huyo.

#rugethegreat 
#7sevenmediaupdates by @7sevenmediatz
22
an hour ago
Download
Hawa hapa mabaunsa watakao hakikisha hali ya usalama utakuwa shwari kwa MissgrandInternationa wetu @jihandimack hapa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Dar es salaam.

✍️: #Mickydady_29
#7mediaentertainment🤸 by @7sevenmediatz
60
2 hours ago
Download
Mfanyabiashara @_.niffer._ amewasili hapa viwanja vya KIjitonyama Posta Dar es salaam tayari kwa mapokezi ya Missgrandinternational 2026 @jihandimack ambaye atatua nchini Saa 5 asubuhi ya Leo.

✍️: #Mickydady_29
#7mediaentertainment🤸 by @7sevenmediatz
14
2 hours ago
Download
HABARI ZILIZOJIRI KUPITIA VICHWA VYA HABARI VYA MAGAZETI YA LEO

Leo  Jumamosi ya Oct. 17, 2026.

#7mediaupdates by @7sevenmediatz
2
5 hours ago
Download
Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe. @officialbabalevo amefanya ukaguzi Mdogo wa Uwanja utakao tumika katika mashindano yake ya BABA LEVO CUP ambao tayari umekamilika kwa asilimia 100.

#7mediaupdates by @7sevenmediatz
91
12 hours ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up