Instagram story viewer> @__mesalo> Posts
1.1K
followers
847
following
@mesalo__
art
belladonna _mesalo
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Shukhurani zangu za dhati kwa niaba ya Mwenyekiti wetu TDFAA mkoa wa Iringa ndugu Khamisi Nurdin  naziwasilisha kwa Mama yetu Rais wa jamhuri ya muungano wa TANZANIA Mheshimiwa Samia  suluhu Hassan kwa utendaji wake wa kazi ulio tukuta hasa katika kuinua tasnia ya filamu nchini , ikiwa ni pamoja na kutengeza filamu ya Royal tour pamoja na kutoa Mikopo kwa Wasanii kwaajili ya kazi Zetu , 

Kwa Dkt Kiagho kilonzo mtendaji mkuu Bodi ya filamu TANZANIA kwa kuwa pamoja na sisi bega kwa bega Kam wadau wa Sanaa Tanzania , pamoja na uchapaji wake wa kazi kwa kuhakikisha tasnia ya filamu TANZANIA inakuwa kwasababu Sanaa ni kazi .

Kwa Mwenyekiti wetu TDFAA mkoa wa Iringa ndugu Khamisi Nurdin Kwa kuniamini na kuniteua kuwa muhazini wa mkoa wa Iringa chama cha waigizaji , pamoja na kujitoa kwake kwa Hali na Mali katika kuwasimamia wasanii wetu wa mkoa wa Iringa na kuandaa Tamasha hili la Tuzo za Filamu mkoa wa Iringa 2023 tukiwa na kauliz mbinu yetu inavyosema " za kwetu kivyetu vyetu" katika kipindi hicho cha kuandaa Tamasha hili limenifanya kuongeza ujuzi na kujifunza vitu ambavyo nilikuwa sivifahamu , namshukuru sana mwenyekiti wangu kwa kuona kipaji changu na moyo wangu wa kupenda Sanaa na kuamua kunishika mkono ili nijifunze zaidi 

Kwa mlezi wetu @halimayahya (Davina) , mara ya kwanza nakutana na dada yangu huyu nilikuwa nahofia kwasababu kwanza ni (star) ila kwa kweli dada yetu ni msikivu mnyenyekevu anaishia na anachukuliana na Kila mtu  bila kujali yeye ni nani? Amekuwa bega kwa bega na wasanii wa Iringa kwa kuwainuia ikiwa na kujitolea nauli za wasanii wetu kutoka Iringa kwenda dar kwaajili ya kufanya kazi za sanaa na mengine mengi  mazuri , hakika dada yetu hatutakuangusha ulichokipanda Iringa lazima kizae matunda . 

Kwa katibu wetu ndugu Hassan Rafiq kwa utendaji mkubwa wa Chama chetu amekuwa mtu wakujitolea kwa Hali na Mali , 

Kwa Afisa habari wetu Ndugu Kitang'ala kwa kazi nzuri  ya kuinua Sanaa mkoani kwetu 

Mwisho kabisa nipende kuwashukuru wasanii wote wa mkoa wa Iringa kwa kujitokeza kwa wingi katika tamasha la Usiku wa Tuzo siku ya tarehe 29 Sept , na kuwapa hongera wale wote walioshinda Tuzo pia kuwaasa waliokosa tuzo kutokuta tamaa . by @__mesalo
25
3 years ago
Download
April 2025 by @__mesalo
0
2 years ago
Download
TDFAA MKOA WA IRINGA 
Mwenyekiti ndugu khamsin Nurdin 
Katibu ndugu Hassan Rafiq 
Muhazini Bi : Salome  George

Kwa niaba ya Mwenyekiti wetu TDFAA mkoa wa Iringa ndugu Khamisi Nurdin , nikiwa kama Muhazini wa mkoa wa Iringa napenda naziwasilisha Salamu nyingi za shukhurani kwa wadau wote waliotudhamini na kuhakikisha Tamasha hili linafanyika . 

Hakika Tamasha hili limeleta hamasa kubwa sana kwa Wasanii wetu wa Tasnia ya filamu na SI filamu TU Jana nikasikia pia wasanii wa muziki wamehasika ili nao pia waanzishe Tamasha lao . 

Tuzo za Filamu mkoa wa Iringa 2023 
Za kwetu kivyetu 

#Iringa 💕 by @__mesalo
3
3 years ago
Download
 by @__mesalo
2
a day ago
Download
BTS @ika__tz 🙏❤️ by @__mesalo
9
2 days ago
Download
🌱 Growth

Photo credit @ika__tz 

#kijanioriginals #filmmaking #cinema #cinematography taken in Bagamoyo, Tanzania by @__mesalo
4
3 days ago
Download
Mother nature 🌱

Photo credit @ika__tz 🙏❤️ by @__mesalo
3
3 days ago
Download
Earth Garden. by @__mesalo
4
5 days ago
Download
 by @__mesalo
4
6 days ago
Download
❤️ @__mesalo
@mesalo__ by @__mesalo
4
8 days ago
Download
“Everything in film making has already been done. Every story has been told. Every scene has been shot. It’s our job to do it once again but better.” 

Stanley Kubrick

#mbalamweziseries #sinemazetu #azamtvburudanikwawote taken in Msata - Chalinze by @__mesalo
5
9 days ago
Download
#mbalamweziseries by @__mesalo
1
10 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up