Instagram story viewer> @_chinaboe> Posts
140
posts
22.9K
followers
1055
following
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ“
Allah is Everything πŸ™
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Katika mahojiano yetu na @tian_vank dancer huyu anasema kuwa swala la @_chinaboe ni mtu sahihi kwa sababu anaongea mambo ya kukuza dance ya Tanzania 

je ni kweli madancer still hawajui thamani yao ? 

@unistar_talk by @_chinaboe
9
8 hours ago
Download
@allymzur Ni Moja Kati Ya Dancers Ambao Wanaitunza Vyema Bland Yao Na Anajua AnachokifanyaKatika Sanaa Yake Appriciatte My Brooh 🫑 Wewe ni Mfano Bora Zaidi Katika Sanaa Yetu πŸ“Œ

@mwaka_wambele_stor by @_chinaboe
85
13 hours ago
Download
Ndugu zangu Dancers Me Nitaendelea Kuwakumbusha Kila Mara Na Bila Kuchoka Hadi Siku Ambayo Dance Itakua Ajira Rasmi 

Naomba Kuwaangalie Hawa Kuna Mambo Mengi mtajifunza 
@dj_daddytz @baby_drama69 @hbaajuni @daddy_bway @emma_plat @dumyutamu πŸ™πŸ“Œ by @_chinaboe
18
a day ago
Download
Binafsi Mimi Hawa Ndio Walisababisha Nikapenda kufanya Dance Kama Ajira Na Nikaacha kujifurahisha Pia Ukiachana Na Hivyo Hawa Ndio Wameanzisha Dance Ya Clip Tanzania na Kuachana na Mashindano pekee Much Respect To my Brothers @montana__ndonde @killy__afro_ @mjukuu_visuals πŸ«‘πŸ“Œ

@kisiniarestaurant @kisiniarestaurant_goba
@mwaka_wambele_stor πŸ‘•πŸ‘” by @_chinaboe
42
2 days ago
Download
Kwani Kuna Sehemu Tumewahi kuwakosea Ndugu zetu Kenya Au Jamaa Ni Mkwelli….? Eti @hilariouskiragu πŸ€”πŸ˜‚πŸ“Œ by @_chinaboe
24
2 days ago
Download
Tusisahau Kuwa Usivumilie Dharau Na Manyanyaso Hata Kama Upo Chini Ya Msanii Mkubwa Kumbuka hata wewe una Ndoto zako zinakusubiri Fanya Kadri UwezavyoπŸ«‘πŸ“Œ

Cc : @chino_kidd7 πŸ™ by @_chinaboe
18
3 days ago
Download
Bado Naendelea kuwapambania Ndugu zangu Dancers Brother Etu @realjaymelody Amesema Ni kitu Gani Anapenda Sana Kutoka Kwetu Na Pia Ametupa Moyo Katika Kazi Yetu Hii 

But sorry Kwa Saut Kuwa Ndogo But Unaweza Kusoma Maneno Hapo Chini Ili Upate Elimu β€οΈπŸ“Œ by @_chinaboe
29
3 days ago
Download
Huu NI Ukweli Ambao Huwezii Kuusikia Popote Kwa Mimi Naona Vitu Anavyofanya Angelnyigu Ilistahili Afanye Moseiyobo Tena Mara mbili Zaidit πŸ“Œ by @_chinaboe
47
5 days ago
Download
Ebu wewe Nambie ni kundi Gani linakuvutia zaidi Kati ya hawa new Generation Na Big Fish 

A
@ashurey_tz 
@ranykida 
@callytrappy 
@squidboycally_ 

B
@angelnyigu 
@poshboy_yd 
@papy_sk 
@moseiyobo by @_chinaboe
24
5 days ago
Download
Huu Mimi Ni Mtazamo Wangu Na Naruhusu Kurekebishwa Ili Ikawe Fundisho Kwa Dancers Wengine Wote Na Ni kwa Ajili Ya Kutengeneza Kizazi Chenye Uelewa Zaidi Na Hii Kazi πŸ™β€οΈπŸ“Œ by @_chinaboe
54
8 days ago
Download
Tujifnze kwa Huyu Jamaa @nyori_piano πŸ“Œ by @_chinaboe
88
8 days ago
Download
Na Hii Nimefanya Baada Ya utafiti Wa Muda Mrefu Sanaa And Soon Ntakuja Kuwaonesha Maendeleo Ya Dancers Waliopo Nje Wanavyoishi Muwalinganishe Na Dancers Wetu Wakubwa β€οΈπŸ™πŸ“Œ by @_chinaboe
26
9 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up