Instagram story viewer> @_davidalex> Posts
1.2K
followers
2218
following
Mjue sana Mungu, ili uwe na amani;
Ndivyo mema yatakavyokujia.
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
"Why are you so calm?"

And I said

I fear the storm inside of me

It brews and blows with every passing moment

I fear the hurt it would bring. The same way it hurts me

I have a sea of emotions inside of me. And after drowning for years, I know now how to swim

I stay calm, for panic has never stopped a storm. And I would rather drown than let it drown you

A Life Lived
By Vic by @_davidalex
3
7 days ago
Download
Daudi aliandika Zaburi nyingi. Hata hivyo, hakutumia maisha yake yote kukumbuka ushindi wake dhidi ya Goliathi. Aliandika kuhusu hofu zake, maumivu, mashaka na utegemezi wake kwa Mungu.

Kumshinda jitu Goliathi kulichukua siku moja. Lakini kujishinda mwenyewe ilikuwa vita ya maisha yote.

Wakati mwingine tunajivunia sana majitu tuliyowahi kuyashinda, tukasahau kuwa vita kubwa zaidi ni ile ya ndani, kujishinda, kubaki wanyenyekevu, kuendelea kuamini na kumtegemea Mungu hata baada ya ushindi.

Usiruhusu ushindi wa jana ukufanye usahau mapambano ya leo. Kila siku ni mwaliko mpya wa kukua, kujirekebisha na kumtegemea Mungu zaidi. taken in Usa River, Arusha, Tanzania by @_davidalex
2
18 days ago
Download
🤝 Vijana Tukutane, Tushauriane, Tukue Pamoja.

Leo kupitia Jioni ya Zamani, tumefanikiwa kukutanisha makundi mbalimbali ya vijana kwa ajili ya kushirikishana uzoefu, kushauriana na kujadili masuala mbalimbali yanayogusa maisha yetu ya kila siku.

Tunaamini kwamba kizazi imara kinajengwa pale tunapokaa pamoja, kusikilizana na kujifunza kutoka kwa kila mmoja. 🌱

 Tukiunganisha uzoefu, tunajenga kesho bora.
#JioniYaZamani #Vijana #Ushirikiano #Maisha #TujengePamoja
@surrenderforfreedom  @thefoundationfortomorrow taken in Usa River, Arusha, Tanzania by @_davidalex
2
20 days ago
Download
I used to think I wanted to become someone important.

Then I met ordinary people doing extraordinary things without knowing they were extraordinary.

A father working with tired hands.

A mother giving when she has nothing left. A child sharing what little she has.

A broken man choosing another morning.

And I realized, Maybe being a good person is a greater achievement than being an important one.

By #zeemu taken in Mbezi Beach, Dar Es Salaam by @_davidalex
2
a month ago
Download
Do you know what ENTROPY is?

It is the quiet tendency of things to fall out of order.
Tea cools.
Ice melts.
Smoke scatters.

And maybe life does the same.
People leave. Dreams collapse. We lose parts of ourselves.

But maybe we're not meant to remain untouched.
Maybe we're meant to keep rebuilding with whatever remains.

So if all you have left is one little piece of hope hold it.
That's enough to start.

By Zeemu

#njiainatoa taken in Arusha, Tanzania by @_davidalex
0
a month ago
Download
"You say you love rain but you open your umbrella. You say you love the sun but you find a shadow spot. You say you love wind but you close your windows. This is why I am afraid when you say you love me."

William Shakespeare taken in Arusha, Tanzania by @_davidalex
0
6 months ago
Download
1 Wakorintho 10:12
"Kwa hiyo anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke."

#faith #believeingodandeverythingwillfallintoplace taken in Dar es Salaam, Tanzania by @_davidalex
3
6 months ago
Download
In another life, I meet my father when he is a little boy. We sit on the roof of his old house as the sun goes down..

He points to the clouds and says which one looks like a bird, which one like a boat.

He laughs when I guess wrong, loud and happy, no worry in his eyes.

He shows me his marbles.. the shiny ones he won from friends, he says he wants to be a pilot so he can fly high and see if the river looks like a snake from up there, his voice is light, full of big dreams, no fear yet.

I want to meet that boy. Before life taught him men shouldn't cry.

We talk about simple things.. rain, dogs, how high he can jump, he doesn't know I am his son from years ahead. I don't tell him.

I just sit there and listen to the boy who will become my father.. the one who will work hard, stay up worrying, carry everything quietly so we could have better days.

I want to hug that boy and tell him it's okay to dream, to laugh, to be soft. But I don't. I let him talk. I let him be happy. Because some things can't be changed.

Cc: Anonymous taken in Zanzibar, Tanzania by @_davidalex
0
7 months ago
Download
Tunatamani kusoma. Tukishasoma tunaanza kubeza elimu. Tunafikiri hatukuhitaji kusoma.

Tunatamani kupendwa. Tukishapendwa tunawachukulia poa wanaotupenda. Tunaanza kuwapenda wasiotupenda.

Tunatafuta kazi. Tukishazipata tunaanza kufanya yasiyohusiana na kazi.

Tunatamani madaraka. Tukishayapata tunaanza kuwadharau waliotuwezesha kupata kushika nafasi tulizonazo.

Tunatamani tusichonacho. Hatuthamini tulichonacho. Huu sasa ndio umasikini hatari zaidi. Unateseka na ombwe muda wote.

Cc: Christian Bwaya taken in Rgc birikani kisima cha uponyaji zanzibar by @_davidalex
0
7 months ago
Download
Out of Hatred for the Cockroach, the Ants voted for Insecticide..

They all Died... Including the Butterfly that didn't even Vote.

~DHARMAA taken in Dar es Salaam, Tanzania by @_davidalex
2
7 months ago
Download
Yeremia 29:11-13
[11] Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho. 
[12] Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza. 
[13] Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote. taken in Zanzibar, Tanzania by @_davidalex
2
8 months ago
Download
The same man who wrote the Proverbs is the same man who fell to them.

The knowledge of sin does not protect you from the testing of sin. taken in Shinyanga, Tanzania by @_davidalex
11
8 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up