Instagram story viewer> @_real_vanny> Posts
11.9K
followers
85
following
DIRECTOR🎬
GOSPEL DANCER/CHOREOGRAPHER💒
CHOIR/GROUP DANCE INSTRUCTOR😎
PRESENTER TV @nyuma_ya_pazia1
FOUNDER @official_gcgc
MORE INFO;0766581291/DM ME
POSTS STORIES REELS TAGGED
WATAG MARAFIKI ZAKO WENYE TABIA HIZI😂😂 by @_real_vanny
193
a month ago
Download
Thank you @bongostarsearch for having me 🔥🔥

Moses .L  styled by : @teddy_closet_tz 
melanie.A  styled by : @teddy_closet_tz 
Dancers  @_real_vanny by @_real_vanny
87
3 months ago
Download
 by @_real_vanny
2k
9 months ago
Download
Nisaidie kumtag @mosesbliss Kwenye comment🙏🏻🔥
@mosesbliss Feat @festizie 
DC;ME @_real_vanny 
#halledancechallenge #realvanny #gcgc by @_real_vanny
27
10 hours ago
Download
@official_gcgc TUMEPATA NEEMA LEO YA WATU WAWILI KUWA SIKU YAO SPECIAL SANA,,HUYU ANAITWA GODFREY NI NDUGU YANGU TULIYEKUTANA KWENYE MITANDAO KWA KUSUDI LA MUNGU LAKINI HADI LEO TUNAFANYA MAKUBWA NA TUNATARAJIA KUFANYA MAKUBWA KWENYE INJILI🙏🏻

HAPPY BIRTHDAY 🎂 SIR MR GODFREY @_gentboyofficial WEWE NI BARAKA SANA KWENYE FAMILIA YA @official_gcgc by @_real_vanny
18
2 days ago
Download
TAARIFA HII NI SPECIAL SANA MAISHANI MWANGU😰

  Katika maisha ya mtu kwenye MAFANIKIO yake huwaga hakosi mtu mmoja Ambaye sio ndugu yako wa damu Ila huwaga ni mtu Ambaye toka mwanzo wa safari yako hadi mafanikio huwaga yupo nawe bega kwa bega huyo anajua Maumivu yako kuliko hata wazazi wako anajua anayoyapitia mda ambao ndugu na wazazi wako hawajui na hawakuzingatii,,kiukweli kabisa huyu @real_neyzer Amekuwa sehemu kubwa sana ya maisha yangu,kuna kipindi nilikataga kabisa tamaa kuna kipindi nuru yote ilitoweka kuna kipindi najifungia tu ndani nalia mwenyewe kuna nyakati nyengine Nilitaka hata kufuta kusudi la mungu ndani yangu na ndani ya @official_gcgc kuna kipindi nilikosa la kufanya nikasema MUNGU Nimechoka siwezi Tena kila nachofanya Mbona kinakwama kila nachojitolea Mbona hakisogei ikafika hatua nikawa nawaza mawazo Kama binadamu niache kabisa haya mambo nikatae wimbo wa MUNGU aliyoniitia NIMECHOKA😰najitahidi kulia lakini maumivu hayapungui hayaishi just imagine kuna nyakati hatuna simu ya kushoot me natumia batani mdogo wangu @real_neyzer anatumia batani lakini tunafanya mazoezi kupitia simu ya mama yake na tunaenda location tunaomba simu ya mtu Ambaye hatumjui😭😭mtu Ambaye anakaa au anapita tu njia😭😭MOYO WANGU UNAUMA SANA SANA SANA BADO YANI KITU PEKEE NILICHOKUWA NACHO NI PASSWORD YA ACCOUNT ZETU😭😭kila SIKU asubuhi nasri ananitafuta ananisisitizia twende location tukashoot tunaenda sehemu ambayo hatujui tunafanya nini tunashoot na Simu gani😭😭ananiambia brother Vanny twende ile energy yake ilinipa sababu ya kusimama Tena kuna SIKU nilikaa nililia sana nilisema MUNGU katika kitu AMBACHO nakushukuru ni kunipa huyu mtu kuwa sehemu ya safari ya maisha yangu AMENIPA SABABU YA MIMI KUSIMAMA TENA NA KUPAMBANA,,,na MUNGU hakutuacha alijua analolifanya na alilolipanga juu yangu HADI PALE NILIPOANZA KUMILIKI SIMU AMBAZO SIKUWAI KUFIKILIA KUMILIKI NILIPOANZA KUSHIKA HELA AMBAZO SIKUWAI KUWAZA NINGESHIKA NILIPOANZA KUKUTANA NA WATU NA MINISTERS AMBAO SIKUWAI KUWAZA NINGEKUTANA NAO😭😭😭NEEMA YAKO YANITOSHA MUNGU HADI PALE NILIPOPATA WATU AMBAO WALIKUJA KUSIMAMA NA MIMI,,MOYO UNAUMA UNAUMA SANA

HAPPY BIRTHDAY🎂NASRI @real_neyzer by @_real_vanny
26
2 days ago
Download
HUU WIMBO UNAUSIKILIZA MARA YA KWANZA ULIJISKIAJE NDANI YAKO😳😰?
DC;ME @_real_vanny 
@essenceofworshipministries by @_real_vanny
51
5 days ago
Download
UMEUSIKILIZA KWENYE HUU WIMBO?
NI MZURI SANA HEBU NENDA KASIKILIZE ALF UNIAMBIE DIRECTOR WA HUU WIMBO NANI🙄🙄??
Unaitwa HONGERA kaimba my brother @benjaminwestoni NI MZURI SANA by @_real_vanny
64
6 days ago
Download
 by @_real_vanny
46
9 days ago
Download
 by @_real_vanny
48
10 days ago
Download
Asanteni sana Uongozi mzima wa umoja wa vijana wa usharika wa @kkkt_mbezibeach kwa nafasi tuliyopata🙏🏻🙏🏻
KARIBU KWA HUDUMA ZA MAIDS & GROOMS,HIGH QUALITY PERFORMANCE,NA MENGINE MENGI MUNGU AKUBARIKI
#jambolakoniletusote by @_real_vanny
63
13 days ago
Download
Hizi kazi nyengn hizi zinaitaji moyo😂😂😂but wimbo mzuri sana Upo ALL DIGITAL PLATFORMS @careengukwiministry tufollow hii account by @_real_vanny
44
15 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up