Instagram story viewer> @aboustv_> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Historia ya Simba imepitisha wachezaji wengi wakubwa, lakini hawa watatu ni miongoni mwa majina ambayo mashabiki wengi hawawezi kuyasahau. Kila mmoja ameacha alama yake ndani ya klabu. Sasa ni zamu yako kutoa maoni. Unamchagua nani kuwa legend wako kati ya hawa watatu? Andika jina lake kwenye comments. πŸ¦πŸ‘‡πŸ”₯

1. MEDDIE KAGERE πŸ‡·πŸ‡Ό
2. EMMANUEL OKWI πŸ‡ΊπŸ‡¬
3. HARUNA NIYONZIMA πŸ‡·πŸ‡Ό

🦁 Mashabiki wa Simba, nani ni legend wako kati ya hawa watatu? COMMENT jina lake tu! πŸ‘‡πŸ”₯

#aboustvupdates #aboussports #abousmedia #mediekagere #emanuelokwi taken in Dar es Salaam, Tanzania by @aboustv_
204
2 months ago
Download
🚨 RASMI: Arsenal wamekamilisha uzinduzi wa jezi zote za msimu wa 2026/27 – Home ❀️, Away πŸ’› na Third πŸ’™.

Jezi hizi tayari zimezua mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki wa Gunners duniani.

Swali ni moja tu… Je, wewe umeipenda jezi ipi zaidi?

❀️ = Home
πŸ’› = Away
πŸ’™ = Third

Andika jibu lako kwenye comments na usisahau kugonga LIKE! πŸ‘‡πŸ”₯

#aboustvupdates #aboustv #arsenal#arsenalnewjersey2026/2027#arsenaljersey by @aboustv_
12
3 months ago
Download
Mchezaji wa soka Hudson Odoi, @calteck10
 Anayekipiga Katika Klabu Ya Nottingham Forest (Uingereza), Amevutia Mashabiki Wa Muziki Wa Afrika Mashariki Baada Ya Kuposti Kipande Cha Wimbo Mpya Wa @diamondplatnumz –#sasampa Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram.

Kitendo hicho kimepokelewa kwa furaha kubwa na mashabiki wa Bongo Fleva, wengi wakionyesha fahari kuona muziki wa Tanzania ukipata kutambulika kimataifa.

Odoi, ambaye ni raia wa Uingereza mwenye asili ya Ghana, ameonyesha wazi kuvutiwa na midundo ya Sasampa, jambo linaloendelea kuthibitisha jinsi kazi za Diamond zinavyopenya hadi nje ya bara la Afrika

Slide 2 KUONA picha >>>

Follow @aboustv_
Kwa habari zaidi 

Mnafikiri kwanini wachezaji wengi wa nje wanapenda mziki wa Diamond Platnumz? πŸ€”

Andika comment yako hapo chini πŸ‘‡πŸ‘‡

✍️ @itsxhidy_7

#aboustvupdates#abousintertainment#hudsonodoi
#nottinghamforestfc taken in Dar Es Salaam, Tanzania, East Africa by @aboustv_
31
a year ago
Download
@ayrastarr πŸ‡³πŸ‡¬ na tayla πŸ‡ΏπŸ‡¦, nani mkali zaidi kwenye muziki wa kimataifa? wote wanawakilisha africa kwa kiwango cha juu, lakini mashabiki wamegawanyika.

swali ni moja tu, kati ya hawa wawili nani anastahili kuitwa malkia wa muziki wa sasa? πŸ‘€πŸ”₯

taja jina la msanii wako kwenye comments na utoe sababu yako.

#aboustvupdates #abousintertainment #hiikwakoimekaa #fyp taken in Dar es Salaam, Tanzania by @aboustv_
0
8 days ago
Download
Ezri Konsa amekuwa akivuta attention kwa tabia yake ya kutokubali kushushwa kwenye uwanja. Kila anapokutana na wapinzani, mara nyingi anaonekana kuingia kwenye mijibizano na mikwaruzano, hali inayomfanya aonekane kama beki mwenye β€œhasira” uwanjani. πŸ˜‚

Ukiangalia mechi zake, ni kama kila mchezo lazima kuwe na story yake na mchezaji wa timu pinzani. 

Lakini swali ni moja tu:
πŸ‘‰ Konsa ni mkorofi kweli, au ni sehemu tu ya ushindani na kujilinda uwanjani?

#aboustvupdates #aboussports #ezrikonsa #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp#fypγ‚·β€οΈπŸ’žβ€οΈ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @aboustv_
0
a month ago
Download
Wasanii @lonybway na @dayoo_tz wameachia rasmi wimbo wao mpya unaoitwa β€œNapendwa”, ambao tayari umeanza kuvuta hisia za mashabiki wa muziki.

Collabo hiyo imekuja ikiwa na ladha ya kipekee, huku mashabiki wakipata nafasi ya kusikiliza na kutoa maoni yao kuhusu kazi hiyo mpya.

β€œNapendwa” ni miongoni mwa nyimbo mpya zinazopamba muziki kwa sasa, ikiwaunganisha Lony Bway na Dayoo katika kazi inayolenga kuwafikia mashabiki wao.

Kwa upande wako, β€œNapendwa” umeikaliaje? πŸ”₯

#abousupdates #abousintertainment #napendwa by @aboustv_
4
a month ago
Download
Kwenye nyimbo za mapenzi, nani anajua zaidi kugusa moyo? πŸ₯ΉπŸŽΆ

Kama ungepewa nafasi ya kuchagua msanii mmoja tu akupigie nyimbo za mapenzi usiku mzima ❀️πŸ₯ΉπŸŽΆ β€” ungechagua nani kati ya @xouh__  au @yammitz ?

COMMENT jina moja tu πŸ‘‡πŸ½ Usichague wote! πŸ‘‡πŸ‘‡

#aboustvupdates #abousintertainment #xouh #yammi #bongofleva taken in Dar es Salaam, Tanzania by @aboustv_
3
2 months ago
Download
@kusslove_tz  na @pipijojotz  wameonekana pamoja ndani ya studio, jambo ambalo limezua maswali kwa mashabiki. πŸ‘€πŸ”₯

Je, wawili hawa wanaandaa collabo mpya, au kuna kitu kingine kinaendelea kimya kimya nyuma ya pazia? ❀️‍πŸ”₯

Slide 2 πŸ‘‰πŸ»πŸ‘‰πŸ»πŸ‘‰πŸ»πŸ‘‰πŸ»

πŸ‘‡ WEWE UKIIONA HII VIDEO UNAONA NI COLLABO TU AU KUNA STORY NYINGINE?

#aboustvupdates #abousintertainment #pipijojo #kusslove #fypγ‚· taken in Tanzania, Africa by @aboustv_
1
2 months ago
Download
Harmonize anatarajia kuachia album yake mpya β€œ31”, ikiwa na jumla ya nyimbo 14 na kushirikisha mastaa mbalimbali kutoka Tanzania na Afrika. Miongoni mwa collabo zinazotajwa ni @qingmadi  @wandecoal , @marioo_tz  @rayvanny , @iammayorkun , @stonebwoy , @darkoo , @yemialade @younglunya  @mr1  @yalevisdalwear @realjaymelody @sofiyanzau 

Kati ya hizi collabo zilizopo kwenye album, ni ipi unaisubiri kwa hamu zaidi? πŸ”₯

πŸ‡³πŸ‡¬ Qing Madi
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Rayvanny
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Marioo
πŸ‡ΏπŸ‡¦ Sofiya Nzau
πŸ‡³πŸ‡¬ Yemi Alade
πŸ‡³πŸ‡¬ Mayorkun
πŸ‡³πŸ‡¬ Young Lunya
 

follow @aboustv_  kwa habari na updates zaidi 

πŸ‘‡ Taja collabo yako hapa chini! πŸ”₯πŸ”₯

#aboustvupdates #abousintertainment #aboustv #31album #harmonize taken in Dar es Salaam, Tanzania by @aboustv_
5
2 months ago
Download
πŸ”₯ ERTUGΜ†RUL BEY YUPO TANZANIA! πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŽ

Muigizaji maarufu wa Uturuki Engin Altan Düzyatan @enginaltandzytn, anayefahamika kama ErtugΜ†rul Bey, amewasili Tanzania kwa ziara ya kutembelea na kufurahia vivutio vya utalii nchini. 🌍πŸ”₯
 Hii inakuwa ziara yake ya pili kuitembelea Tanzania  baada ya ile ziara aliyowahi kufanya hapo awali
Ujio wake ni fursa nyingine ya kuutangaza uzuri wa Tanzania kimataifa. πŸ‡ΉπŸ‡Ώβ€οΈ

Karibu Tanzania, ErtugΜ†rul Bey! 🐎πŸ”₯

#aboustvupdates #aboustv #EnginAltanDuzyatan #Tanzania #visittanzania by @aboustv_
0
2 months ago
Download
Maulidi mubarak Wana familia wote wa @aboustv_ 

#maulidnabimuhammadsaw #maulidmubarak #maulidnabi taken in Dar es Salaam, Tanzania by @aboustv_
0
2 months ago
Download
🚨πŸ”₯ DIAMOND PLATNUMZ AWAACHA MASHABIKI NA MASWALI BAADA YA KUMTAJA β€œCHINA MAN” πŸ‘€

Msanii wa Tanzania Diamond Platnumz ameibua gumzo mitandaoni baada ya kuandika comment akisema:

β€œEti Simba anapenda China Man! Asa nipende nini kwani??”

Kauli hiyo imezua maswali kwa mashabiki, huku baadhi wakianza kujiuliza Diamond alikuwa akimaanisha nini kupitia comment hiyo. πŸ‘€πŸ”₯

WEWE UMEIELEWAJE COMMENT YA DIAMOND? πŸ€”πŸ‘‡πŸ½
dondosha comment yako πŸ‘‡πŸ‘‡

Follo @aboustv_  kwa updates 

#aboustvupdates #abousintertainment #diamondplatinumz_trends #wcw #wasafi by @aboustv_
1
2 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up