Instagram story viewer> @abuthaaqib> Posts
268
posts
9.5K
followers
514
following
Stranger🌍| Poet/Mshairi🖋| Writer📑
F I L M M A K E R 🎬
S T O R Y T E L L E R 🎥
F O U N D E R💼
@alhijrahswahilitv
@kama_zanzibar_restaurant
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
"Akili zilizo salama kutoka kwa viongozi wetu ndio Mstakabali salama wa Kizazi kijacho"~Muslim CampingCamp Mentor @sheikh_shams_elmiCamp Manager @abuthaaqib #muslimcamping #muslimcamping2026 by @abuthaaqib
2
4 days ago
Download
Shukran za dhati sana kwa Photographer na Videographer wa tukio letu @jaliluzaid @abuthaaqib @aqonlinetv @thehijabtalks @miladu_tv @majirani_wa_peponi na media zingine zote, mmefanikisha kumbukumbu ambayo itabaki kuwa Historia katika Taasisi yetu.Allah awabaarik na aiweke katika mizani yenu ya matendo mema by @abuthaaqib
8
11 days ago
Download
“Muumini mwenye nguvu ni bora na anapendwa zaidi na Allah kuliko muumini dhaifu, na katika wote kuna kheri.”(Sahih Muslim, 2664)Kwa siku tano za Qur'an, ibada, nidhamu, uongozi, kujitegemea, ushirikiano na udugu. Kila hatua ilikuwa sehemu ya safari ya kujenga vijana wenye Akhlaq, maarifa na uwajibikaji.Hii haikuwa camp ya kawaida, ilikuwa shule ya maisha inayowaandaa kuwa viongozi wema wa familia, jamii na Ummah.Muslim Camp 2026 Arusha Akhlaq First"Building Strong Boys, Raising Better Men.""We Don't just Camp, We build the Character"#muslimcamping2026 #muslimcamping by @abuthaaqib
12
18 days ago
Download
Muslim boys camp 2026 iliyofanyika Arusha ni Camp ya Mwanga mpya kwa Kijana wa Kiislam by @abuthaaqib
32
a month ago
Download
🏕️ MUSLIM BOYS CAMP 2026“Akhlaq First”Mzazi, hii sio likizo ya michezo tu…Bali ni nafasi ya mtoto wako kujifunza Nidhamu, Akhlaq, Uongozi na kujitegemea katika mazingira salama na yenye malezi bora.Kwa siku 5, watoto watapata:✔ Malezi ya Kiislamu✔ Mafunzo ya Nidhamu na Uongozi✔️ Elimu ya Fedha & Utunzaji wake✔ Michezo na mazoezi ya viungo na mwili✔ Kujitegemea na ujuzi mwingine wa kuishi✔ Elimu dhidi ya Dawa za Kulevya✔ Huduma ya kwanza pamoja na kujenga ushirikiano🎙 Wakiwa pamoja na Masheikh, Wataalamu wa Malezi, viongozi wa usalama na washauri wenye uzoefu.📍 Arusha🗓 12–16 June 2026👦 Umri: Miaka 11–17🍽 Chakula🏕 Malazi🚌 Usafiri📜 Vyeti vya Ushiriki«Tunajenga wavulana wa leo kuwa wanaume bora wa kesho.»📞 0741 096050📲 Instagram: @muslim_camping⚠️ Nafasi ni chache — wahi kumsajili mtoto wako mapema. by @abuthaaqib
130
2 months ago
Download
"wote walikiri ya kwamba Hakuna Maombi Wala ibada ya Kufanya wewe Usife,Bali Wote walikiri ya kwamba Kuna Maombi ya wewe Kulazwa Mahala pema peponi,Lazima na Hili Likumbukwe Ugonjwa si Ishara ya Kifo na Wala Afya njema si Alama ya Uhai Mrefu"~Abuthaaqib by @abuthaaqib
4
2 months ago
Download
Wanaomtegemea Allah, Hakika Hujinyenyekeza kwake na kuinua mikono na Kusema "Mola wetu Hakika sisi Tunakutegemea wewe, Tunahitaji Radhi na kheri zako,kwa yakini Wewe pekee ndio Wakuzibadili khofu kua Amani, huzuni kua furaha, na udhaifu kua Nguvu".With Sheikh Ahmed Othman (Imam Masjid Jamia Landis,Nairobi) by @abuthaaqib
0
3 months ago
Download
"Idhini ya Allah pekee ndio Inatufanya Tuendelee kuwepo Katika Mgongo wa Ardhi,Tukafadhikishwa kwa Uwezo na karama tofautitofauti,Basi Tambua Yeye pekee ndo Tajiri na Sisi sote Hakika Ni Mafakiri, Tunataraji Rehema na Fadhila za Mola wetu Mlezi, Kwakua Hakuna anayemiliki Rehema Wala Fadhila isipokua Allah"~ Abuthaaqib with @sheikhjamaludinosman by @abuthaaqib
2
3 months ago
Download
"Baadhi ya Vijana wanataka kusikia wanachotaka wao kusikia na sio unachofundishwa, Lau kama wanafunzi Mashuleni na vyuoni wangekua wanataka kusikia watakacho elimu yote isingekuwepo"~Abuthaaqib with @sheikh_shams_elmi by @abuthaaqib
1
3 months ago
Download
Alhamdulillah Kwa Uwezo wa Allah Mwanzo Umekua Mzuri na Yajayo Yanafurahisha In shaa Allah! With @sheikhrishard rajab Principal of Sheikh Khalifa Bin Zayd &Tec School 🇰🇪 by @abuthaaqib
4
3 months ago
Download
رَبِّ إِنِّي لِمَا أَنْزَلْتَ إِلَيَّ مِنْ خَيْرٍ فَقِيرٌ“Mola wangu! Hakika mimi ni mhitaji wa kheri yoyote utakayoniteremshia." by @abuthaaqib
5
3 months ago
Download
Wengine wanahesabu Eid imebaki siku ngapi, Wengine wanahuzunika Hawajaitendea Haki Fursa ya Mwezi wa Ramadhani,Sikia Tupo Bado kwa masiku ya kumi la mwisho la mwezi Mtukufu wa Ramadhani! Muda huu ni wa kipekee sana katika ibada na kumkaribia Mwenyezi Mungu kwa moyo wote. Tunaposujudu na kumwomba, tunajenga uhusiano imara na Muumba wetu. Kila dua na ibada yako ina thamani kubwa sana, Kubwa zaidi ni Kupata Nafasi ya Kuudiriki Usiku wa Laitul al qadir (Usiku wa Cheo) Usiku ambao ni Usiku Bora Zaidi Ya Miezi 1000 sawa na miaka 83, Allah atujaalie Miongoni Mwa wenye Kuudiriki na Kusamehewa Madhambi yetu Allahumaa Amin ☺️#Allah#Muhammad #Quran#islam#Alhijrahswahilitv Fuatanjiasahihi by @abuthaaqib
11
4 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up