Instagram story viewer> @ajoyprimaryschool> Posts
600
followers
43
following
Primary school | Tanzania 🇹🇿
Education social enterprise
Hybrid model • Scholarships for vulnerable children.
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
🏫✨ Karibu Muhula Mpya!

Katika A Joy Pre & Primary School tunaendelea kuhakikisha wanafunzi wetu wanapata elimu bora, malezi bora na mazingira salama ya kujifunzia na kuishi.

Tunawashukuru wazazi na walezi kwa ushirikiano wenu. Tupo tayari kuwakaribisha wanafunzi wetu kwa muhula mwingine wa mafanikio, nidhamu na maendeleo.

📚 New Term. New Opportunities. 💙 For a Better World.

#AJoyPrimarySchool #BackToSchool #ForABetterWorld #QualityEducation #MafingaSchools BoardingLife NewTermNewOpportunities by @ajoyprimaryschool
0
3 months ago
Download
📚✨ BACK TO SCHOOL 2026 ✨📚

Karibu Muhula Mpya – New Term, New Opportunities!

Kila muhula mpya huleta nafasi mpya za kujifunza, kukua na kufikia malengo makubwa zaidi. Tunawakaribisha wanafunzi wetu wote kurejea shuleni wakiwa na ari mpya, nidhamu na bidii ya kufanya vizuri zaidi.

Katika A Joy Pre & Primary School tunaendelea kujenga msingi imara wa elimu, maadili na mafanikio ya watoto wetu.

🎓 Quality Education 💙 Caring Environment 🌟 Bright Future 🤝 Strong Values

Wazazi na walezi, tunawashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaendelea kuwakaribisha katika safari ya kumjengea mtoto wako kesho bora.

📍 A Joy Pre & Primary School 📞 +255 697 342 410

#BackToSchool2026 #AJoyPrimarySchool #NewTermNewOpportunities #QualityEducation #BrightFuture Mafinga EducationForABetterWorld BackToSchool SchoolLife PrimaryEducation TanzaniaSchools AJoyPreAndPrimarySchool taken in Mafinga, Iringa, Tanzania by @ajoyprimaryschool
0
3 months ago
Download
taken in Mafinga, Iringa, Tanzania by @ajoyprimaryschool
0
3 months ago
Download
 by @ajoyprimaryschool
0
3 months ago
Download
Uongozi wa A JOY PRE & PRIMARY SCHOOL unapenda kumtambulisha kwenu Bi. Paskalina Willson ambaye amejiunga nasi kama Meneja wa Bweni na Msimamizi wa Chakula (Dormitory Manager & Food Supervisor).

Bi. Paskalina kuanzia sasa atasimamia ustawi wa wanafunzi wa bweni kwa kuhakikisha wanapata mazingira salama, chakula bora, usafi wa hali ya juu, malezi mema na uangalizi wa karibu wakati wote.

Tunaamini uzoefu wake, upendo kwa watoto na kujituma kwake vitachangia kuboresha zaidi huduma za bweni na ustawi wa wanafunzi wetu. taken in Mafinga, Iringa, Tanzania by @ajoyprimaryschool
0
4 months ago
Download
📢 Join our growing team at A Joy Pre & Primary School!

We are looking for passionate and qualified English and Kiswahili Teachers who are committed to inspiring young minds and shaping future leaders.

📍 Mafinga, Iringa
📅 Application Deadline: 22 June 2026

Together We Grow, Together We Succeed.

#TeachingJobsTZ #AJoySchool #EducationCareers by @ajoyprimaryschool
0
4 months ago
Download
Miezi 6 tu iliyopita, somo la Kichina lilianza rasmi A Joy Pre & Primary School. Leo, wanafunzi wetu tayari wanaweza kuzungumza na kujitambulisha kwa lugha ya Kichina kwa ujasiri mkubwa.

Huu ni ushahidi kuwa watoto wana uwezo mkubwa wanapopewa mazingira sahihi ya kujifunza. Tunajivunia hatua hii na tunaendelea kuwafungulia wanafunzi wetu milango ya dunia kupitia elimu.

Tazama video na utuambie, umevutiwa na uwezo wao?

#AJoySchool #ChineseLanguage #futureready taken in Mafinga, Iringa, Tanzania by @ajoyprimaryschool
6
4 months ago
Download
Likizo si muda wa kupumzika tu, bali ni fursa ya kugundua vipaji vya watoto wetu. Mpe mtoto nafasi ya kuonyesha anachopenda kufanya, msikilize, mshirikishe kwenye shughuli mbalimbali na umchunguze kwa karibu.

Huenda mwimbaji, mwanasayansi, msanii, kiongozi au mzungumzaji bora wa kesho yupo nyumbani kwako leo. Kipaji kikitambuliwa mapema, mtoto hujenga kujiamini na kufikia ndoto zake kwa urahisi zaidi.

#DiscoverTalents
#AJoySchool
#DreamBig taken in Mafinga, Iringa, Tanzania by @ajoyprimaryschool
0
4 months ago
Download
Debate Session at A Joy Primary School | Mdahalo 

Motion:
“Students should be allowed to use mobile phones for educational purposes.”
“Wanafunzi wanapaswa kuruhusiwa kutumia simu kwa ajili ya kusomea.”

Our students demonstrated confidence, critical thinking, and public speaking skills during today’s debate.

Sasa tungependa kusikia maoni yako:

Do you agree students should use phones for learning?
Au simu zinaleta usumbufu zaidi kuliko faida kwa wanafunzi?

Share your opinion below.

#AJoyPrimarySchool #SchoolDebate #FutureLeaders #EducationMatters #PublicSpeaking StudentVoices Mafinga taken in Mafinga, Iringa, Tanzania by @ajoyprimaryschool
1
4 months ago
Download
 by @ajoyprimaryschool
0
6 months ago
Download
Habari mzazi/walezi,  tunakuletea product (zao lingine) ingine ya A joy .  Je, una changamoto ya dada? Karibu kiddo day care kwa malezi bora na  ujifunzaji bora, mazingira mazuri ya kujifunzia ,lishe bora na walezi mahiri. Karibu kwa maelezo zaidi. by @ajoyprimaryschool
0
6 months ago
Download
Tunapenda kuwashirikisha kuwa watoto wetu wanajifunza zaidi ya darasani. 
“Elimu haibaki darasani tu — inaendelea hadi shambani.” 
Kupitia shughuli za vitendo kama kulima na kupalilia mahindi, watoto wanajenga nidhamu, uwajibikaji, na stadi za maisha.

Asanteni kwa ushirikiano wenu wote katika kukuza watoto wetu.,thank you to Mr Isack ,Vitus and Madam Sitnes for this class taken in Mafinga, Iringa, Tanzania by @ajoyprimaryschool
0
8 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up