Instagram story viewer> @albog.ast> Posts
1.7K
followers
1630
following
International Facilitator GBV, Cyberbulying proved Europe 🇪🇺|Executive Director @capacitybuildingfor_youth1
President Of Young Heroes Network In Africa
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Kuna umuhimu sana wa kulinda na kudumisha amani na tofauti zetu kuziepusha mbali mimi niko tayari kulinda  amani ya nchi hii by @albog.ast
1
4 months ago
Download
Happybirthday kwako kamanda 🎂🎂🎂😀 @mr_contant  enjoy ur day maisha marefu kamanda🫡🎂😁 by @albog.ast
2
2 days ago
Download
CBYO YAHAKIKISHA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA SERIKALI KATIKA UWEZESHAJI WA VIJANA

Katika hafla ya uzinduzi wa Jukwaa la Uwezeshaji wa Mwanamke Kiuchumi, Mkurugenzi Mtendaji wa Capacity Building Youth Organization (CBYO), Bw. Albogast Mbeya @albog.ast , alipata nafasi ya kutoa salamu kwa niaba ya taasisi hiyo.

Katika salamu zake, Bw. Mbeya alieleza utayari wa CBYO kushirikiana na Serikali katika kutekeleza programu na mipango mbalimbali ya kuwawezesha vijana, hususan wanawake vijana, kiuchumi na kijamii.

Alisisitiza kuwa CBYO ipo tayari kuunganisha nguvu na Serikali pamoja na wadau wengine wa maendeleo ili kuhakikisha fursa za uwezeshaji zinawafikia vijana wengi zaidi na kuleta matokeo chanya katika jamii.

Aidha, alibainisha kuwa ushirikiano wa karibu kati ya Serikali, taasisi za vijana na wadau wa maendeleo ni muhimu katika kukuza ujasiriamali, ajira, ubunifu na ushiriki wa vijana katika maendeleo ya taifa.

CBYO inaendelea kusimamia dhamira yake ya kuwawezesha vijana, kujenga uwezo wao na kuunganisha fursa kwa ajili ya maendeleo endelevu. by @albog.ast
10
2 days ago
Download
Allow me to reintroduce myself 
NEEMA MASHIMBA — MISS DODOMA 2026. 👑

A woman of purpose, ambition, and vision. Representing Dodoma with elegance, confidence, and a commitment to positive change.

This is more than a title; it is a platform to make a difference. The journey continues 
#Shine Bright Like A 💎 

#MissDodoma2026 #RoadToMissTanzania by @albog.ast
24
2 days ago
Download
Kuwa kiongozi si kuwa na cheo au kuitwa kiongozi, bali ni kuishi maisha yanayoakisi uongozi wako. Uongozi wa kweli unaonekana katika matendo yako, maamuzi yako, nidhamu yako, namna unavyowatendea wengine na uwezo wako wa kuwainua watu bila kutafuta sifa.
Kiongozi wa kweli haonekani kwa jina analobeba, bali kwa alama anayoiacha katika maisha ya wengine. 💯🔥 taken in New York, USA by @albog.ast
7
3 days ago
Download
😁💪🏻💪🏻Kubali Liziki by @albog.ast
5
3 days ago
Download
Zihara ya kwenda kwa mkuu wamkoa dodoma by @albog.ast
5
5 days ago
Download
*”Na ijapokuwa ninapita kati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya; kwa maana Wewe upo pamoja nami, gongo lako na fimbo yako vyanifariji.”* - _Zaburi 23:4 (SUV)_ by @albog.ast
2
5 days ago
Download
Next Gen Youth Action🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎯🎯🎯 by @albog.ast
2
5 days ago
Download
CBYO IMEFANYA KIKAO KAZI NA MAKUNDI YA VIJANA KUJADILI MRADI WA NEXTGEN YOUTH ACTION. 

Leo tarehe 10/10/2026, Taasisi ya Capacity Building for Youth Organization (CBYO) imefanikisha kikao kazi muhimu na makundi ya vijana katika Ofisi zake Mkoani Dodoma.
Lengo kuu la kikao hicho lilikuwa kujadili kwa pamoja namna bora ya kutatua changamoto zinazowakabili vijana na kupokea maoni yao ili kuboresha mradi mpya unaotarajiwa kuanza hivi karibuni w NextGen Youth Action.
Kikao hicho kimehudhuriwa na wawakilishi wa makundi mbalimbali ya vijana ambapo wamepata fursa ya kuwasilisha maoni, uzoefu na mapendekezo yao ya vitendo yatakayosaidia mradi huu kuwa na matokeo halisi (Real Action, Measurable Impact).
Kikao kimeitishwa na kuongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa CBYO Bw. Albogast Faustin Mbeya by @albog.ast
4
5 days ago
Download
CBYO IMEFANYA KIKAO KAZI NA MAKUNDI YA VIJANA KUJADILI MRADI WA NEXTGEN YOUTH ACTION. by @albog.ast
9
5 days ago
Download
Mungu anazidi kutupigania kikubwa uzima na uhai🙏🏻🙏🏻 by @albog.ast
2
6 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up