Instagram story viewer> @albogastbm> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
#Repost from @eastafricatv  #PICHA Mhariri Dawati la Habari EATV/EA Radio Elbogast Myaluko (@albogastbm) (kushoto) akiwa amemwakilisha Mkuu wa Idara ya Habari, kwenye Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2022 linalofanyika kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam.

Mgeni rasmi katika Kongamano hilo ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, @napennauye 

@gersonmsigwa @msemajimkuuwaserikali 
#EastAfricaTV by @albogastbm
65
4 years ago
Download
Hii ni kawaida yetu kila Jumamosi #EATVJoggingClub tunakutana Barabarani

@kilimanjaro_mineral_water by @albogastbm
6
8 hours ago
Download
Nani huyo anatuma message wakati #eatvjoggingclub tupo barabarani na @kilimanjaro_mineral_water 

#eatvjoggingclub #eastafricatv by @albogastbm
19
9 hours ago
Download
Wewe nani wewe hutaki kufanya mazoezi ,karibu EATV JOGGING CLUB tufanye mazoezi tukiwa na @kilimanjaro_mineral_water 

#eatvjoggingclub #eastafricatv by @albogastbm
6
9 hours ago
Download
Kama kawaida EATV JOGGING CLUB leo tumekutana barabarani maeneo ya Coco beach kukata wese na vibe kama lote tukipewa nguvu na @kilimanjaro_mineral_water 

#eatvjoggingclub  #eastafricatv by @albogastbm
6
9 hours ago
Download
Kuna siku tutamlaumu Faisal 🖐🏿

@stevechampion17 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @albogastbm
256
a day ago
Download
Tanzania na Jeshi letu 🇹🇿

@stevechampion17 

@jwtz_military @ngome_media @jeshi_la__wananchi_jwtz @jeshi_la_polisi_tanzania taken in Dar es Salaam, Tanzania by @albogastbm
115
2 days ago
Download
Mpira au Muziki kipi kinaichangamsha Dunia?

@stevechampion17 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @albogastbm
204
3 days ago
Download
Oyaa @hamisikabwesports mwambie ndugu yako tutampiga sasa🤣🤣

Au wataalam kama vipi muwahini huyu kabla hajachanganyikiwa atapona huyu #Jokes 

#RememberTheName - Ahmedy Ally mtu bora sana kwenye meza yake. by @albogastbm
44
3 days ago
Download
Leo bwana baada ya kushawishiwa na Mtiifu @van_msumi kwenda mazoezi kwakuwa Watiifu huwa hatupingani ikabidi nikubaliane naye tukaekelea @new_afya_gym_vip pale Goba. 

Kilichonikuta 🙌 na wewe unaweza ukasogea hapo ukutane na walimu wazuri na watakushauri vizuri kuhusu Afya.

Mpaka kesho tena💪 

@shneida_infos unataka kusema nini?

#RememberTheName by @albogastbm
21
4 days ago
Download
#Michezo | Kocha Lionel Scaloni pamoja na wachezaji 16 wa timu ya taifa ya Argentina wamewasili salama jijini Buenos Aires wakitokea nchini Marekani baada ya fainali ya Kombe la Dunia 2026.

Licha ya kupoteza ubingwa dhidi ya Hispania, maelfu ya mashabiki wamejitokeza kuwakaribisha mashujaa wao chini ya ulinzi mkali. 

Nahodha Lionel Messi hajajumuika nao kwani ameelekea Miami kwa mapumziko.

#Michezo | #EastAfricaTv | #TogetherTunawakilisha by @albogastbm
91
4 days ago
Download
Hujafa bado 🫂

@stevechampion17 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @albogastbm
83
4 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up