Instagram story viewer> @andy.cosmetics_> Posts
2712
posts
33.4K
followers
58
following
✨Flawless skin in no time.
✨we sell genuine products from Uk,USA &korea
✨Open 8:00-20:00 mon to sat
📞 065 714 4085/0654316778
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
NEW BIES AND RESTOCKS !!Bidhaa mpya na restocks sasa zinapatikana!Tunafanya deliveries ndani ya jiji na pia tunatuma mizigomikoani. Usikose fursa hii ya kupata bidhaa bora kabla hazijaisha!📍114 kijitonyamaBolt location :Andy cosmetics 📲📞0654316778/0757871569 by @andy.cosmetics_
8
4 days ago
Download
STOCK MPYA IMEWASILIHabari njema kwa wapenzi wa skincare, haircare, body care na fragrances! Bidhaa mpya na bidhaa zenu pendwa zimewasili Pata bidhaa halisi, zenye ubora wa juu kwa ajili ya ngozi, nywele na mwonekano wako wa kila siku.📍 Kijitonyama, Dar es Salaam📞 0654316778 / 0757871569🚚 Tunafanya deliveries ndani na nje ya Dar es Salaam.Wahi kupata unachokipenda kabla hakijaisha! Karibu @andy.cosmetics_ by @andy.cosmetics_
0
a month ago
Download
Wateja wetu wapendwa, Tunafurahi kuwajulisha kuwa sasa tunapatikana katika eneo letu jipya.📍 Kijitonyama, Blackwood Road Mkabala na Barrel Petroleum Station Karibu na Mambise Liquor StoreAsanteni kwa kuendelea kutuamini na kutuunga mkono. Tunatazamia kuwahudumia katika eneo letu jipya. Karibuni sana! #AndyCosmetics by @andy.cosmetics_
6
a month ago
Download
La Roche Posay toleriane purifying foaming cleanser Husafisha ngozi kwa kina bila kuikaushaHuondoa mafuta ya ziada, uchafu na mabaki ya makeupHusaidia kudhibiti mafuta usoniHulinda skin barrier kwa kutumia Ceramide-3Ina Niacinamide inayosaidia kutuliza ngoziHusaidia ngozi kubaki safi, laini na yenye afya400mls 🏷️120,000 by @andy.cosmetics_
0
3 days ago
Download
La roche Posay mela b3Cleanser 🏷️120,000Serum🏷️190,000Sunscreen 🏷️150,000 by @andy.cosmetics_
0
3 days ago
Download
La Roche Posay purifying foaming gel cleanser Husafisha ngozi kwa kina na kuondoa mafuta ya ziadaHusaidia kupunguza mafuta usoni bila kuikausha ngoziHusaidia kuzuia kuziba kwa vinyweleoHusaidia kupunguza chunusi na vipele vinavyotokana na mafuta mengiHubalance pH ya ngoziHuifanya ngozi ibaki safi, nyororo na yenye afya400mls 🏷️120,000 by @andy.cosmetics_
0
3 days ago
Download
Up & up coconut milk & shea hand cream Hulainisha mikono kwa hadi saa 24Hupunguza ukavu na mikwaruzo ya ngozi ya mikonoIna Ceramides, Hyaluronic Acid, Keratin na Vitamin E zinazosaidia kurejesha unyevuHufanya mikono iwe laini na yenye mwonekano wa afyaHufyonzwa haraka bila kuacha mafuta mengiInafaa kwa matumizi ya kila siku🏷️40,000 by @andy.cosmetics_
0
3 days ago
Download
Lancôme Génifique Ultimate Dual Recovery Face SerumHusaidia kuimarisha skin barrierHupunguza mistari midogo na mikunjoHuongeza unyevu wa ngozi kwa muda mrefuHufanya ngozi ionekane laini, yenye kung’aa na yenye afyaHusaidia ngozi kujirekebisha baada ya uchovu au uharibifuHuongeza elasticity na kuifanya ngozi ionekane changaInafaa kwa aina zote za ngozi, hata ngozi nyeti🏷️220,000 by @andy.cosmetics_
0
3 days ago
Download
BEING FRENSHCASHMERE VANILLA HAND SERUMHulainisha na kulisha ngozi ya mikono kwa kinaIna Squalane na Shea Butter zinazosaidia kuhifadhi unyevuHufanya mikono iwe laini, nyororo na yenye afyaHufyonzwa haraka bila kuhisi kunataHusaidia kupunguza ukavu wa mikonoHuacha harufu ya kifahari ya Cashmere Vanilla inayodumu kwa muda🏷️65,000 by @andy.cosmetics_
0
3 days ago
Download
DOVE BEAUTY BAR WITH WARMVANILLA & SWEET CREAM SCENT 1pc🏷️15,000 by @andy.cosmetics_
0
3 days ago
Download
NATURIUM THE ENERGETIC MANDELIC BODY WASHHusaidia kusafisha ngozi kwa kina na kuondoa uchafu, mafuta na jashoMandelic Acid husaidia kuondoa seli zilizokufa na kufanya ngozi iwe laini na nyororoHusaidia kupunguza vipele vya mwilini (body acne) na kuziba kwa vinyweleoHusaidia kuboresha muonekano wa makovu na madoa yaliyosababishwa na vipeleHupunguza harufu mbaya ya mwili kwa kuondoa bakteria wanaosababisha harufuHusaidia kufanya ngozi ionekane yenye mwangaza na rangi iliyosawazikaInafaa kwa matumizi ya kila siku kwa ngozi nyingi, hasa yenye vipele au mafuta mengi🏷️120,000 by @andy.cosmetics_
0
3 days ago
Download
DOVE BEAUTY BAR WITH SHEABUTTER & VANILLA SCENT1pc🏷️15,000 by @andy.cosmetics_
0
3 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up