Instagram story viewer> @anna.noela> Posts
688
followers
324
following
worship Leader
A chosen race,royal priesthood
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
WIMBO WA MILELE (HALLELUJAH!)

“Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana, na vitu vyote vilivyo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu.” Zaburi 103:1 

HALLELUJAH! 
Msifuni Bwana!
Kwa maana Yeye anastahili sifa milele.
Sifa zetu kwake hazina mwisho, kwa maana wema wake hauna mwisho. 

🎧 Wimbo wa Milele (Hallelujah!) is OUT NOW!
Go stream, listen & worship with us. by @anna.noela
16
a month ago
Download
NIGHT OF BREAKTHROUGH 🔥

“Tazama, ninafanya jambo jipya; sasa litachipuka, je, hamtalitambua? Naam, nitafanya njia nyikani, na mito jangwani.”
Isaya 43:19

Nakukaribisha kwenye ibada kubwa ya Kusifu, Kuabudu, Maombi na Maombezi.

🗓 Ijumaa | 07 Agosti 2026
🕜 Saa 1:30 Usiku – Saa 5:30 Usiku
📍 Eastern Star Complex (Studio), Kinondoni Manyanya

Njoo ukiwa na matarajio ya kukutana na Mungu. Karibu sana, na usije peke yako!

Kiingilio ni Bure.

#NightOfBreakthrough #ClaraMinja #WorshippersGatheringInternational #PrayerNight #worshipnight by @anna.noela
4
2 months ago
Download
🌸✨ Flourishing Women’s Conference 2025 ✨🌸

Tunamshukuru Mungu kwa siku ya kipekee sana katika uwepo wake. Watu wa Mungu waliguswa, walitiwa nguvu. 

Naye atakuwa kama mti uliopandwa kando ya vijito vya maji, uzaao matunda yake kwa majira yake, wala jani lake halinyauki; na kila atendalo litafanikiwa.” Zaburi 1:3

Asante kwa kila mmoja aliyeshiriki na kuunga mkono maono haya. Hakika, Bwana ametutendea makuu!

Utukufu wote ni wa Mungu. 

#FlourishingWomensConference2025 #FlourishInTheLord #KustawiNdaniYaKristo #utukufukwamungu by @anna.noela
13
5 months ago
Download
The Lord is risen indeed(Luke 24:34) by @anna.noela
13
6 months ago
Download
Kwa moyo wa shukrani na heshima, tunawashukuru sana team ya Worshippers Gathering International kwa kusimama pamoja katika Radiance.

Utii wenu, kujitoa kwenu na upendo wenu kwa ibada vimebeba uzito wa tukio hili.Kila sauti, kila huduma na kila juhudi imekuwa chombo ambacho Mungu ametumia kugusa mioyo.

Asanteni kwa kujitoa bila kuchoka, kwa kubeba maono na kwa kutumika kwa umoja.Tunaomba Bwana awazidishie nguvu, neema na upako mpya kadri mnavyoendelea kumtumikia.

Thank you ladies @the_chosengirlie @lizzymabway @anna.noela @medilini antonia @missRachel @blessedlulu167 @lightness 

Nawapenda ❤️ by @anna.noela
5
9 months ago
Download
Arise and Shine(Radiance) by @anna.noela
1
10 months ago
Download
 by @anna.noela
5
10 months ago
Download
 by @anna.noela
17
10 months ago
Download
 by @anna.noela
3
a year ago
Download
Glory to God by @anna.noela
2
4 years ago
Download
THE JOY OF THE LORD IS MY STRENGTH by @anna.noela
2
4 years ago
Download
Covered by God's grace by @anna.noela
10
4 years ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up