Instagram story viewer> @annes_finance> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
πŸŽ‰ KARIBU ANNES VICOBA DAY 2026! 

Je, unatamani kuwa na nidhamu ya fedha, kukuza akiba yako na kupata mtaji wa kukuza biashara au kutimiza malengo yako?

Basi huu ndio mwanzo wa safari yako ya mafanikio! 🌱

πŸ‘‰ Swipe kuona:
πŸ“Œ Ratiba ya ANNES VICOBA DAY 2026
πŸ“Œ Faida za kujiunga na VICOBA
πŸ“Œ Tofauti kati ya VICOBA vya Wiki na vya Mwezi
πŸ“Œ Michango na masharti ya kujiunga

Siku hii utapata fursa ya:
βœ… Kujiunga na VICOBA papo hapo
βœ… Kununua hisa siku hiyo hiyo
βœ… Kupata elimu ya VICOBA na usimamizi wa fedha
βœ… Kukutana na watu wenye malengo ya maendeleo

πŸ“… Jumapili, 28/06/2026
πŸ•— Saa 8:00 Mchana
πŸ“ Ofisi za ANNES FINANCE – Madale

πŸ“ž Wasiliana nasi: 0694 697 569

πŸ’¬ Usiweke ndoto zako kesho wakati unaweza kuanza leo.

ANNES VICOBA
Akiba Leo, Maendeleo Kesho! πŸ’™βœ¨

#AnnesVicobaDay2026 #AnnesFinance #Vicoba #AkibaLeoMaendeleoKesho #Akiba Uwekezaji Biashara FinancialFreedom DarEsSalaam Tanzania by @annes_finance
0
a month ago
Download
πŸ“’ KARIBU ANNES VICOBA DAY 2026! πŸŽ‰

Je, unataka kujifunza namna ya kuweka akiba, kuanzisha au kujiunga na VICOBA, na kukuza kipato chako? Hii ni fursa usiyoipaswa kuikosa!

πŸŽ“ Mwalimu Mzoefu wa VICOBA, MWL. YANGA OMARY, @yangaomary atakuwepo kutoa mafunzo ya kina kuhusu:
βœ… Mfumo wa VICOBA
βœ… Faida za kuweka akiba
βœ… Namna ya kuanzisha na kuendesha kikundi chenye mafanikio
βœ… Fursa za kukuza biashara kupitia VICOBA

πŸ“… Tarehe: Jumapili, 28/06/2026
πŸ•— Muda: Saa 8:00 Mchana
πŸ“ Mahali: Ofisi za ANNES FINANCE – Madale

πŸ’° Pia utapata nafasi ya:
βœ”οΈ Kujiunga na VICOBA vya Wiki au Mwezi
βœ”οΈ Kununua hisa siku hiyo hiyo
βœ”οΈ Kupata elimu ya fedha na uwekezaji
βœ”οΈ Kukutana na watu wenye malengo ya maendeleo

πŸ“ž Kwa maelezo zaidi: 0694 697 569

🌟 Usikose! Leo ni maamuzi, kesho ni mafanikio.
Akiba Leo, Maendeleo Kesho! πŸ’™πŸ’›

#AnnesVicobaDay2026 #AnnesFinance #Vicoba #AkibaLeoMaendeleoKesho #ElimuYaFedha Biashara Maendeleo Tanzania by @annes_finance
1
a month ago
Download
πŸŽ“πŸ’° ANNES WANACHUO VICOBA

Je, wewe ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu au College?

Anza kujenga tabia ya akiba mapema na uwe sehemu ya kikundi kinachokusaidia kufikia malengo yako ya kifedha.

βœ… Akiba za kila wiki
βœ… Fursa za mikopo
βœ… Nidhamu ya fedha
βœ… Mtandao wa wanafunzi wenye malengo
βœ… Kuandaa maisha bora baada ya chuo

🌱 Akiba Chuoni, Mafanikio Maishani.

πŸ“ž 0694 697 569

#AnnesWanachuoVicoba #AkibaChuoniMafanikioMaishani #Wanafunzi #Vicoba #financialliteracy by @annes_finance
1
a month ago
Download
Kila shilingi unayoweka leo ni hatua kuelekea mafanikio ya kesho. πŸŒ±πŸ’°

Jiunge na Annes Development VICOBA na uwe sehemu ya jamii inayokua kwa pamoja kupitia:
βœ… Akiba
βœ… Mikopo
βœ… Maendeleo

Akiba Leo, Maendeleo Kesho. 🀝

#Vicoba #Akiba #Maendeleo #AnnesDevelopmentVicoba by @annes_finance
0
a month ago
Download
Wewe sio mwalimu tu, Bali ni rafiki mwema katika maendeleo ya WANACHAMA wa VICOBA TANZANIA!! 

Tunathamini mchango wako, jitihada zako na Upendo wako unaoonesha kwa wanafunzi wako! 

Tunakuombea mafanikio mema, ukazidi kuwa Bora zaidi kila siku, Wana VICOBA tunakutegemea sana!! 

@yangaomary  @yangaomary by @annes_finance
1
a month ago
Download
πŸŽ‰ KARIBU ANNES VICOBA DAY 2026! πŸŽ‰

Je, unataka kujifunza namna ya kujenga akiba, kukuza biashara yako na kuimarisha maisha yako ya kifedha?

Siku hii maalum utapata:

βœ… Usajili wa VICOBA vya Wiki na Mwezi
βœ… Fursa ya kuanza kuchangia siku hiyo hiyo
βœ… Elimu ya VICOBA na usimamizi wa fedha
βœ… Ushauri wa kukuza akiba na biashara zako

πŸ“… Tarehe: 28/06/2026 (Jumapili)πŸ•— Muda: Saa 08:00 MchanaπŸ“ Mahali: Ofisi za ANNES FINANCE – Madale

Wanachama wapya na waliopo wote mnakaribishwa!

πŸ“ž Kwa maelezo zaidi na kujiunga: 0694 697 569

🌟 Akiba Leo, Maendeleo Kesho! 🌟

#AnnesVICOBADay2026 #AnnesFinance #VICOBA #Akiba #Maendeleo Biashara UwezeshajiWaKifedha Tanzania by @annes_finance
1
2 months ago
Download
MICROFINANCE STAFF TRAINING

Enhance Skills β€’ Reduce Risk β€’ Improve Portfolio Quality

We provide practical training for:
βœ” Branch Managers
βœ” Loan Officers
βœ” Team Leaders

Training Focus
β€’ Safe Lending Practices
β€’ Loan Appraisal & Assessment
β€’ Portfolio Quality Management
β€’ Risk Management
β€’ Delinquency Prevention
β€’ Customer Relationship Management
β€’ Clean Loan Creation
β€’ Best Portfolio Management Practices

Contact Us
πŸ“ž 0694697569
πŸ“ Madale, Mivumoni Road
βœ‰οΈ info@annesfinance.co.tz by @annes_finance
0
2 months ago
Download
WEKEZA NA ANNES

JE, UNATAFUTA FURSA YA KUKUZA MTAJI WAKO?

Wekeza katika biashara ya mikopo na upate faida ya hadi 3.5% kwa mwezi.

βœ” Uwekezaji wa Muda Mrefu
βœ” Kuanzia Mwaka Mmoja na Kuendelea
βœ” Fursa ya Kushiriki Katika Ukuaji wa Sekta ya Fedha
βœ” Changia Kuwawezesha Wajasiriamali na Biashara Ndogo Kukua
βœ” Usimamizi wa Kitaalamu na Ushirikiano wa Uwazi

Wekeza Leo, Jenga Kesho Yako.

WASILIANA NASI

πŸ“ž 0694697569
πŸ“§ info@annesfinance.co.tz
🌐 www.annesfinance.co.tz

Empowering Entrepreneurs. Building Prosperity. by @annes_finance
0
2 months ago
Download
Happy New Month Everyone by @annes_finance
0
2 months ago
Download
We are looking for committed and passionate people to join our team in Marketing Department and Credit department

We need Marketing Officers 2 positions and Loan Officer 1 position. 

Send your CV and cover letter through Email info@annesfinance.co.tz by @annes_finance
2
2 months ago
Download
JUMMAH MUBARAQ βœ¨πŸ’« by @annes_finance
0
2 months ago
Download
EID MURARAK EVERYONE βœ¨πŸ’« by @annes_finance
0
2 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up