Instagram story viewer> @baga_boy10> Posts
157
posts
5.8K
followers
466
following
PRODUCTION MANAGER ||STORY WRITTER|ACTOR|CONTENT CREATOR 🎬 . +255672124242 Whtsp,VOICE OVER #BAGABOY
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Ni Leo Saa Saba Kamili mchana Huu Tamthilia yako Pendwa ya @upepo_tamthilia inarudiwa ndani ya @maishamagicbongo @dstvtanzania , Chanel 160 by @baga_boy10
11
8 months ago
Download
Kwanini lakini kwann mimi
#upepo by @baga_boy10
27
7 months ago
Download
Tuli mkewangu @kivunjabeievaluna sio kwa chai hii uyu kidudu mtu bi Rhoda sijui anataka nn 😆😆😆 

@kivunjabeievaluna 
@bunjiseries_ 
@nyota_waziri 
@kim_bernick 
@mjombavuma 

@azamtvburudani 
#sinemazetu taken in Mbeya Town, The Green City. by @baga_boy10
10
2 years ago
Download
Tunayo furaha kubwa kutangaza kuwa @baga_boy10 atakuwa nasi katika Sanaa Blast Festival 2026! 🌟🎤
📅 18 • 19 • 20 May 2026
Jiandae kwa siku tatu za burudani, hamasa, ubunifu na vibes za kipekee pamoja na mmoja wa wasanii wanaotikisa kwa sasa 😮‍💨🔥
🙌 Karibu sana nyumbani!
🔥 Vibes zitakuwa za moto zaidi!
Je, uko tayari kukutana naye? 👀
#SanaaBlast2026 #MgeniMaalumu #MsaniiWetu #festivalvibes by @baga_boy10
11
a month ago
Download
Ni hapa @maishamagicbongo @dstvtanzania by @baga_boy10
5
2 months ago
Download
PENZI HALITAFUTI HUKAMILIFU HUTAFUTA UWEPO..❤️ by @baga_boy10
37
2 months ago
Download
Watesiiii HIIIIIIIII HI 👋 HI we are @arsenal by @baga_boy10
10
2 months ago
Download
Tuondokeee by @baga_boy10
7
2 months ago
Download
Imani ni mipango ya matarajio lakin KIFO ni haki ya kila kilicho na pumzi Tuendelee kuisaka na kuipendezesha dunia ila tusihahu hakuna miongoni mwetu atakae dhurumiwa haki yake ya KIFO by @baga_boy10
4
2 months ago
Download
Life is too short 🙌 by @baga_boy10
6
2 months ago
Download
Wakati mwingine maisha hukuweka mbele ya mlango wenye funguo mbili.

Ufunguo wa kwanza unafungua ukweli, lakini unaweza kupoteza watu unaowapenda.

Ufunguo wa pili unafungua uongo, lakini unaweza kuokoa kile ulichojenga kwa muda.

Sasa fikiria…

Mtu unayemwamini kuliko wote anakusaliti.
Ukisema ukweli, moyo utavunjika.
Ukikaa kimya, roho yako itateseka.

Unabaki na swali moja tu:

Kama ungekuwa wewe… Ungefanyaje? #FINALE by @baga_boy10
13
3 months ago
Download
“Dakika moja tu inaweza kubadilisha maisha yako yote… Ungefanyaje? by @baga_boy10
5
3 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up