Instagram story viewer> @barcode.the> Posts
1.7K
followers
1152
following
Content Science.Business Content production.
Bmpr. Marketing &Branding.
Videography &Commercial content.
@simu_kambi
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
@barcode.the akizungumza kuhusu Akili unde kutawala uzalishaji wa bidhaa na utoaji huduma. Tazama episode nzima kupitia link kwenye bio. Pia unaweza kusiliza kupitia Spotify, Apple podcasts na kote zinakopatikana podcasts. #wanangupodcast by @barcode.the
2
a day ago
Download
Pale mtu tajiri zaidi duniani anaposema kuwa pesa huenda isiwe na thamani yoyote ndani ya miaka kumi ijayo, ni kauli inayozua maswali mengi kuliko majibu. Akiungana na mgeni wake, Mr. Baraka Kambi, Host anajaribu kuchambua maana halisi ya kauli hiyo iliyotolewa na Elon Musk katika mahojiano yake na jarida la The Economist, huku wakitafakari mustakabali wa pesa katika ulimwengu unaoelekea kutawaliwa na Akili Unde (AI) na roboti. Link kwenye bio. #WananguPodcast by @barcode.the
24
2 days ago
Download
Watu wanakimbilia kununua light na camera, lakini wanasahau kitu muhimu zaidi: sura yao.
Framing na composition ni 30%. 70% ni jinsi unavyoonekana.
Nyoa. Jipake mafuta. Chagua rangi za nguo zinazoendana na brand yako.
Ukionekana premium, content yako itahesabika premium. by @barcode.the
2
8 days ago
Download
taken in Dar es Salaam, Tanzania by @barcode.the
0
9 days ago
Download
taken in Dar es Salaam, Tanzania by @barcode.the
5
13 days ago
Download
taken in Kyela, Mbeya, Tanzania by @barcode.the
0
19 days ago
Download
 by @barcode.the
0
22 days ago
Download
YouTube inaweza kukufundisha. Google inaweza kukupa majibu. ChatGPT inaweza kukuambia cha kupost.

Lakini nani ataelewa biashara yako, soko lako na wateja wako wa hapa? 

Ndiyo maana biashara yako inahitaji zaidi ya information — inahitaji local digital marketing expertise.

Usitumie muda mwingi kujaribu kila kitu mwenyewe.
Dm for assistance. taken in Dar es Salaam, Tanzania by @barcode.the
0
a month ago
Download
@muse taken in Dar es Salaam, Tanzania by @barcode.the
0
a month ago
Download
Like a movie 🎥 but only better.
Are you a brand looking for content?
Dm 📪. 
Phone:+ 255744215596 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @barcode.the
2
a month ago
Download
Anza kufanya maboresho ya content zako ili kuona matokeo unayoyatarajia.
Kama unatamani kujifunza kuhusu content!
Dm 📪 
Phone/whatsapp: +255744215596 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @barcode.the
4
a month ago
Download
Ni kwa kiasi gani content za comedy zimekuza biashara yako? taken in Dar es Salaam, Tanzania by @barcode.the
0
a month ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up