Instagram story viewer> @bidda.tz> Posts
35.6K
followers
1323
following
JITU LA MTUMBA
Multi-Genre Musician & Creative Director
๐Ÿง  Digital Campaign Strategist (Presidential Portfolio)
Download MAMA YANGU REMIX ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Attention is the new currency! ๐Ÿš€๐Ÿ“Š

Kwenye ulimwengu wa sasa wa digital marketing, kuwa na bidhaa nzuri pekee haitoshiโ€”inabidi uwafikie watu sahihi kwa wakati sahihi. 

Within just 28 days, maudhui yetu yamefikia zaidi ya 2.9M+ organic views, zaidi ya 142K+ active engagements, na kuunganishwa na 85% ya audience mpya bila kutumia paid ads! 

Hizi sio namba tu kwenye dashboard; this is raw, high-converting audience attention! 

To all CEOs, Brand Managers, Business Owners, and Investors:
Iwe unatafuta njia mpya ya ku-scale mauzo yako, kuongeza brand awareness, au kufanya strategic alignment kupitia muziki na maudhui yenye ushawishi mkubwaโ€”we have the numbers, the reach, and the creative power to make it happen. 

Letโ€™s turn views into revenue and attention into market dominance ๐Ÿ“ˆ๐Ÿ’ธ๐Ÿ“ฉ 

Send a DM or Email us today to book a partnership strategy call!

Usisahau kujiunga community yetu kupitia biography iliyopo juu pale ๐Ÿš€
#creatorsearchinsights #fypviralใ‚ทใ‚™ #bukujeroremix #tanzania #zanzibar by @bidda.tz
26
5 days ago
Download
Hii ndo maana halisi ya "MLEVI HAPOTEI NYUMBANI" 

Real respect & gratitude kwa kila leader, legend, brothers and sister's waliotenga muda wao na  kuweka baraka zao kwenye hii sound. 

Hii si tu kuhusu muzikiโ€”ni kuhusu nidhamu, ubora,  nafasi , kuheshimu game na kuongeza nguvu na motisha na LEGACY kwenye new generation sounds (GEN Z) . ๐Ÿ‘‘

NOTE โš ๏ธ: Huu ni mwanzo tu. Standard imeshawekwa, Itifaki imezingatiwa , nakosa cha kuongea fr ๐Ÿฅบ zaidi ya kushukuru MUNGU na WATANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kiujumla kwa mapokezi haya. Hii ni kubwa sana kwangu anko ๐Ÿ™๐Ÿพ @mbosso_ 

MUNGU MNENE | MUNGU DEREVA ... Tuendelee kusupport kazi nzuri ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿš€

#fypreels #viral #bukujero #tanzania #zanzibar by @bidda.tz
150
25 days ago
Download
Don't judge the book , Read Chapter's โœ๐Ÿพ

Cc:@othmanmasoudothman @pepsi_tz @eastafricatv @wasafifm @eastafricaradio

#fypage #fyppp #fyp #fyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy #fashionista #fashion #viralpost #viralphoto #viralreels #boyfriend #viral #pepsi #halotel #creatorsearchinsight #cv by @bidda.tz
12
10 months ago
Download
Nilichogundua Jitu la mtumba @bidda.tz habahatishi๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ”ฅ๐Ÿš€๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 

dah !! sio kwa kubaruza huku ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ”ฅ๐Ÿš€ 

#mamayanguremix challenge accepted by JITU LA MTUMBA @bidda.tz 

NARUDIA TENA , Hii REMIX italeta shida ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿซถ๐Ÿพ๐Ÿš€๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

#bidda #fyppp #fypviralใ‚ทใ‚™ #mamayanguremix by @bidda.tz
227
12 hours ago
Download
Mwanetu @bidda.tz hii italeta shida ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ”ฅ๐Ÿš€๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 

Amekuja ku test speaker zetu mpya kutoka @nengatronix lakini kumbe ana jambo lake daah ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿš€๐Ÿ”ฅ๐Ÿซถ๐Ÿพ ila umeua sana @bidda.tz  Taifa Liendelee kumpa  sikio tu ๐Ÿ”ฅ๐Ÿš€ 

Binafsi sina wasi wasi na uwezo wake ๐Ÿซถ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿš€ 

Jioni tunaachia chupa letu๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿซถ๐Ÿพ๐Ÿ”ฅ๐Ÿš€๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ by @bidda.tz
625
2 days ago
Download
Wakubwa Wakisikia โ€œWE TAKING GAME TO THE WORLD ๐ŸŒโ€ wanajua kabisa hawaponi ๐Ÿ˜Ž๐Ÿš€๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

This Friday Could Be Crazy๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿซถ๐Ÿพ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅ๐Ÿš€

#fypreels #bidda #fyppp #fypviralใ‚ทใ‚™ #ulisikiawapi by @bidda.tz
100
3 days ago
Download
Huyu muhuni ukiachana na kwamba anafanya muziki , lakini pia ni moja ya waandishi bora chipukizi 2026

Madogo kama hawa ndo wanafaa kupewa nafasi ya kuleta GRAMMY bongo ๐Ÿ˜Ž๐Ÿš€๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿซถ๐Ÿพ

Binafsi ana baraka zangu zote na sina wasiwasi na uwezo wake , mkakati wake pamoja na muziki wake in General. Tumpeni sikio ana kitu ๐Ÿš€

Naskia anakuja na dude jipya ijumaa hii ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿš€

#bidda #fypviralใ‚ทใ‚™ #fypreels #tanzania #1stchaggapiano by @bidda.tz
12
4 days ago
Download
Commando Vitani ๐Ÿฅท๐Ÿพ

#fypviralใ‚ทใ‚™ #fypreels #creatorsearchinsights #tanzania #satan by @bidda.tz
10
7 days ago
Download
 by @bidda.tz
14
8 days ago
Download
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…โšฐ๏ธ

#fypใ‚ท #babujini๐Ÿ‘ด๐Ÿพ #trending #1m by @bidda.tz
13
9 days ago
Download
Mlevi hapotei nyumbani ๐Ÿ˜Ž๐Ÿš€๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿซถ๐Ÿพ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Uandishi kama huu ndo uandishi pekee unaoweza kuuinua muziki wa Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kimataifa๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐ŸŒช๏ธ

#bidda #fypreels #bukujero #fypviralใ‚ทใ‚™ #fyppp by @bidda.tz
22
10 days ago
Download
Sound ya huyu muhuni @bidda.tz itengwe ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿซถ๐Ÿพ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿš€ 

mdogo wetu apewe sikio tu hakuna namna๐Ÿ˜Ž๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Mkubwa @official_mohamedhussein15 nashindwa nianzie wapi , ila hii ni kubwa sana kwangu๐Ÿ˜”๐Ÿซถ๐Ÿพ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

#bidda #fypviralใ‚ทใ‚™ #tanzania #rolemodelofgenz #fypreels by @bidda.tz
14
11 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up