Instagram story viewer> @bolt_tanzania> Posts
581
posts
86.8K
followers
107
following
Why drive when you can ride.
#RidingIsTheNewDriving
Tag us in your adventures: @bolt_tanzania
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Friends + Bolt + a girl who can cook. That's not a dinner, that's an event. 😂🍽️#SafariNiBolt #BoltTanzania by @bolt_tanzania
6
9 hours ago
Download
Errands done. Hands full. Bolt called. Going home. 🛍️✨#SafariNiBolt #BoltTanzania by @bolt_tanzania
4
16 hours ago
Download
The drinks were cold, the laughs were loud and when it was time, Bolt was already outside. Good night. 🥂✨#SafariNiBolt #BoltTanzania by @bolt_tanzania
7
a day ago
Download
Booked the Bajaj, brought the vibes, nailed the date. That's a green flag. ✅🥂#SafariNiBolt #BoltTanzania by @bolt_tanzania
14
2 days ago
Download
Girls talk fixed the mood and sorted the mind. Then you know who called and now we're back to square one. 😅📱#SafariNiBolt #BoltTanzania by @bolt_tanzania
4
2 days ago
Download
Good drinks, better company and Bolt waiting outside like a real one. That's the night right there. 🍻✨#SafariNiBolt #BoltTanzania by @bolt_tanzania
9
2 days ago
Download
When your girl texts "sipo sawa" you don't ask questions, you just book the Bolt. 💚#SafariNiBolt #BoltTanzania by @bolt_tanzania
16
3 days ago
Download
Dar es Salaam, Julai 2026 — Kufuatia mafanikio ya mashindano ya kwanza yaliyofanyika mwaka jana, Bolt Tanzania imerejesha rasmi Bolt TZ Dance Challenge 2026, ambayo ilianza mwezi Julai na inatarajiwa kuhitimishwa tarehe 27 Julai 2026. Mashindano hayo yanawapa nafasi wachezaji wa dansi kutoka maeneo mbalimbali nchini kuonesha vipaji vyao mbele ya hadhira kubwa zaidi, kutangaza utamaduni wa Kitanzania kupitia mitandao ya kijamii, na kushindania zawadi ya Bolt inayolenga kukuza ubunifu na ujasiriamali wa wasanii.Mashindano hayo yanarejea baada ya mshindi wa mwaka jana, Juju Kida, kujizolea umaarufu mkubwa kupitia maonesho yake ya dansi yaliyovutia maelfu ya Watanzania. Ushindi huo ulimpatia kitita cha Shilingi milioni 2.5, umaarufu wa kitaifa pamoja na fursa mpya katika tasnia ya burudani.Akizungumzia mafanikio yake, Juju Kida aliwahamasisha washiriki wa mwaka huu kutumia fursa hiyo kujitangaza."Kushinda Bolt TZ Dance Challenge kulikuwa hatua kubwa katika safari yangu ya uchezaji wa dansi. Mbali na zawadi ya fedha, ushindi huo uliimarisha rekodi yangu ya kushinda mashindano, uliongeza kujiamini katika kipaji changu, na ukaonesha mchango ambao sisi wasanii tunaweza kuutoa pale tunapopewa nafasi na kampuni na taasisi kubwa."Mashindano ya mwaka huu yanaendelea kuonesha dhamira ya Bolt ya kuendeleza vipaji vya vijana kwa kuunganisha muziki, dansi na utamaduni wa kidijitali katika jukwaa linalosherehekea ubunifu wa Watanzania.Ili kushiriki, washiriki wanatakiwa kufuatilia ukurasa wa @bolt_tanzania kwenye Instagram, kujirekodi wakicheza kwa kutumia wimbo rasmi wa kampeni ya Bolt, kupakia video hiyo kwenye ukurasa wao huku wakitambulisha @bolt_tanzania, na kutumia alama ya reli #BoltDanceChallenge2026. Washiriki watakaobuni miondoko ya kipekee zaidi wataingia hatua zinazofuata za mashindano na kupata nafasi ya kushinda zawadi kuu pamoja na kujitangaza kitaifa. by @bolt_tanzania
37
9 days ago
Download
‼️🚨DANCE CHALLENGE WIN 2.5M #BoltDanceChallenge2026 Jinsi ya Kushiriki kwenye #BOLTDANCECHALLENGE2026 💚1. Follow page ya @bolt_tanzania kwenye Instagram.2. Jirekodi ukionyesha miondoko yako kwa kutumia nyimbo maalumu ya Bolt.3. Post video yako kupitia ukurasa wako na tag akaunti ya @bolt_tanzania.4. Tumia hashtag #BoltDanceChallenge2026Watanzania watapiga kura, mshindi wa challenge ataondoka na TZS 2.5M. by @bolt_tanzania
77
20 days ago
Download
Ni msimu mpya wa #BoltDanceChallenge2026 , cheza ujishindie 2.5M Jinsi ya kushiriki kwenye #BoltTZDancechallenge20261. Follow page ya @bolt_tanzania2. Jirekodi ukionyesha miondoko yako kwa kutumia nyimbo maalumu ya Bolt 3. Post video yako kupitia kurasa wako wa instagram kisha tag akaunti ya @Bolt_Tanzania 4. Tumia hashtag #BoltTZDanceChallengeCheza , tag, ushinde!! by @bolt_tanzania
105
24 days ago
Download
‼️🚨DANCE CHALLENGE WIN 2.5M #BoltDanceChallenge2026 Jinsi ya Kushiriki kwenye #BOLTDANCECHALLENGE2026 💚1. Follow page ya @bolt_tanzania kwenye Instagram.2. Jirekodi ukionyesha miondoko yako kwa kutumia nyimbo maalumu ya Bolt.3. Post video yako kupitia ukurasa wako na tag akaunti ya @bolt_tanzania.4. Tumia hashtag #BoltDanceChallenge2026Watanzania watapiga kura, mshindi wa challenge ataondoka na TZS 2.5M. by @bolt_tanzania
67
a month ago
Download
Ndio wakati wako!Bolt Tanzania inakualika kushiriki kwenye #BoltTZDanceChallenge! Shinda TZS 2,500,000 kwa kucheza tu na kuzingatia vigezo vya mashindano! ushawishi wako ndiyo utakupa nafasi ya kushinda, post leo! by @bolt_tanzania
41
a month ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up