Instagram story viewer> @bomba_studios> Posts
2.1K
followers
1803
following
🏆📸 Award winning photographer
Owner @popcast_tz
Weddings l Portraits l Fashion l corporate
INQUIRIES👉+255742963231
tiktok.com/@nyaupix_photography
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Quality is a results of a teamwork 
Tunawakaribisha BombaStudios na tunawatakia ufuatiliaji mzuri wa vipindi vyetu mbalimbali kutoka PROUD OF YOU PODCAST @popcast_tz .
 🔥Vipindi rasmi vitaanza pined💕🤸‍♂️.

#popcast #proud taken in Tanzania by @bomba_studios
14
2 months ago
Download
HAPPY BIRTHDAY 🎉 RASHEED , HAPPY BIRTHDAY POPCAST (proud of you Podcast)
 Kwako, **Rashid Ulimwengu**—mtoto wa muuza samaki 😒; uliyekulia katika malezi yenye mizizi ya na mafunzo mapana ya maisha. Ndani yake ulijengewa ujasiri, ukapewa hamasa ya kuvuka dhiki na dhihaka—na leo ni vyema ukakumbuka mwanzo wako, ili usipoteze mwelekeo wa safari yako 🕥.

Safari yako haikuanza kwa urahisi, bali kwa juhudi za mapema kabisa. Mwaka 2009–2010, ukiwa darasa la nne na tano, ulianza kujitengenezea njia kwa kutengeneza fagio za mchikichi—kitendo kidogo chenye maana kubwa katika kujenga misingi ya kujitegemea. Miaka michache baadaye (2012–2013), katika kipindi cha mpito kuelekea elimu ya sekondari, uliingia katika ulimwengu wa biashara ndogo ndogo Tabora (Isevya), ukiuza mayai na bidhaa maeneo ya reli—uzoefu uliokufundisha uvumilivu, uthabiti.

Mwaka 2016–2017, ukachukua majukumu ya kuwa mwalimu wa tuisheni na kinyozi huko Ikola (Katavi)—nafasi zilizokuza uwajibikaji na nidhamu ya kazi. Ndani ya mwaka huohuo, ukaingia katika biashara ya dawa za asili kupitia Granton Herbal Clinic, pamoja na miradi mingine kama biashara ya viazi; huku ukikumbana pia na changamoto ya kutapeliwa—tukio lililokupanua upeo wa tahadhari na ukomavu wa kibiashara.

Katika kipindi cha 2017–2018, ulifanya kazi kama msaidizi wa fundi ujenzi Nguruka, ukipambana kutafuta ada ya masomo ya juu. Sambamba na hilo, uliendelea kujishughulisha na biashara ya samaki katika maeneo ya Kigoma (Kasulu hadi Rungwe), ukidumisha ari ya kujituma bila kuchagua mazingira. Mwaka 2018, ulipoanza shughuli ya stationeries chini ya mjomba wako Juma, ndipo mbegu ya ubunifu wa upigaji picha ilipoanza kuota.

Mwaka 2020, baada ya kumaliza elimu ya juu ya sekondari (Milambo High School), ulianzisha *Nyau Healthy Soap*—mradi uliostawi hasa katika kipindi cha COVID-19 na kukuimarisha kifedha. Hata hivyo, hatua muhimu zaidi ilikuja kati ya 2020–2021, ulipoanzisha **Nyaupix Photography**—brand iliyogeuka kuwa nguzo ya maisha yako ya ubunifu na taaluma. Mafanikio yake yalithibitishwa mwaka 2022 ulipotunukiwa tuzo ya *Best Photographer*, heshima iliyofungua milango mipya ya ushirikiano na mafanikio.
 INAENDELEA POST YA PILI.... taken in Tanzania by @bomba_studios
55
5 months ago
Download
*HAPPY BIRTHDAY 🎂 TO ME .
 👉Owner of *BOMBASTUDIOS* and *the lead photographer* at *NYAUPIX PHOTOGRAPHY* .
 Alhamdulillah ☝️🥰🎉. by @bomba_studios
36
a year ago
Download
 by @bomba_studios
0
20 hours ago
Download
Jana 24/9/2026.
Katika Maandalizi ya Siku ya Ukweli. taken in Arusha, Tanzania by @bomba_studios
6
5 days ago
Download
Recap: I took this amazing shots on 6 feb,2023 as collaboration shooting 🔥😄.
Nimekubuka kufanya collaboration na rafkizangu @joshphix @antony_mtango na @kenny.drizzy 

📸: @bomba_studios 
C/ : @gudillahcute taken in Arusha, Tanzania by @bomba_studios
4
11 days ago
Download
New mama boy🔥😁😍 much congrats 🎉 @shany_perfectlook taken in Arusha, Tanzania by @bomba_studios
3
a month ago
Download
MaashaAllah, I congratulate one of my own and talented makeup artists @shany_perfectlook as new mama boy in town😁😁😁😍😍 am so happy and proud of you Mzazi .

Photographer 📸: @bomba_studios 
Her: @shany_perfectlook taken in Arusha, Tanzania by @bomba_studios
3
a month ago
Download
🎬 Behind every meaningful story, there’s someone who believes it deserves to be told.

Tulipewa nafasi na mfanyabiashara Kaka @nathan_kimaro kuandaa documentary kuhusu Waokaota Taka (WALINZI WA MAZINGIRA) kama hadithi ya watu, kazi na mchango wao katika jamii.

Kwa @bomba_studios , tunaamini kila brand, biashara na taasisi ina hadithi yenye nguvu. Hivyo Kazi yetu ni kuichukua hadithi hiyo na kuibadilisha kuwa visual experience inayogusa, kuaminisha na kukumbukwa. 🎥🔥

🙏🏾 Tunamshukuru @nathan_kimaro kwa kutuamini na kutupa nafasi ya kusimulia hadithi hii.

Una story ambayo dunia inapaswa kuiona?
📩 Wasiliana na Sisi BombaStudios  kwani Your story. Our vision. One powerful film.

#BombaStudios #NathanKimaro #Documentary #Storytelling #BrandStorytelling VisualStorytelling TanzaniaCreatives AfricanStories CreativeProduction DocumentaryFilm taken in Arusha, Tanzania by @bomba_studios
10
18 days ago
Download
Book with us @bomba_studios .
Tumeaminiwa na mfanya biashara @nathan_kimaro  Kaunda documentary ya kihistoria ya mashujaa na walinzi wa mazungira ( Watu wa Taka).
 Pia tunefanya full coverage ya siku ya chakula iliyofanyika jijini Arusha @granmeliaarusha .
Karibu kutazama shughuli ya kusema Asante kwa Walinzi wa mazingira.

📸 🎥 @bomba_studios by @bomba_studios
4
a month ago
Download
Arriving 🔥🤲
@bomba_studios @popcast_tz taken in Gran Meliá Arusha by @bomba_studios
0
a month ago
Download
🤍 Maulid Mubarak! 🤍

May the teachings of Prophet Muhammad ﷺ inspire us to live with sincerity, mercy, and faith every day. May Allah bless us all.

#Maulid #Mawlid #Blessings by @bomba_studios
1
a month ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up