Instagram story viewer> @brancetz> Posts
525
followers
131
following
Live Streamer ๐ŸŽฎx๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
GOD Firstโœ๏ธ
POSTS STORIES REELS TAGGED
Leo leo Kazi ipo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
Mtanange ni Mkali Ecuador ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ wanaona Moto wa tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 
Mpaka Muda huu ubao unasoma Komenti 
Tz Milioni 36.5 - Ecuador 20.1

@_.niffer._ 
@kiredio_ 
_______________
#brancetz 
#tanzania 
#missgrandeinternational 
#kenya 
#viral by @brancetz
4
9 days ago
Download
Baada ya ku - unfollow peji ya Portugal, Mashabik wengi wa Robaldo Kote Ulimwenguni wameanza Kampeni ya Kuchoma Jezi Ureno ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น kumuunga mkono.๐Ÿ™Œ
_____________

#brancetz 
#ronaldo 
#cr7 
#portugal #viral by @brancetz
16
15 days ago
Download
Rais wa China ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ Xi Jiping tayari ametimiza ahadi yake ya zawadi ya Dubu wawili (Panda) kwa Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Siku chache tu baada ya kuondoka Nchini humo ambpo ndege iliyowabeba Dubu hao tayari imewasili Atlanta Marekani na watawekwa kwenye Zoo ya Mji huo.
_______________

#brancetz 
#China 
#usa 
#viral 
#fypใ‚ท by @brancetz
1
18 days ago
Download
Leo amezaliwa staff mwenzetu, mtangazaji na Mtaalamu wetu wa Digital, @brancetz ๐ŸŽ‰๐ŸŽ‚

Seven Media tunakutakia heri ya kuzaliwa, afya njema, furaha na mafanikio zaidi katika maisha na kazi yako. Mungu azidi kukubariki na kukuongoza katika kila hatua.

Happy Birthday @brancetz ๐Ÿ™๐ŸŽ‚

#7mediaupdates by @brancetz
13
19 days ago
Download
Papa Leo XIV amemaliza Ziara yake ya Siku 4 Nchini Ufaransa ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท na tayari ameondoka Nchini humo

papa huyo ameweka Historia kubwa Nchini humo baada ya kupokelewa na Umati mkubwa wa Watu uliokua umejipanga kando ya Barabara kuu ya Jiji la Paris, na. Kisha kuendesha Misa iliyohudhuriwa na watu wengi zaidi, ambapo kwa Mujibu wa Vatican News huwenda walizidi zaidi ya watu 800,000
______________

#brancetz 
#popeleoxiv 
#france 
#fypใ‚ท 
#viral by @brancetz
7
19 days ago
Download
Best way to Start ๐Ÿ€โ›น๐Ÿปโ€โ™‚๏ธ
_________________

#brancetz 
#fypใ‚ท 
#viral 
#tanzania 
#nba by @brancetz
0
20 days ago
Download
YBWYB๐Ÿ˜„๐Ÿ™Œ

@mambadudubaya24 X @rayvanny Ngoma iliyotoka Miaka 7 iliyopita sasa ipo on trending tena baada ambapo Mambaz mwennyewe yupo kwenye vichwa vya baada ya kufungiwa na Basata na Faini ya Milioni 3

Kupitia wimbo huu nimeangazia zaidi jinsi Rayvanny alivyoua kwa Vesi kali kwenye Mdundo huu wa Rap licha ya kuwa yeye ni Msanii wa kuimba zaidi ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ

Unadhani ni wakati Rayvanny kuachia ngoma nyingine ya Rap??
________________

#brancetz 
#tanzania 
#kenya 
#viral 
#fypใ‚ท by @brancetz
1
21 days ago
Download
Historia imeandikwa Nchini Marekani baada ya Donald Trump kuwa Rais wa 4 kati ya Marais 45 waliopita, kwenda kumpokea Kiongozi wa ngazi yoyote ile katika uwanja wa Ndege Nchini Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ 

Huu sio utamaduni wao kabisa na Mara nyingi huwasubiri Ikulu baada ya kupokelewa na Mawaziri, lakini Marais hawa 4 pekee ndio wamewahi kufanya hivyoโ€ฆ.

Donald J Trump - Xi jiping 2026
Barack Obama - Papa Francis 2015
George Bush - Papa Benedicto 2008
Dwight Eisenhower -  Nikita Khrushchev 1958

________________

#brancetz 
#fypใ‚ท 
#viral 
#usa 
#china by @brancetz
6
23 days ago
Download
Waziri Mkuu Wa Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ Anahofia kukanyaga Nchini Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) baada ya Vitisho vya Meya wa Jiji la New York Zohran Mamdani kudai kuwa atamkamata Kiongozi huyo kwa Makosa ya Uhalifu wa Binadamu hasa Gaza, Pale tu atakapo kanyaga Kwenye Jiji hilo.

Licha ya hayo Yote Netanyahu amesema anakuja Kwenye Jiji hilo na atasema ukweli wote kuhusu Meya huyo.
________________

#brancetz 
#tanzania 
#fy 
#fypใ‚ท 
#viral by @brancetz
8
25 days ago
Download
Hii ni Sehemu ya Pili ya Maelezo na Uchambuzi wangu kuhusu Mashambulizi mazito ya Ukraine ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ dhidi ya Urusi ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ huku kukupa na ongezeko kubwa  la Hofu ya kutokea kwa Vita ya 3 Dunia ( WW3 ) endapo Urusi itajibu kwa Makombora, Kwani Tayari Majeshi ya Ulaya na NATO tayari Yapo Kwenye Miapaka ya Urusi๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ™Œ
________________

#brancetz 
#Russia 
#fypใ‚ท 
#viral #tanzania by @brancetz
15
a month ago
Download
GEOPOLITICS ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Hii pia ni Mpya ndo Nmeanza hvyo 
Karibuni sana ๐Ÿ˜Š๐Ÿ™
________________

#brancetz 
#fypใ‚ท 
#tanzania by @brancetz
19
a month ago
Download
Then Queen him self @phina__tz kwenye @africanboy_brand Reopening Jana Mapema tu ๐Ÿ”ฅ

Phina Anasema Familia wanalipia hawakopi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
_______________

#brancetz 
#fypใ‚ท 
#viral 
#tanzania 
#nigeria by @brancetz
6
a month ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up