Instagram story viewer> @breakinggrowth_tz> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Asanteni sana wote mliotoa saport kwa maneno Mungu awabariki sana @iamkaweesimark @bboy_daniko_the_grappler @bboy_lucas_flex @haloback_kabango @bboyjckanane lets saport East africa breakers pia nawakumbusha jumamosi workshops ni pale pale muda kona kuanzia satano asubuhi mpaka saa nane mchana hakuna kiingilio karibu tujenge jamaa ya breaking Tanzania tunawapenda sana ❤️🙏 #bboystance #bboying #bboytraining #bboyordie #bboyizm by @breakinggrowth_tz
19
3 days ago
Download
Always welcome to the @tanzania_breaking_academy ni project inayofunza watu kuhusu dance aina ya breakingdance ambayo ipo dar es salaam Tanzania  Tunawakaribisha dancers wote kujifunza ili kukuza Tasnia ya breakdance Tanzania Tunawakaribisha next week tarehe 25/7/2026 mahali panaitwa MUDA KONA na tutaanza saa 11 asubuhi mpaka saa 2 mchana tunawakaribisha ukiitaji kukaribia piga namba 0785564014 asante tunawakaribisha wote tunawapenda ❤️🙏 •#bboystance #bboying #bboytraining #bboyordie #tanzaniabreakingacadem by @breakinggrowth_tz
59
8 days ago
Download
Welcome to the @tanzania_breaking_academy ili kujifunza na kuongezeka uwezo na kukuza jamii ya breakingdance TANZANIA HII ILIKUWA NI JUMAMOSI ILIYOPITA  NA WORKSHOPS INAYOFUATA ITAKUWA TAREHE 25/7/2026 SATANO ASUBUHI MPAKA SAA NANE KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA AU TUMA SMS WATSAP KWA NUMBER  0785564014 #tanzaniabreakingacademy #bboystance #bboying #bboytraining #bboyordie by @breakinggrowth_tz
68
11 days ago
Download
Welcome to the Tanzania bgirls @tanzania_breaking_academy #bboystance #bboying #bboyizm #bboyordie #bboytraining  @____queen__d anf other bgirls by @breakinggrowth_tz
38
13 days ago
Download
Our first workshops we are happy as @tanzania_breaking_academy hii ni jamii ambayo inasaport breakers Tanzania na njee ya Tanzania yote ni kudumisha culture ya breaking ulimwenguni kote tunawashukuru wote ambao wanaungana na jamii ya breaking kila mtu anaruhusiwa tunawakaribisha sana karibuni tujifunze kwa pamoja na next workshops YANI WORKSHOPS INAYOFUATA ITAKUWA TAREHE 25/7/2026 mahali ni MUDA KONA kwa mawasiliano zaidi piga namba 0785564014  KARIBUNI SANA ❤️🙏📌 by @breakinggrowth_tz
62
13 days ago
Download
TANZANIA BREAKESRS  lets follow @tanzania_breaking_academy #bboystance #tanzaniabreakingacadem #bboyordie #bboyizm #bboying by @breakinggrowth_tz
21
16 days ago
Download
#bboy4life #contemporary #nike #bboyfootwork #bboybounce by @breakinggrowth_tz
38
17 days ago
Download
Some of my signature moves always lion 🦁 lets go and saport Tanzania breakers  #instagram #bboy #bboyworld #bboymeditrock #bboyingofficial by @breakinggrowth_tz
27
17 days ago
Download
Our breakers froma Tanzania represent visiwani zanzibar lets go mamen @flyingyoub  #bboystance #bboytraining #bboying #bboyizm #tanzaniabreakingacadem by @breakinggrowth_tz
23
18 days ago
Download
Let go Tanzania breakers @bboygaga_rhino  #bboystance #bboytraining #bboying #bboyizm #bboyordie lets follow @tanzania_breaking_academy by @breakinggrowth_tz
45
18 days ago
Download
Lets saport Tanzania breakers @bboyjuma_  Lets follow @tanzania_breaking_academy #bboystance #bboytraining #bboying #bboyizm #bboyordie by @breakinggrowth_tz
33
20 days ago
Download
Lets go and saport breakdance scene  Also we push breaking levels Tanzania and east africa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️🙏🙏🖤🖤🖤🖤🖤🖤 @angelnyigu big respect sis #bboystance #bboytraining #bboying #bboyizm #bboyordie by @breakinggrowth_tz
14
20 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up