Instagram story viewer> @bunshaame> Posts
149
posts
2.2K
followers
1055
following
Singer | Songwriter | VOA | Actor |poet|
KOMBOLELA SERIES 2 and JIVU
[email protected]
Bussiness 📞+255718326466
KOMBOLELA X1 is out now
link⬇️
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Hatimae leo ndio mwisho wa biti msumi na vitimbi vyake. Nilikuwa naisubiri kwa hamu siku hii ya kuumbuka kwake na hatimae tukapata nafasi ya sisi kubeba uhusika huo wa kuonyesha ukuu wa Mungu. Ama kweli Hakuna mapana yasiyo na ncha. Tumemkomesha biti msumi. Asante sana producer @abdullywriter director @dr_machupa1 na editor wetu @mosalum01 bila kusahau timu yote ya kombolela. Asanteni kwa kutuona kwenye nafasi hii adhimu. by @bunshaame
30
13 days ago
Download
Asante kwa simu yako my brother @abdullywriter  kuja kuifanya scene hii na hatimae nikashirikiana na wenzangu vizuri kuifanya siku hii ya kihistoria kuwa nzuri zaidi kwangu na ndugu zangu. Nilitamani pia ndugu yangu @abuudardaa_ awepo lakini alibanwa sana na majukumu. All in all mashekhe wenzangu tuloshirikiana nashkuru hamkuniangusha mmetisha sana. 
#Naskia_tunatafutwa😜
Wekeni order tu by @bunshaame
12
13 days ago
Download
Narudi Nyumbani 🏛️
@malezi_na_asfar taken in Stone Town, Zanzibar Urban/West, Tanzania by @bunshaame
4
2 months ago
Download
We are going older by the way. Ooh Allah make us grow wisely 🤲 by @bunshaame
15
2 months ago
Download
Namna tunavyoendesha miradi yetu - Meneja Masoko Akhy @bunshaame 

#mulhimtv 
#mulhimfoundation 
#achakitukwaajiliyaallahusimuacheallahkwaajiliyakitu 
#mahojiano by @bunshaame
2
4 months ago
Download
Meneja Masoko Akhy @bunshaame akitoa ufafanuzi juu ya suala la malengo na matarajio ya taasisi pamoja na watu wanaotamani kujiunga na Mulhim Foundation kwenye mahojiano ndani ya kipindi cha SAUTI YA VIJANA kinachoruka Redio Sauti ya Qur'an FM jana Jumapili, Machi 29, 2026.

#mulhimtv 
#mulhimenida
#mahojiano by @bunshaame
5
4 months ago
Download
TULIITWA........TUKAITIKAA.....!!!

Alhamdulillah Kwa Kila Jamb...!!

#mulhimfoundation 
#mulhimtv by @bunshaame
15
4 months ago
Download
🌹Darasa Huru🌹

✍️ Akhy @bunshaame

#mulhimfoundation 
#mulhimtv 
#allahmakesimpossiblepossible
#achakitukwaajiliyaallahusimuacheallahkwaajiliyakitu 
#hekma by @bunshaame
0
5 months ago
Download
Usiache kutufuatilia kwenye mitandao yetu ya kijamii ya Mulhim Foundation link ipo kwenye highlights stories pia usiache kufuatilia Mulhim Tv, subscribe, like na comments YouTube Channel yetu. Link iko kwa bio 💞

#allahmakesimpossiblepossible 
#mulhimtv 
#mulhimfoundation by @bunshaame
8
7 months ago
Download
Usiache kutufuatilia kwenye mitandao yetu ya kijamii ikiwemo Instagram, Facebook, TikTok na YouTube. Link zipo kwenye IG highlights na kwenye Bio ✨️

Mzungumzaji: Akhy @bunshaame

#allahmakesimpossiblepossible
#MulhimFoundation 
#mulhimtv by @bunshaame
7
7 months ago
Download
Happy birthday to me 🎂🎉🥳 taken in Boko, Dar es Salaam by @bunshaame
20
a year ago
Download
Ntapata Hitajio la moyo wangu
Nipe is out now In all digital platform by @bunshaame
16
a year ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up