Instagram story viewer> @cde.s_huki> Posts
1.6K
followers
3033
following
M/KITI MSTAAFU UVCCM CHUO KIKUU MZUMBE 2025/26
MTIA NIA UBUNGE KOROGWE VIJIJINI (TANGA)
PUBLIC ADMINISTRATOR FROM MZUMBE UNIVERSITY
YEREMIA 33:3
POSTS STORIES REELS TAGGED
Ninaweza kukusahau au kukupoteza kwa sababu mimi ni Mwanadamu lakini hii post ya Leo itakuja kunikumbusha siku mbeleni my brother. Na nitakuwa na ujasiri wa kukuelezea kwa ujasiri mkubwa pengine kuliko leo hii lakini ninachoweza kusema kwako leo WEWE NI MTU MWENYE ROHO YA KIPEKEE SANA KAKA NINA MARAFIKI WENGI NINA CIRCLE KUBWA LAKINI WEWE NI WA BARAKA SANA MKUBWA. NITAKUJA KUKUZUNGUMZIA KWA KINA KWA BADAE TUKIWA WAKUBWA. I KEEP YOU ON MY MIND BROTHER 🫡 @69_black_k by @cde.s_huki
8
a month ago
Download
TBT…2009 😂 UNANIJUA UNASIKIA?! #BINAMU 🔥🎶 by @cde.s_huki
2
6 months ago
Download
Leo jumapili 18/10/2026 Dominika ya 29 ya mwaka wako kanisa, mwaka A wa kanisa.

Mathayo 22:15–21
Yesu anaulizwa kama ni halali kulipa Kaisari kodi, anajibu:
“Basi, mlipeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.”
Tafakari ya Injili
Yesu anatufundisha kwamba tunapaswa kutimiza wajibu wetu katika jamii na wakati huohuo kuwa waaminifu kwa Mungu.
Kama raia, tunapaswa kuheshimu sheria halali, kutimiza wajibu wetu na kuchangia maendeleo ya jamii. Kama Wakristo, tunapaswa kumpa Mungu nafasi ya kwanza katika maisha yetu, kuishi kwa haki na kutenda mema. taken in Parokia Ya Kiwanja Cha Ndege Dodoma-Tanzania by @cde.s_huki
11
a day ago
Download
CBYO IMEFANYA KIKAO KAZI NA MAKUNDI YA VIJANA KUJADILI MRADI WA NEXTGEN YOUTH ACTION. 

Leo tarehe 10/10/2026, Taasisi ya Capacity Building for Youth Organization (CBYO) imefanikisha kikao kazi muhimu na makundi ya vijana katika Ofisi zake Mkoani Dodoma.
Lengo kuu la kikao hicho lilikuwa kujadili kwa pamoja namna bora ya kutatua changamoto zinazowakabili vijana na kupokea maoni yao ili kuboresha mradi mpya unaotarajiwa kuanza hivi karibuni w NextGen Youth Action.
Kikao hicho kimehudhuriwa na wawakilishi wa makundi mbalimbali ya vijana ambapo wamepata fursa ya kuwasilisha maoni, uzoefu na mapendekezo yao ya vitendo yatakayosaidia mradi huu kuwa na matokeo halisi (Real Action, Measurable Impact).
Kikao kimeitishwa na kuongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa CBYO Bw. Albogast Faustin Mbeya by @cde.s_huki
4
10 days ago
Download
CBYO IMEFANYA KIKAO KAZI NA MAKUNDI YA VIJANA KUJADILI MRADI WA NEXTGEN YOUTH ACTION. by @cde.s_huki
9
10 days ago
Download
 by @cde.s_huki
8
11 days ago
Download
Neema ya MUNGU inatosha kwa ajili yetu maana uwezo wake hukamilishwa zaidi katika udhaifu.
Tunajivunia udhaifu wetu ili uwezo wake kristo ukae juu yetu. 

NB: Nakushukuru kwa baraka ya huu wimbo kwetu mama @christinashusho huwa unanibariki sana #KituGani 🙏 taken in Dodoma, Tanzania by @cde.s_huki
2
12 days ago
Download
USHIRIKI WA KONGAMANO LA VIJANA LA KILIMO CHA IKOLOJIA TANZANIA 2026. 
“Tangu nilipojua kwamba MUNGU Anajishughulisha sana na mambo yangu, basi Nilibaki na neno moja tu ambao ni kunyenyekea chini ya mkono wake ulipo hodari”🙏 taken in Dodoma, Tanzania by @cde.s_huki
5
14 days ago
Download
Sitoipini hii post lakini nitaikumbuka majira na saa za MUNGU WANGU WA MBINGUNI ZITAKOFIKA na huyu jamaa angu niliyekutana nae chuoni @__adam255 ndie Mwenye hiyo text ya slide 2 baada ya Mimi kuweka status ujumbe uliopo kwenye slide 3 na majibu yake ndio hayo slide no.2🙏📌
WAKATI WA MUNGU NDIO WAKATI SAHIHI

Shout out to my brother @cde_kazeze on my last slide 🥂🙏 taken in Dodoma, Tanzania by @cde.s_huki
19
20 days ago
Download
 by @cde.s_huki
7
25 days ago
Download
WAKATI WA MUNGU NDIO WAKATI SAHIHI 💡
#TANGALINE by @cde.s_huki
3
a month ago
Download
SALA + KAZI = MATOKEO CHANYA #TANGALINE taken in Dodoma, Tanzania by @cde.s_huki
4
a month ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up