Instagram story viewer> @chapchap_volt> Posts
7.6K
followers
130
following
🏍️ Wauzaji wa pikipiki na bajaji za mizigo na abiria za umeme
💼 Kwa biashara & matumizi binafsi
⚡ Gharama chini, performance juu
📍 Dar es Salaam
POSTS STORIES REELS TAGGED
Tunahudumia dini kabila zote 😂😂😂😂 enjoy free ride with zero FUEL zero SERVICE ni kuteleza tu kama nyoka ⚡️⚡️⚡️#deliverytz #daressalaam #bodabodatz #mwanzamwanza #chapchapvolt by @chapchap_volt
3
5 months ago
Download
🚀 Karibu tukuuzie pikipiki ya umeme inayokupa faida ya kweli, si maneno

Watu wengi wanabadilisha kwenda umeme kwa sababu moja rahisi —
gharama za mafuta zimekuwa mzigo.

Sisi hatuuzi tu pikipiki, tunakupa njia ya kupunguza matumizi na kubaki na hela zaidi mfukoni kila siku.

🔋 Unatumia kidogo kusafiri mbali
⚡ Uendeshaji laini, hakuna kelele wala usumbufu
🛠 Matengenezo yake hayakusumbui kila wiki

Kikubwa zaidi, tunakushauri kulingana na kazi yako —
iwe ni bodaboda, delivery au matumizi binafsi, unapata chaguo linalokufaa.

📍 Ukichagua vizuri, hii inakuwa uwekezaji, sio gharama

💬 Karibu uongee nasi, tukusaidie uchague pikipiki ya umeme itakayokulipa kila siku. by @chapchap_volt
1
5 months ago
Download
Haya mzigo huwo hapo unakaribia kuisha kwa watu wanaojua pikipiki wananunua hizi bila kelele wewe ni nani??? #deliverytz #daressalaam #bodabodatz #mwanzamwanza #pikipikiyaumeme by @chapchap_volt
0
5 months ago
Download
Leo hii unatoa 600K tu, unachukua pikipiki yako siku hiyohiyo na unaanza kupiga kazi.

💸 Rejesho? 13,000 tu kwa siku.

Sasa hesabu rahisi:
Ukifanya trip za kawaida tu—
135km × 1,000 = 135,000 kwa siku

Toa rejesho 13,000
Unabaki na 122,000

Hata ukipunguza matumizi yako kidogo, bado unalala na zaidi ya 120K safi.

⚡ Hakuna mafuta—unachaji tu.
📈 Mwezi unaona zaidi ya 3.6M mfukoni.

👉 Wengine wanaona opportunity, wengine wana-scroll tu.
Wewe uko upande gani?

📩 Nicheki inbox kabla hujachelewa.#daressalaam #bodabodatz #mwanzamwanza #boda #bodaboda by @chapchap_volt
4
6 months ago
Download
Hatuuzi tu bali tunatoa na elimu kuhusu chombo na matumizi kwa ufasaha piga simu letewa mzigo mpaka ulipo kwa wakazi wa dar es salaam unalipa baada ya kupokea mzigo #deliverytz #daressalaam #bodabodatz #mwanzamwanza #chapchapvolt by @chapchap_volt
1
6 months ago
Download
Nani kasema pikipiki ya umeme haibebi mzigo mkubwa 😂😂😂 we ulisikia wapi hapo kuna zaidi ya 250kg na mzigo umetulia hakuna myumbo karibu tukuhudumie piga simu chapchap uletewe mzigo #deliverytz #daressalaam #bodabodatz #mwanzamwanza #pikipikiyaumeme by @chapchap_volt
0
6 months ago
Download
Leo hii unatoa 600K tu, unachukua pikipiki yako siku hiyohiyo na unaanza kupiga kazi.

💸 Rejesho? 13,000 tu kwa siku.

Sasa hesabu rahisi:
Ukifanya trip za kawaida tu—
135km × 1,000 = 135,000 kwa siku

Toa rejesho 13,000
Unabaki na 122,000

Hata ukipunguza matumizi yako kidogo, bado unalala na zaidi ya 120K safi.

⚡ Hakuna mafuta—unachaji tu.
📈 Mwezi unaona zaidi ya 3.6M mfukoni.

👉 Wengine wanaona opportunity, wengine wana-scroll tu.
Wewe uko upande gani?

📩 Nicheki ewe bodaboda inbox kabla hujachelewa.#deliverytz #daressalaam #bodabodatz #mwanzamwanza #pikipikizaumeme by @chapchap_volt
2
6 months ago
Download
Leo hii unatoa 600K tu, unachukua pikipiki yako siku hiyohiyo na unaanza kupiga kazi.

💸 Rejesho? 13,000 tu kwa siku.

Sasa hesabu rahisi:
Ukifanya trip za kawaida tu—
135km × 1,000 = 135,000 kwa siku

Toa rejesho 13,000
Unabaki na 122,000

Hata ukipunguza matumizi yako kidogo, bado unalala na zaidi ya 120K safi.

⚡ Hakuna mafuta—unachaji tu.
📈 Mwezi unaona zaidi ya 3.6M mfukoni.

👉 Wengine wanaona opportunity, wengine wana-scroll tu.
Wewe uko upande gani?

📩 Nicheki inbox kabla hujachelewa.#bodaboda #deliverytz #daressalaam #chapchapvolt #pikipikiyaumeme by @chapchap_volt
0
6 months ago
Download
Leo hii unatoa 600K tu, unachukua pikipiki yako siku hiyohiyo na unaanza kupiga kazi.

💸 Rejesho? 13,000 tu kwa siku.

Sasa hesabu rahisi:
Ukifanya trip za kawaida tu—
135km × 1,000 = 135,000 kwa siku

Toa rejesho 13,000
Unabaki na 122,000

Hata ukipunguza matumizi yako kidogo, bado unalala na zaidi ya 120K safi.

⚡ Hakuna mafuta—unachaji tu.
📈 Mwezi unaona zaidi ya 3.6M mfukoni.

👉 Wengine wanaona opportunity, wengine wana-scroll tu.
Wewe uko upande gani?

📩 Nicheki inbox kabla hujachelewa.#daressalaam #mwanzamwanza #boda #chapchapvolt #bodabodatz by @chapchap_volt
2
6 months ago
Download
🚀 Pikipiki za Umeme – Solution ya Wababe wa Mtaani

🔋 Gharama ndogo sana kwa km (una-save hela kila siku)
⚡ Mwendo smooth, hakuna kelele wala mtikisiko
🛠 Maintenance ndogo kuliko petrol
💰 Faida inaonekana kuanzia siku ya kwanza

📍 Inafaa kwa:
✔️ Bodaboda
✔️ Delivery (chakula, gas, parcels)
✔️ Watu wanaotaka kupunguza matumizi na kuongeza profit

💸 Anza na kiasi kidogo, uingie kazini FAST
Usikae nje wakati wengine wanakusanya hela kimya kimya.#boda #pikipikizaumeme #mwanza by @chapchap_volt
2
6 months ago
Download
Mjanja sio anayekimbia sana… ni anayebakiza hela mwisho wa siku 😏💰
Umeme unafanya kazi kimya kimya. #bodaboda #tanzania #umeme #bolt #pikipikinzuri by @chapchap_volt
0
6 months ago
Download
inatumia umeme na inatembea 180km mpaka chaji iishe #boda #dar #wizarayateknolojia #mwanza by @chapchap_volt
5
6 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up