Instagram story viewer> @chekecheadoto> Posts
318
followers
232
following
POSTS STORIES REELS TAGGED
Wanachama na wapenzi wa da Young African πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ§‘πŸ§‘πŸ’› kwanza tuwe watulivu na kuamini mpira unamatokeo matatu (1) kushinda (2)kushindwa (3)kuasre Au droo 🀌na kuchafuka kwa Bahar sio mwisho wa safari  ligi Bado mbichi  ingawa kocha wetu tunafikiri kama tutaendelea au basi  niwaombe tuendelee kuiombea timu yetu kwa ligi ya ndani na ya kimataifa  ukiulizwa sema  YANGA BINGWA πŸ’›πŸ§‘πŸ§‘πŸ’›πŸ’šπŸ’› by @chekecheadoto
0
5 days ago
Download
Nichukue nafasi hii kwa dhati ya moyo Wang kuwapongeza watani zangu Simba sports club kwa ushindi mzuri wa goli (2/1)zidi ya wapinzani wenu daa yanga African πŸ’›πŸ’šπŸ’› munecheza vizuri mumepata matokeo na kujiweka kwenye nafasi nzuri ya ubingwa  hongereni sana na huo ndio mpira wa miguu by @chekecheadoto
0
6 days ago
Download
Ijumaa Mubarak πŸ™ waislamu wote na wasio waislamu wote namuomba mungu atuongoze katika maisha yaliyo mema na atupokelee ibada zetu na Dua zetu atusamehe makosa yetu na atujarie mwisho mwema Alhuma Amin yarabilaalamina πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ by @chekecheadoto
0
14 days ago
Download
Mwanangu  zingatia hili 🀌ukishindwa kumubadirisha mtu basi badirika wewe umenielewa  kijana wangu πŸ‘πŸ‘ wengine hawawezi kunielewa mpaka wenye D2 tuu ✍️✍️ niongeze sauti πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’ by @chekecheadoto
0
23 days ago
Download
Heshima kwenu kina Mama πŸ‘‰ mwanamke ndio mtu pekee anae fatiliwa na wanaume wengi duniani ila  Hatoi taarifa police πŸ₯±πŸ«£πŸ«£πŸ«£πŸ€ŒπŸ‘πŸ‘πŸ‘ by @chekecheadoto
0
23 days ago
Download
Ndugu yangu tambua kutekeleza ni wajibu na Sio adhabu  tii Sheria pasi na shuruti by @chekecheadoto
0
23 days ago
Download
Ndugu yangu usisubutu kumuacha mke πŸ‘‰au mume 🫢 unaemuheshimu na kumupenda πŸ’ž kwa sababu ya 🀌 kimada unae mujaribu 🀌 niongeze sauti πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ¦» by @chekecheadoto
0
23 days ago
Download
Dogo  Amin usiamini ndoa pekee ndio shule mgumu kufauru  ndio maana unapewa Chet kwanza ndio unaingia  kwenye  ndoa yenyewe by @chekecheadoto
0
23 days ago
Download
Ama kweri mchezo pekee usio na makelele  ni ule wa kushindana kukaa kimya tyuuu@ by @chekecheadoto
0
23 days ago
Download
Wakati kikao kinaendelea  kikajiri kikao kingine ndani ya kikao kingine ndani ya kikao kingine Tena 🀌 Bado hujanielewa tuuu by @chekecheadoto
0
23 days ago
Download
Ndugu mwandishi wa habar  nimeamini kuwa asiri ya mwaname anaweza kuchunga ngo'mbe wengi kwa kutumia fimbo Moja 🀌 ajabu mwanamke anaweza kuchunga ngo'mbe wengi kwenye kijiji kimoja watanielewa wenye D2 tuu ✍️ by @chekecheadoto
0
23 days ago
Download
Usimutafute alietumwa na mchawi wakati paka umemufuga mwenyewe  Niongeze sauti πŸ“’πŸ“’πŸ¦»πŸ¦» by @chekecheadoto
0
23 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up