Instagram story viewer> @chomawaterfalls> Posts
637
posts
1.7K
followers
326
following
Ukurasa Wa @chomawaterfallss💦 Enjoy The Beauty of Uluguru Mountains ⛰ Contact WhatsApp 0628534041 Karibuni Sana Wageni tupo Mimi Gaidar wako hapa Mor
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
🔥 Burudani hii inapatikana Choma Waterfalls pekee! 🌊✨Njoo ujionee mandhari ya kipekee, burudani ya kuvutia na kumbukumbu zisizosahaulika.📍 @chomawaterfallsChoma Waterfalls – mahali ambapo burudani na asili vinakutana! 🌿💦 by @chomawaterfalls
0
9 hours ago
Download
🚨 SAFARI YA MOROGORO ILINOGA JANA… LEO NDIYO LEO! 🔥Asubuhi hii tumeamka tayari The Pals Lounge, maandalizi yamekamilika na kila kitu kiko tayari kwa usiku wa historia! 🎉Bistar na Mashabiki Season 2 – Homecoming Festival ni leo. Morogoro, huu ndio usiku wa burudani ya kiwango cha juu, vibe kali na kumbukumbu zisizosahaulika.Kusanya crew yako na tukutane The Pals Lounge. Morogoro, leo hapa ni toshi! Twende tukafanye historia pamoja. 🔥💃🕺@the_palstz @bugale_rama @azamtvtz @azamtvburudani @dijavacompany @dijjahcollection_handbags @sautiyamamatz @herietycyrilychumira @dachihalima @habarimorogoro :Sauti ya Morogoro @_bistar#BistarNaMashabiki #HomecomingFestival #Morogoro #SautiYaMorogoro #LeoNdioLeo ThePalsLounge MorogoroToshi by @chomawaterfalls
1
9 hours ago
Download
💦 KARIBU CHOMA WATERFALLS – ULUGURU MOUNTAINS, MOROGORO 🌿⛰️Tunawakaribisha wanafunzi, taasisi, vikundi, familia na wageni binafsi kutembelea Choma Waterfalls, kivutio cha kipekee kilichopo ndani ya Milima ya Uluguru.Njoo ufurahie matembezi ya asili, utalii, kujifunza kuhusu mazingira na uzuri wa mandhari ya milimani. 🌳💧Tunatoa huduma mbalimbali zikiwemo:✅ Uongozi wa watalii (Tour Guide)✅ Ratiba za matembezi na utalii✅ Ushauri wa safari✅ Huduma kwa vikundi na wageni binafsi✅ Usafiri kutoka SGR hadi hotelini na kuendelea na safari za Choma WaterfallsKwa taarifa zaidi kuhusu mapokezi ya wageni, gharama na huduma zetu, tupigie au tutumie WhatsApp:📞 0628 534 041🌿 Choma Waterfalls Morogoro – sehemu sahihi ya kutalii, kujifunza na kufurahia uzuri wa asili.@chomawaterfalls @chomawaterfalls_morogoro @morogoro_ndio_home @dullah_mbayazKaribu sana Choma Waterfalls by @chomawaterfalls
1
2 days ago
Download
Safari ya chomawaterfalls by @chomawaterfalls
1
2 days ago
Download
💦 KARIBU CHOMA WATERFALLS – ULUGURU MOUNTAINS, MOROGORO 🌿⛰️Tunawakaribisha wanafunzi, taasisi, vikundi, familia na wageni binafsi kutembelea Choma Waterfalls, kivutio cha kipekee kilichopo ndani ya Milima ya Uluguru.Njoo ufurahie matembezi ya asili, utalii, kujifunza kuhusu mazingira na uzuri wa mandhari ya milimani. 🌳💧Tunatoa huduma mbalimbali zikiwemo:✅ Uongozi wa watalii (Tour Guide)✅ Ratiba za matembezi na utalii✅ Ushauri wa safari✅ Huduma kwa vikundi na wageni binafsi✅ Usafiri kutoka SGR hadi hotelini na kuendelea na safari za Choma WaterfallsKwa taarifa zaidi kuhusu mapokezi ya wageni, gharama na huduma zetu, tupigie au tutumie WhatsApp:📞 0628 534 041🌿 Choma Waterfalls Morogoro – sehemu sahihi ya kutalii, kujifunza na kufurahia uzuri wa asili.Karibu sana Choma Waterfalls by @chomawaterfalls
0
2 days ago
Download
Kumekuchaaaa!!! 🤣🔥Mwenye Morogoro yake ni mkali hatari! 😂😂 Hii Jumamosi huyu lazima ashikiliwe kabisa, maana burudani itakuwa ya kiwango cha juu! 🎤🎉Morogoro, mpo tayari au bado? 👀🔥@dijavacompany @prince.jmmy @kunta_password @lamataleah @juakali_tamthilia @kombolela_season_2_official @azamtvtz @dijjahcollection_handbags @raskazone_classic @jambo_drinks @the_palstz @jovano_world @charlz_mmmh @morogoro_ndio_home @morogoroyetu @habarimorogoro @aboodmediatz @dizzimfm @planetfmtzHabari Morogoro – Sauti ya Morogoro. 🎙️❤️#Morogoro #KombolelaSeason2 #Burudani #HabariMorogoro #SautiYaMorogoro@habarimorogoro :Sauti ya Morogoro @_bistar by @chomawaterfalls
0
2 days ago
Download
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Bi. Sharifa Nabalang'anya, anaendelea kuwaalika wananchi na wageni kutembelea Wilaya ya Gairo na kujionea fahari yake kupitia sekta ya utalii.Wilaya ya Gairo, Mkoa wa Morogoro, imejaliwa kuwa na vivutio mbalimbali vya utalii vinavyoweza kuvutia watalii wa ndani na nje ya nchi.Karibu Gairo ugundue uzuri wa vivutio vyake na fursa zilizopo katika sekta ya utalii. 🌿🇹🇿@wizarayamaliasilinautalii @wizara_sanaatz @tamisemi @rs_morogoro @japhari_kubecha @sharifa_nabal @tfsukaguru_ecotourism @chomawaterfalls @habarimorogoro Sauti ya Morogoro #KaribuGairo #Utalii #Morogoro #Tanzania #TembeaTanzania by @chomawaterfalls
1
3 days ago
Download
🌿 KARIBU CHOMA WATERFALLS – ULUGURU MOUNTAINS, MOROGORO 💦Tunapokea wanafunzi, taasisi, vikundi, familia na mtu mmoja mmoja kwa matembezi, utalii na mafunzo ndani ya Milima ya Uluguru, bila kusahau kivutio cha kipekee cha Choma Waterfalls.Tunatoa huduma mbalimbali zikiwemo: ✅ Uongozaji wa watalii (Tour Guide) ✅ Ratiba za matembezi na utalii ✅ Ushauri wa safari ✅ Huduma za makundi na watu binafsi.Kwa taarifa zaidi kuhusu utaratibu wa kupokea wageni, gharama na huduma zetu zote, tupigie au tutumie WhatsApp:📞 0628 534 041Choma Waterfalls Morogoro – Mahali sahihi pa kutalii, kujifunza na kufurahia uzuri wa asili. Karibu sana! 🌿🏞️ by @chomawaterfalls
0
4 days ago
Download
Karibuni Morogoro – Fahari ya Milima ya Uluguru! Tunawakaribisha wote:taasisi, makampuni, vikundi, wanafunzi, familia, ndugu, jamaa na marafiki kutembelea vivutio vya kipekee vilivyopo katika Milima ya Uluguru, ndani ya Manispaa ya Morogoro.Njoo ujionee mandhari ya kuvutia ya milima, maporomoko ya maji ya asili, na hewa safi inayoburudisha.Milima ya Uluguru ni maarufu kwa mandhari yake ya kuvutia, njia za matembezi, na vivutio vya asili vinavyowavutia wageni kutoka maeneo mbalimbali.Pia tunatoa huduma ya kuandaa na kupokea oda za vyakula na vinywaji mbalimbali, ikiwemo:🥩 Nyama choma🍟 Chipsi🍌 Ndizi choma na za kukaanga🥤 Vinywaji vya aina mbalimbali🍽️ Na vyakula vingine vingi kulingana na mahitaji yako.Karibu ufurahie mazingira ya kipekee, upige picha za kumbukumbu, na utengeneze kumbukumbu zisizosahaulika pamoja na familia, marafiki au wafanyakazi wenzako.Morogoro – Milima ya Uluguru, uzuri wa asili unaokungoja!#trendingvideo #ChomaWaterfalls #NatureLovers #Nature #MorogoroAdventureCamp by @chomawaterfalls
0
6 days ago
Download
🚨 MOROGORO, MMEJIANDAA AU BADO? 🔥🔥BALAAA LINAHAMIA MOROGORO! 💥📅 Tarehe 25 Julai usikose BISTAR NA MASHABIKI – SEASON 2: HOMECOMING FESTIVAL!🎉 Burudani ya kiwango cha juu, vibe za ukweli na usiku ambao utabaki kwenye kumbukumbu zako.🍾 Meza za VIP🥇 TSh 400,000🥈 TSh 300,000🥉 TSh 150,000Pales Night Club & Lounge, Station Road, Barabara Kuu ya Manispaa ya Morogoro.📲 Morogoro, mtakuwa mnaingia na nani?Na Dar es Salaam, ni nani tayari kusafiri kuja kutikisa Morogoro? 👀🔥Comment chini👇💬 Ukiwa Morogoro andika "NIPO! 🔥"💬 Ukiwa Dar es Salaam andika "TUNAKUJA! 🚗🔥"Na mtag crew yako msikose tamasha hili!⚠️ Hifadhi meza mapema kabla hazijaisha.Si tamasha tu... ni HOMECOMING. Ni urithi wetu! ❤️🔥#BistarNaMashabiki #Season2 #HomecomingFestival #Morogoro #DarEsSalaam 25Julai HabariMorogoro SautiYaMorogoro@habarimorogoro :Sauti ya Morogoro @_bistar @_bistar by @chomawaterfalls
3
7 days ago
Download
*_NYAMA CHOMA TOUR SEASON II 2026 UKAGURU FOREST_* °° _Wananchi wote wa Wilaya ya Gairo hili ni letu Twendeni tukajionee Vivutio vyetu tulivyonavyo ndani ya Msitu wa Ukaguru na kujionea Maporomoko ya Maji/Mafufumo & Msalu Waterfall,Vyura kioo,Vinyonga wenye Mapembe Vipepeo wenye rangi ya Bendera ya Taifa..🇹🇿 Nyani wenye Mikono Mirefu Duniani na Wanyama aina ya Tumbili wenye Rangi za kuvutia....Kwa Gharama Nafuu zaidi._°°🥂🍗 °° _Raha Unajipa Mwenyewe kwa kubadilisha Mazingira na kujiunga kwenye timu ya Furahia Maisha na kwenda kujionea Uzuri wa Vivutio vyetu._°° °° _Zikatae STRESSS wakati kuna sehemu itakupa Amani na Utulivu wa kipekee huku ukipata huduma zote za msingi kama kipeperushi kinavyojieleza Unakosaje Fursa kama hii Adimu Mwana Gairo.!_ °°*_LIPA 44352638 JINA NI LUGA SHABANI YUSUPH na Kwa Mawasiliano kwa njia ya Kawaida na WhatsApp Tupigie kwa Namba 0692 575 013 / 0652 428 446_*🍾🍢🍹 TWENZETU NYAMA CHOMA TOUR SEASON II UKAGURU FOREST TAREHE 29-30 MWEZI WA 8 MWAKA HUU 2026🍹🍢🍾@tfsukaguru_ecotourism @sharifa_nabal @chomawaterfalls by @chomawaterfalls
0
7 days ago
Download
Historia ya Choma Waterfalls – Milima ya Uluguru, MorogoroChoma ni jina la eneo ambalo hapo awali lilikuwa sehemu ya Kijiji cha Mgambazi, likihusisha maeneo ya Morning Side, Ruvuma na Mbete, ndani ya Milima ya Uluguru, mkoani Morogoro.Kwa mujibu wa simulizi za jadi za wenyeji wa eneo hili, katika kipindi cha kati ya mwaka 1830 hadi 1850, kulikuwa na mashambulizi kutoka kwa makundi mbalimbali ya kivita. Upande mmoja kulikuwa na jeshi lililojumuisha Wangoni, Wamatengo na Wapogoro, huku upande mwingine kukitajwa uvamizi wa Wakaba waliotokea upande wa Kenya.Wakati huo, Mgambazi (eneo la sasa la Choma) lilikuwa kituo kikuu cha kutoa amri (commanding post) cha Dola ya Kifalme ya Uzeru chini ya uongozi wa Lukwele wa Kwanza. Inasimuliwa kuwa maadui walizuiwa kuingia ndani zaidi ya Milima ya Uluguru kwa kupigwa mikuki na mishale katika eneo hilo.Kutokana na mapigano hayo na ushindi uliopatikana, eneo hilo likaanza kujulikana kama Choma, likiwa ni kumbukumbu ya matukio ya vita yaliyotokea hapo. Jina la Mgambazi lilibaki kutumika kwa sehemu za juu za eneo hilo, kuanzia Morning Side kuelekea Bondwa, huku jina la ufalme nalo likibadilika kutoka Dola ya Uzeru na kuwa Dola ya Choma.Leo hii, Choma Waterfalls siyo tu kivutio cha kipekee cha utalii ndani ya Milima ya Uluguru, bali pia ni eneo linalobeba simulizi na urithi wa kihistoria unaoendelea kusimuliwa na jamii za wenyeji. Wageni wanaotembelea maporomoko haya hupata fursa ya kufurahia uzuri wa mazingira ya asili pamoja na kujifunza historia na tamaduni zinazolifanya eneo hili kuwa la kipekee.✍️By Yuda Msaliti @chomawaterfalls@chieflukweleTupigie au WhatsApp 0628 534 041 by @chomawaterfalls
1
7 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up