Instagram story viewer> @climaxbibo> Posts
35
posts
17.9K
followers
1
following
Musician from East Africa
BOOKING: [email protected]
LINK HIYO HAPO
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Tunarudi Ubaoni Kuendelea Kujua Kete Za Pesa MNAPATAJE???….Link Kwenye Bio #TalantaBoyGenius#MoneyTall#MnapatajePesa by @climaxbibo
25
9 days ago
Download
Asikudanganye Mtu Sisi Ndo Wataalamu 😂😂😂 Wengine Wanajitilisha Huruma Tu Waonekane Kuna Kitu Wanakiweza Ila Ukweli Ni Kwamba Wenye Vitu Vyao Ndo Hao Hapo Juu @jaymoefamous Sioni Kama Una Deni 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Haya Niiteni Wote Mnaowaamini 😂😂😂 Naitwa #TalantaBoyGenius #MoneyTall #MELI cc @wasafitv by @climaxbibo
69
15 days ago
Download
Kama Kweli Kuna Nyoka Basi Mtuambie Wengine Tuna Ujasiri Na Huyo Nyoka Jamani MNAPATAJE PESA??.. by @climaxbibo
15
17 days ago
Download
Hizo Biashara Mfanyazo Ni Zipi Mitego Mnatega Ni Mitego Ipi Ili Tujue MNAPATAJE PESA 😂 … Ebana Eehhh Anaitwa Climax BiBo a.k.a Talanta Boy Na New Project Yake Hapo Inapatikana Platform Zote We Bonyeza Link Hapo Ufurahie Rap Music Safi #TalantaBoyGenius#MoneyTall#MnapatajePesa by @climaxbibo
28
19 days ago
Download
Maswali Ni Mengi Sana Watu MNAPATAJE PESA???….Link Kwenye Bio Yangu Hapo#TalantaBoyGenius#MoneyTall by @climaxbibo
59
19 days ago
Download
MNAPATAJE PESA????….Link Kwenye Bio Tuendelee Kuulizana Mpaka Tupate Majibu#TalantaBoyGenius#MoneyTall by @climaxbibo
171
23 days ago
Download
Maswali Yamekua Mengi Sana Juu Ya Upatikanaji Wa Pesa Kwa Wenzetu Ambao Pia Hatujui Wanapataje….Eti Nyieeee MNAPATAJE PESA??#TalantaBoyGenius#MoneyTallBonyeza link Kwenye Bio Tuondoke by @climaxbibo
95
23 days ago
Download
SINA DENI….Hakikisha Una Sound Nzuri Kwa Ajili Ya Hili Tukio #TalantaBoyGenius #MoneyTall by @climaxbibo
35
2 months ago
Download
MUDA UTAAMUA 🔊 #TalantaBoyGenius #MoneyTall by @climaxbibo
71
2 months ago
Download
Huu Uwanja Nna Shida Nao Naombeni Niondoe Haya Magugu Mkiendelea Kusubiri TALAKA 3 😂 Muda Ndo Kitu Sina #Link Kwenye Bio Yangu Tuondokeni by @climaxbibo
162
3 months ago
Download
Mic Hiyo Hapo Kwa Anaetaka Kuvaa Mabomu Avae Kabisa Kabla Sijaanza Kukata Miwa Yangu Maana Nna Shida Na Huu Uwanja….TALAKA 2 Link Kwenye Bio #TalantaBoyGenius #MoneyTall by @climaxbibo
258
3 months ago
Download
SWALA LA MUDA NDO HALIPO….LINK KWENYE BIO TALAKA 2 ..Mengine Nawaachieni Nyie 😂🙌🏾 #TalantaBoyGenius #MoneyTall by @climaxbibo
113
3 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up