Instagram story viewer> @cloudssports> Posts
626.2K
followers
40
following
Official Page of Sports News from Clouds Media
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
“Mchezo wa mpira wa miguu umesaidia vijana wengi kwa kuwapa ajira vijana na kuwafanya wawe busy” ~ @mkazuzutza 

Cc;  @augusto_malusu @davidkampista @mkazuzutza 

#WarmUp 
#MchongoGold 
#Clouds26Nyoosha by @cloudssports
1
3 hours ago
Download
“Ni jambo kuwatengenezea mazingira vijana wenye vipaji”~ @mkazuzutza 

Cc;  @augusto_malusu @davidkampista @mkazuzutza 

#WarmUp 
#MchongoGold 
#Clouds26Nyoosha by @cloudssports
2
4 hours ago
Download
0 Likes = 50,000
Twende kazi 🙌 #KaribuBlueHouse #MjengoWaBlue by @cloudssports
4k
13 hours ago
Download
Ronaldo amefanya vitu vingi, Dunia bado inamuhitaji~ @davidkampista

Cc;  @augusto_malusu @ayubu_mgando @davidkampista

#WarmUp 
#MchongoGold 
#Clouds26Nyoosha by @cloudssports
9
a day ago
Download
Kwa namna ambavyo mchezo wa dabi unavyochukuliwa na namna vilabu vinawekeza  vina uwezo wa kumtengeneza mchezaji na kumuharibia pia…

Na usichokijua ni kwamba dabi inanoga zaidi ukiitazama uwanjani..

Cc;  @augusto_malusu @ayubu_mgando @davidkampista

#WarmUp 
#MchongoGold 
#Clouds26Nyoosha by @cloudssports
3
a day ago
Download
Kwa sasa kumekuwa na motisha kwa wachezaji ambapo wanapewa bonus na wanapopewa wanapata matokeo, mfano ukiangalia kwa klabu ya Simba ambapo Mo Dewji amekuwa akiweka Bonus Simba inapata matokeo mazuri.

Lakini pia GSM amekuwa akitoa bonus na Yanga wakawa wanapata matokeo mazuri, kwa hiyo bonus zinapotoka zinatoa hamasa kwa wachezaji kupambana uwanjani..

Cc;  @augusto_malusu @ayubu_mgando @davidkampista

#WarmUp 
#MchongoGold 
#Clouds26Nyoosha by @cloudssports
6
a day ago
Download
Michael Olise ameweka sharti zito mezani — anataka mkataba wake na Bayern Munich uwe na release clause, kipengele kinachoweka bei maalum ambayo klabu nyingine ikiifikia inaweza kumsajili bila Bayern kuwa na nafasi kubwa ya kuzuia uhamisho.

Ni mfumo ambao Olise alikuwa nao Crystal Palace, huku Harry Kane na Jamal Musiala wakiripotiwa pia kuwa na vipengele kama hivyo Bayern.

Kinachoongeza presha Allianz Arena ni kwamba Olise bado hajatoa ishara ya wazi kuwa anataka kubaki Bayern kwa muda mrefu. Sasa viongozi wa klabu wanatajwa kuanza kuwa na wasiwasi — je, ni ulinzi wa kawaida kwenye mkataba au Olise anajiandalia mlango wa kutoka? by @cloudssports
64
a day ago
Download
Kuelekea mchezo wa Dabi ya Kariakoo na mabadiliko ambayo yanatokea kila zinapokutana hizi timu, mchambuzi @ayubu_mgando anasema zinapofanyiwa Simba na Yanga zifanyiwe pia timu zingine zinazoshiriki ligi kuu.

#WarmUp iko Live muda huu hapa Clouds Tv mpaka saa 11 Jioni.

Cc;  @augusto_malusu @ayubu_mgando @davidkampista

#WarmUp 
#MchongoGold 
#Clouds26Nyoosha by @cloudssports
3
a day ago
Download
“Tusiishie tu kwenye kupata shorts clip tu za mtandaoni, inabidi itengenezwe Youtube Channel ambayo itakuwa inaonesha matukio yote kwa ujumla, kuanzia wanapolala, wanapoenda kwenye mbuganza wanyama.”~ @augusto_malusu

#WarmUp iko Live muda huu hapa Clouds Tv mpaka saa 11 Jioni.

Cc;  @augusto_malusu @ayubu_mgando  @davidkampista

#WarmUp 
#MchongoGold 
#Clouds26Nyoosha by @cloudssports
2
a day ago
Download
Maoni ya mchambuzi @augusto_malusu anasema kwamba tulipaswa kuandaa vazi kuelekea kwenye mashindano ya AFCON, na tuwe na vazi ambalo linazungumza tayari Tanzania na wala hafahamu makubaliano na Adidas kwenye kututengenezea Jezi.

#WarmUp iko Live muda huu hapa Clouds Tv mpaka saa 11 Jioni.

Cc;  @augusto_malusu @ayubu_mgando @davidkampista

#WarmUp 
#MchongoGold 
#Clouds26Nyoosha by @cloudssports
2
a day ago
Download
Asante kwa kuikaribisha Clouds FM kwenye frequency za redio yako, chukua tano 🫸🫷kwa kufuatilia Clouds TV kwenye screen yako na tunakupa 🫂 kwa kuendelea kuwa sehemu ya familia ya Clouds Media kupitia mitandao ya kijamii.

Wiki hii tunakukaribisha Blue House 🏡. Endelea kufuatilia kufahamu michongo gani inakuhusu wewe Mcloudsania #MjengoWaBlue #Clouds26Nyoosha by @cloudssports
12
2 days ago
Download
Cristiano Ronaldo amerejea Riyadh, Saudi Arabia, huku mjadala kuhusu mustakabali wake ndani ya timu ya taifa ya Portugal ukiendelea kuwa gumzo.

Hakuna kikao cha dharura kinachotarajiwa kati yake na kocha Jorge Jesus, huku Al Nassr wakijiandaa kumpokea Ronaldo mazoezini wiki hii.

Sasa macho yote yanaelekezwa kwenye hatua inayofuata, huku Ronaldo na Jorge Jesus wakitarajiwa kuweka wazi misimamo yao kabla ya uamuzi wa mwisho kuhusu safari ya CR7 na Portugal. by @cloudssports
3
2 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up