Instagram story viewer> @collins_adeleke_> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Bangkok ina jukwaa. Dar ina shangwe.
Jumamosi hii tunakaa pamoja kumtazama Jihan Dimack akiipeperusha bendera ya Tanzania kwenye Miss Grand International 2026. Tunataka ukumbi ujae kama nyumbani, ajue ana home crowd hapa Dar.

TANZANIA GOES GRAND โ€ข THE WATCH PARTY
HAKUNA KIINGILIO. Ila nafasi ni chache, jisajili mapema.

๐Ÿ“†Jumamosi, 10 Oktoba 2026
โฐ1:00 PM hadi 6:00 PM
๐Ÿ“EACLC New Dome, Ubungo
โ€” Jisajili: scan QR mwishoni mwa video.
Njoo na familia, marafiki na bendera yako๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. 
One Nation.One Queen. One Grand Day. by @collins_adeleke_
288
2 days ago
Download
Congratulations Miss Grand Tanzania 2026 @jihandimack ๐Ÿฅน๐Ÿ’ by @collins_adeleke_
35
2 months ago
Download
๐Ÿ“– Yeremia 17:7 ๐Ÿค
Baraka ni mtu yule anayemtegemea Bwana, Ambaye Bwana ni tumaini lake. @jihandimack by @collins_adeleke_
5
17 minutes ago
Download
Dear God Stand With Us ๐Ÿฅน๐Ÿค๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ by @collins_adeleke_
10
an hour ago
Download
Hello Jihan Dimachk,

Kuna safari ambazo huanza kama ndoto ya mtu mmoja, lakini kadiri siku zinavyosonga, ndoto hiyo hugeuka kuwa matumaini ya taifa zima. Safari yako ni mojawapo ya hizo.

Tangu siku ya kwanza uliposimama mbele ya majaji kwenye Audition ya Miss Grand Tanzania 2026, hadi leo unapoiwakilisha nchi yetu kwenye jukwaa la kimataifa la Miss Grand International, safari hii haijakuwa rahisi. Imebeba juhudi, machozi yasiyoonekana, uchovu, presha, kujitoa na imani ambayo haikuruhusu kukata tamaa.

Lakini leo, unapoikaribia siku hii kubwa, kuna jambo moja nataka ulijue: 
Nyuma yako kuna taifa. Kuna Watanzania waliokesha wakihamasisha watu wakupigie kura. Kuna waliotoa walichokuwa nacho, waliotumia sauti zao kukuunga mkono, waliowashawishi wengine kuamini katika ndoto yako, na waliokutaja katika maombi yao. 

Wengine hawajakutana nawe ana kwa ana, lakini wameamua kuwa sehemu ya safari yako kwa sababu wanaamini katika kile unachokiwakilisha.

Huo si ushindi wa mtu mmoja. Umebeba jina la Tanzania, bendera yetu, utamaduni wetu, utalii wetu na heshima ya mwanamke Mtanzania hadi kwenye jukwaa la dunia.
Na jambo la kuvutia zaidi ni kwamba ndoto hii imeivuka mipaka ya Tanzania!

Afrika Mashariki imeungana. Waafrika kutoka pembe mbalimbali za bara letu wameinua sauti zao, wameunganisha nguvu zao na kusimama pamoja kwa ajili ya ndoto hii. 

Umekuwa sehemu ya hadithi inayotukumbusha kuwa ndoto ya mmoja inaweza kuunganisha mamilioni!
Unapoingia kwenye jukwaa, usiangalie ukubwa wa ushindani pekee. Kumbuka ukubwa wa safari uliyopitia. Kumbuka watu waliokuamini hata pale ulipochoka. Kumbuka kila kura, kila dua, kila ujumbe na kila moyo unaopiga kwa matumaini yako.
Tembea kama mwanamke anayejua thamani yake. Simama kama binti anayejivunia nchi yake. Tabasamu kama mtu ambaye amefika hapa kwa neema, juhudi na ujasiri. Na toa kilicho bora zaidi bila kuogopa ukubwa wa jukwaa ulilosimama!

Matokeo yoyote yatakayotokea, fahamu kuwa safari yako tayari imegusa mioyo, imeunganisha watu na imeipa Tanzania nafasi ya kusikika. Lakini kesho, tunakuombea neema, ujasiri na ushindi unaozidi matarajio yetu.

Kila la kheri, Jihan Dimachk. Tunakuombea. Tunakuamini. Tunajivunia wewe. taken in Dar es Salaam, Tanzania by @collins_adeleke_
33
2 hours ago
Download
Tunamkaribisha mdhamini wetu: East Africa Commercial & Logistics Center (EACLC). ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœจ

Asante kwa kuungana nasi kwenye TANZANIA GOES GRAND ยท THE WATCH PARTY. Jumamosi hii tunamshangilia Jihan pamoja.

๐Ÿ“… Jumamosi, 10 Oktoba 2026
โฐ 1:00 PM hadi 6:00 PM
๐Ÿ“ Oriental Art Center EACLC, Ubungo

Organised by @rori.ventures

#TanzaniaGoesGrand #TeamTanzania #JihanDimack #MissGrandInternational2026 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @collins_adeleke_
5
3 hours ago
Download
JESUS ๐Ÿฅนโค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™ GUYS TUENDELE KU LIKE @missgrandinternational by @collins_adeleke_
5
5 hours ago
Download
๐‘พ๐’Š๐’”๐’‰ ๐’š๐’๐’– ๐’‚๐’๐’ ๐’•๐’‰๐’† ๐’—๐’†๐’“๐’š ๐’ƒ๐’†๐’”๐’•, ๐’Ž๐’š ๐‘ธ๐’–๐’†๐’†๐’๐‘ช๐’‚๐’โ€™๐’• ๐’˜๐’‚๐’Š๐’• ๐’•๐’ ๐’”๐’†๐’† ๐’š๐’๐’– ๐’˜๐’†๐’‚๐’“ ๐’•๐’‰๐’‚๐’• ๐‘ฎ๐‘ถ๐‘ณ๐‘ซ๐‘ฌ๐‘ต ๐‘ช๐‘น๐‘ถ๐‘พ๐‘ต โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ @jihandimack by @collins_adeleke_
263
7 hours ago
Download
Tunamkaribisha mdhamini wetu: Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœจ

Asante kwa kuungana nasi kwenye TANZANIA GOES GRAND ยท THE WATCH PARTY. Jumamosi hii tunamshangilia Jihan pamoja.

๐Ÿ“… Jumamosi, 10 Oktoba 2026
โฐ 1:00 PM hadi 6:00 PM
๐Ÿ“ Oriental Art Center EACLC, Ubungo

Organised by @rori.ventures

#TanzaniaGoesGrand #TeamTanzania #JihanDimack #missgrandinternational2026 taken in Tanzania by @collins_adeleke_
5
8 hours ago
Download
LEO, ukumbi wetu umekaguliwa. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœจ

Mhe. Hamis Mwinjuma, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, pamoja na viongozi wengine, wamefika Oriental Art Center EACLC, Ubungo kukagua ukumbi wa Watch Party. Asanteni kwa kuja! ๐Ÿ™

KESHO NI SIKU KUBWA.
๐ŸŽ‰ TANZANIA GOES GRAND ยท THE WATCH PARTY
๐Ÿ“… Jumamosi, 10 Oktoba ยท 1:00 PM
๐Ÿ“ Oriental Art Center EACLC, Ubungo
Dress code: Black ยท Gold ยท White

๐Ÿ—ณ๏ธ Njoo mapema, tupige kura pamoja. Kura za Jihan zinafungwa 3:00 PM.

Asante kwa wadhamini wetu Lamata Village Entertainment na Watch Party TZ.
Kaa karibu nasi. @rori.ventures

#TanzaniaGoesGrand #TeamTanzania #jihandimack taken in Tanzania by @collins_adeleke_
10
10 hours ago
Download
Jihan amevaa TANZANIA. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœจ

Vazi la Taifa la Jihan Dimack, Miss Grand Tanzania: PRIDE OF OUR HOMELAND. Kila detail ni Tanzania. Swipe uone. โžก๏ธ

๐Ÿ“ฒ TUMUUNGE MKONO (Instagram rasmi ya Miss Grand International tu)
1๏ธโƒฃ FOLLOW @missgrandinternational
2๏ธโƒฃ Kwenye post ya kura ya Tanzania: LIKE ยท REPOST ยท COMMENT
โฐ Kura zinafungwa KESHO (Jumamosi) saa 9 alasiri, 3:00 PM.

๐ŸŽ‰ Tukutane TANZANIA GOES GRAND ยท THE WATCH PARTY
KESHO 1:00 PM, Oriental Art Center EACLC, Ubungo. Njoo mapema, tupige kura pamoja!
Dress code: Black ยท Gold ยท White

Asante kwa wadhamini wetu Lamata Village Entertainment na Watch Party TZ.
Share kadri uwezavyo. Kaa karibu nasi. @rori.ventures
๐ŸŽฅ Miss Grand International

#TanzaniaGoesGrand #TeamTanzania #JihanDimack #missgrandinternational2026 taken in Tanzania by @collins_adeleke_
0
14 hours ago
Download
Hii ni Tanzania. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœจ

Jihan Dimack, Miss Grand Tanzania, kwenye jukwaa la dunia. Yuko TOP 2, na kura yako inaamua.

๐Ÿ“ฒ PIGA KURA SASA (Instagram rasmi ya Miss Grand International tu)
1๏ธโƒฃ FOLLOW @missgrandinternational
2๏ธโƒฃ Kwenye post ya kura ya Tanzania: LIKE ยท REPOST ยท COMMENT

โฐ Kura zinafungwa KESHO (Jumamosi) saa 9 alasiri, 3:00 PM.

๐ŸŽ‰ Tukutane Watch Party KESHO 1:00 PM, Oriental Art Center EACLC, Ubungo.
Dress code: Black ยท Gold ยท White

Share kadri uwezavyo. Kaa karibu nasi. @rori.ventures
๐ŸŽฅ Miss Grand International

#TanzaniaGoesGrand #TeamTanzania #JihanDimack #missgrandinternational2026 taken in Tanzania by @collins_adeleke_
13
17 hours ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up