Instagram story viewer> @cornerstoneprocleaners> Posts
98
followers
241
following
Usafi wa kitaalamu, Matokeo Yanaonekana ✨
🏠 Nyumba| 🏢 ofisi| Post construction
Cleaning. fumigation. Gardening
Mtwara mjini
clean space happy face
POSTS STORIES REELS TAGGED
CLEAN SPACE HAPPY FACES 
0718741676
NANGWANDA SIJAONA taken in Mtwara, Tanzania by @cornerstoneprocleaners
2
13 days ago
Download
Kwani nyie mnapewa nini adi muwakubalie hao wakaka wenu? 😂
Mimi nimepewa diffuser tu kutoka @cornerstoneprocleaners nikakubali😂😂😂🤪😆 . Muende kwenye store yao mtapata
35,000/= tu ya kitanzania 
0718741676 MTWARA MJINI 
Wanafanya delivery kwa uaminifu taken in Nangwanda Sijaona Stadium by @cornerstoneprocleaners
25
20 days ago
Download
CORNERSTONE STONE STORE. 
WE ARE OPEN 
0718741676
NANGWANDA STADIUM. MTWARA MJINI taken in Nangwanda Sijaona Stadium by @cornerstoneprocleaners
6
22 days ago
Download
NJIA SAHIHI YA KURUDISHA THAMANI YA SOFA ZAKO NI KUZIFANYIA USAFI . NA SISI NDIO WAFANYA  USAFI WABOBEZI MTWARA MJINI 
0718741676 taken in Nangwanda Sijaona Stadium by @cornerstoneprocleaners
0
a month ago
Download
✨ Chandelier au Taa yako inaweza kuwa beautiful… lakini vumbi likiamua kukaa, linaweza kuficha uzuri wake. 😂

A little deep cleaning, a whole lot of shine! ✨🧼
Because every detail in your home deserves to sparkle. 💎

📍 Mtwara Mjini
📞 0718741676

Cornerstone Pro Cleaners — Clean Space, Happy Face. 💚 taken in Mtwara, Tanzania by @cornerstoneprocleaners
2
a month ago
Download
taken in Mtwara, Tanzania by @cornerstoneprocleaners
0
a month ago
Download
Deep cleaning to happy families 💚 🤍
Clean space happy faces
0718741676
Mtwara mjini taken in Mtwara, Tanzania by @cornerstoneprocleaners
2
a month ago
Download
🌬️✨ Feni safi, hewa safi, comfort zaidi!

Unapohamia nyumba ya kupanga, usisahau vitu vinavyotumika kila siku—hata feni! 😅

Vumbi likijikusanya kwenye blades na grill, feni inaweza kusambaza vumbi hilo ndani ya chumba kila inapozunguka.

🧼 Tunafanya deep cleaning ya feni kwa kuondoa vumbi, uchafu na buildup uliokusanyika, ili uanze kutumia nyumba yako ukiwa na mazingira safi na fresh. 🤍

Usiingie tu kwenye nyumba… ingia kwenye nyumba safi. 🏡✨

📲 Wasiliana na Cornerstone Pro Cleaning Services Clean space, happy face. 💚
0718741676

#CornerstoneProCleaners #FanCleaning #DeepCleaning #MoveInCleaning #HouseCleaning ProfessionalCleaning CleanSpaceHappyFace taken in Mtwara, Tanzania by @cornerstoneprocleaners
0
a month ago
Download
Kabla hujahamia nyumba ya kupanga, usafi uwe hatua yako ya kwanza.

Hujui nani aliishi hapo kabla yako, wala usafi wa maeneo yaliyofichika ulifanyika kwa kiwango gani. 🤔

Anza ukurasa mpya kwa deep cleaning ya choo — kutoka kwenye tiles, sink, shower, toilet bowl hadi maeneo yanayoguswa mara kwa mara. 🧼🚿✨

Kwa sababu kuhamia nyumba mpya kwako, kunapaswa kuanza na usafi unaouamini. 🤍

📲 Wasiliana na Cornerstone Pro Cleaning Services kwa professional move-in & deep cleaning.
0718741676

Clean space, happy face. 💚

#CornerstoneProCleaners #MoveInCleaning #DeepCleaning #ToiletCleaning #RentalHouse ProfessionalCleaning CleanSpaceHappyFace taken in Mtwara, Tanzania by @cornerstoneprocleaners
2
a month ago
Download
✨ DEEP KITCHEN CLEANING 🧼✨

Jikoni ni moyo wa nyumba—na moyo huu unahitaji usafi wa kina! 🏡🤍

Tunaondoa grease, mafuta yaliyoganda, stains, vumbi na uchafu uliojificha kwenye maeneo ambayo usafi wa kawaida haufikii. From countertops hadi tiles, cabinets, stove na corners—tunairudisha kitchen yako kwenye usafi unaoonekana na kuhisiwa. ✨

🧽 Deep clean. Fresh feel. Happy kitchen.

📲 Wasiliana nasi leo kwa huduma ya professional kitchen deep cleaning.

Cornerstone Pro Cleaning Services
Clean space, happy face. 💚 taken in Mtwara, Tanzania by @cornerstoneprocleaners
0
2 months ago
Download
NYUMBA SAFI INARUDISHA AMANI YA MOYO
CLEAN SPACE HAPPY FACES CLEAN HEART 
YES WE CLEAN 
0718742676
MTWARA MJINI by @cornerstoneprocleaners
0
2 months ago
Download
Best diffusers if all times
35000/=
Tunafanya delivery popote ulipo 
Mtwara mjini 
0718741676
#aroma taken in Mtwara, Tanzania by @cornerstoneprocleaners
2
2 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up