Instagram story viewer> @jube_solution> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
ARUSHA📍
LIVE STREAMING SESSION🎥 by @jube_solution
1
3 hours ago
Download
Small steps. Massive results. 💪🏽 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @jube_solution
0
5 days ago
Download
We had a privilege to work with @dirbrianshots @ronixshots at Hodari primary school Graduation Day and this is a highlight of a whole event 🔥🔥 by @jube_solution
19
15 days ago
Download
Jukwaa la Ushirika Mkoa wa Mbeya.

Rafiki yangu @visual_jopra alinipigia simu akaniambia bajeti ilikuwa ndogo. Nikamwambia, “Hakuna shida, tufanye kazi.”

Mpango wa awali ulikuwa kutumia Sony NX100, lakini nikasema lazima tulinde kiwango cha kazi na brand yetu. Hivyo nikaamua kufika na Blackmagic 6K — kamera ambayo si ya kawaida kuiona kwenye matukio mengi hapa Mbeya. 😄

Tulikuwa na setup ya kamera moja tu, na ukumbi ulikuwa na mwanga mdogo, lakini bado tuliweza kupata matokeo safi na quality nzuri ambayo mteja alifurahia.

Kwa wateja wote, usisite kueleza bajeti yako mapema. Tunachofanya ni kuangalia mahitaji ya tukio lako na kupanga solution inayokupa matokeo bora ndani ya uwezo uliopo.

Kazi yetu ni kuhakikisha tukio lako linaonekana vizuri, bila kujali ukubwa wa bajeti. taken in Mbeya, Tanzania by @jube_solution
14
a month ago
Download
Niliagiza mzigo wangu kutoka @dubaigadgetstz na nikapewa uhakika kwamba utafika kwa wakati bila kuchelewa. Nilipopata taarifa ya kuwasili kwake, nikaelekea eneo husika kuuchukua.

Kilichonifurahisha zaidi ni kuona bidhaa ikiwa mpya kabisa (brand new), ikiwa ni Accsoon Wireless Video Transmitter — tayari kwa kazi ya livestream yenye ubora. by @jube_solution
15
2 months ago
Download
Every frame tells something. by @jube_solution
8
3 months ago
Download
Highlights recap from the last event at DTB Centre.
Moments, conversations, and connections — all in one place.

#eventrecap #dtbcentre #Videography #corporateevents #daressalaam🇹🇿 by @jube_solution
4
2 months ago
Download
Client alitaka msiba uwe livestreamed kutokea nyumbani hadi makaburini wanapozika bila kukata.
Namshukuru Mungu plan niliyoipanga ikafanikiwa kwa asilimia 97% maana video mixer ilikufa multview ikabidi tuwasiliane kwa intercoms.
Umeme nilikuwa natumia powerstation kuwasha video mixer, kucharge betri za camera, intercoms na kucharge laptop.
Gari ilibidi nitumie badala van kutokana na bajeti.
Next project i will do more than this🙏🏾 by @jube_solution
38
5 months ago
Download
Where art meets precision! Crafted from the sky and the ground, every shot meticulously planned.
Creative direction: @erickkagere
Second camera (Sony A7IV): @gwanny_story
Drone by me by @jube_solution
12
8 months ago
Download
Special thanks to vijana wa Malekezo cc @creativekido  @gwanny_story 

“KWA WIKI MARA 3” — video limeenda kama MAELEKEZO
When direction meets execution, results speak loud . by @jube_solution
3
8 months ago
Download
WE ARE SO HONORED TO DOCUMENT OUR LOVELY MOTHER @pastor_roseshaboka (MWANAMKE KWANZA BUSINESS FORUM) AT @joharirotana 

WE STREAMED 4K with 30fps QUALITY IN THIS PROJECT🎥

SPECIAL THANKS TO OUR LOVELY MOTHER @pastor_roseshaboka FOR TRUSTING US ON THIS LIVE STREAMING PROJECT

GEARS ONSET:
CAMERAS
1. BLACKMAGIC 6k
2. ZCAM 6k C2

LENSES:
1. CANON 70-200mm…..2

GADGETS:
GODOX LIGHTS 

WE WELCOME BRANDS TO WORK WITH US by @jube_solution
12
2 months ago
Download
Better days are coming, don't lose hope by @jube_solution
0
2 years ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up