Instagram story viewer> @jube_solution> Tagged
397
posts
16.7K
followers
441
following
COLORIST 🎨
LIVE CONCERTS PHOTOGRAPHER📸
PROFESSIONAL GRAPHIC DESIGNER
"Let's Work"
POSTS STORIES REELS TAGGED
MAONO YOYOTE YANA VITU VITANO
FULL SESSION WILL BE AVAILABLE ON YOUTUBE TODAY AT 1600HRS
23
MUNGU HAKUWEKA UPINDE WA MVUA KAMA ISHARA TU, BALI KAMA AGANO NA UFUNUO WA UTUKUFU WAKE.

RANGI ZOTE SABA ZA UPINDE WA MVUA ZIMEBEBA UFUNUO WA SIFA ZA MUNGU. UTUKUFU WAKE HUJIFUNUA HATUA KWA HATUA, NA SI MARA MOJA.

NDIYO MAANA MUNGU HUFUNUA UTUKUFU WAKE KIDOGO KWA KIDOGO KADRI TUNAVYOKUA NDANI YAKE.

STAY TUNED FOR FULL VIDEO ON YOUTUBE
13
PRAISE EXPLOSION
Kwakuwa Mwenye Nguvu amenitendea makuu🙌🏿

Kwa Neema ya MUNGU tumepata kibali cha kuwa na watumishi wa MUNGU wazuri katika huu ufalme @neemagospelchoirtz kwenye ibada ya PRAISE EXPLOSION 

Endelea kutuombea na kumtarajia MUNGU kwenye majira haya mapya aliyoyakusudia🙌🏿

Tar 14-08-2026
Venue: Mabeyo complex,Dodoma.

Art @jube_solution
30
PRAISE EXPLOSION
Kwa Neema ya MUNGU tutakuwa na mtumishi wa MUNGU na rafiki yetu kabisa @jastin_asifiwe kwenye ibada hii ya PRAISE EXPLOSION 14-08-2026 pale MABEYO COMPLEX

Designed by @jube_solution
15
PRAISE EXPLOSION 
Habari njema ni kwamba kwa Neema ya MUNGU ibada yetu hii itafanyikia MABEYO COMPLEX 

Date:14-08-2026
VENUE: MABEYO COMPLEX
💃🏾HAKUNA KIINGILIO 💃🏾

Artwork @jube_solution
27
MAFUNDISHO MAALUMU YA MAMA KWA VIJANA 

FULL SESSION IS NOW AVAILABLE ON YOUTUBE!

THE LINK IS AVAILABLE IN OUR BIO ACCOUNT.
2k
MAFUNDISHO MAALUMU YA MAMA KWA VIJANA  @letstalkshowtz 

"KAMA UNATAKA KUKUA KIROHO NA KUFANYA MAMBO MAKUBWA KATIKA ROHO, LAZIMA UWE NA NIDHAMU YA KIROHO."

✅KUWA MTU WA NENO LA MUNGU, KWA SABABU NENO NDILO LINAKUTENGENEZA.

✅KUWA MTU WA MAOMBI, MAANA HAPO NDIPO NGUVU NA MAELEKEZO YA MUNGU HUPATIKANA.

✅KUWA MAKINI NA WATU UNAOWACHAGUA KATIKA MAISHA YAKO, KWA SABABU WANAWEZA KUATHIRI MWELEKEO WA HATIMA YAKO.

cc @pastor_roseshaboka 

FULL SESSION WILL BE AVAILABLE ON YOUTUBE! @letstalkshowtz
1k
back to up