Instagram story viewer> @cytewarty> Posts
2K
followers
1010
following
📌DA_Kagera @bayerofficial //GOVERNOR @udomtheofficial 22'23//G.Secretary ministry of loans @udomtheofficial 21'22//HP Makita HighSc 18'20 //SLI💰🌴
POSTS STORIES REELS TAGGED
1/12/2023,,,, Nilitunukiwa Shahada ya awali katika Taaluma za Maendeleo ya Chuo kikuu cha Dodoma yaani (Bachelor's Degree In Development Studies of the University of Dodoma) 
it wasn't easy but God Did 🙏 
New International Development Director in town✍️📌

@aligonzasuniver  @mwanzasuits @boiboimkali @gwajimad @maendeleoyajamii @ridhiwani_kikwete @innocentbash @bashehussein @plan_tanzania @msolanoh_og @odemba_jr @cde_mwantona_joel @masoudmwanida @worldvisiontz @meddyonly @yamuragiyeclemence @marrydaudi3 @nipher_deee @samuel_mazota @oneremmy8 @beillah360 taken in Institute of Development Studies-Udom by @cytewarty
15
3 years ago
Download
Awali ya yote nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia nguvu na afya njema kwa kipindi hiki cha mwaka mmoja ambao nimeitumikia serikali ya wanafunzi kama GAVANA.
Pili,, niwashukuru wanafunzi wote kwa kuwa na Imani na mm hadi kunichagua kuwatumikia kwa kipindi hiki cha mwaka mmoja.
Tatu,, niishukuru familia yangu pamoja na watu wote ambao kwa namna moja au nyingine mmeifanya safari yangu ya uongozi kuwa yenye Baraka na neema Tele pamoja na mafanikio makubwa sana🙏🙏

wazungu wanasema "a good dancer must know when to leave the stage" na sasa nimestaafu rasmi majukumu yangu na niwatakie kila lakheri viongozi wateule mkaendeleze pale tulipoishia kwa kuzingatia misingi ya Uadilifu,,Haki na Usawa✍️

Cc #GAVANA2022-2023
  #UDOSO_IDS 
  #NITAREJEA🕊

@cafclcc @innocentbash @bashehussein @ridhiwani_kikwete @ummymwalimu @jokatemwegelo @festosangatz @paulkagame @kagutamuseveni @mamarachelruto @barackobama @potus @sarah__tz @michelleobama @__therealjane @samia_suluhu_hassan @@gersonmsigwa @chrisbrownofficial @udom_blog @udom_ambassadors @udomfame @tryphone_augustine_mwinuka @samuel_mazota @udomfamily @yassaboy24 @gustavo_msouth @nicogustavo_ taken in Tanzania, Africa by @cytewarty
4
3 years ago
Download
During the 14th CONVOCATION MEETING of the University of Dodoma, I was awarded the certificate of APPRECIATION for my Outstanding commitment and Exemplary Leadership  as the Governor of the University of Dodoma Students organization (UDOSO) for 2022-2023 term.. My dedication and Remarkable Performance will always be Cherished and Remembered by the University✍️📌 

#ManWithWorldDreams🌍 

@anthonymavunde @Prof.Kusiluka @udomtheofficial  @udom_ambassadors @davoo.david @udomfame @udom_humanities @tryphone_augustine_mwinuka @innocentbash @ridhiwani_kikwete @nipher_deee @dj_dan_dz taken in Chimwaga Hall-UDOM by @cytewarty
11
3 years ago
Download
BRO👉 Take any job until you find your dream job coz PRIDE won't put food on your Table📌 TAKE THAT CASH BRO💎

invest With @stewart_investment 

@officialzungu_ @simon.esq @wizara_ya_kilimo @daniel_godfrey_chongolo @dottobahemu_ taken in Invest With Us by @cytewarty
2
a month ago
Download
Flash baq 2023_UDOM💎  Let’s sacrifice our today so our children can have a better tomorrow✍️📌

(BEING CYTEWARTY IS A DREAM)

#ManWithWorldDreams🌎
#StreetMp🇹🇿

@stewart_investment @simon.esq @udomtheofficial @udom_ambassadors @udopsso_official @udoso_parliament @udsmofficial @udom.finest @tryphone_augustine_mwinuka @faida_magiyula @innocentbash taken in Dodoma, Tanzania by @cytewarty
1
a month ago
Download
SOME CHANGES ARE PAINFUL BUT NECESSARY💎💎

#StreetMp🇹🇿
#ManWithWorldDreams🌎 taken in World Dreams by @cytewarty
13
2 months ago
Download
88-2026 lake zone champion 🏆 🥇 (2026 Farmers Exhibition 🌽 🌽 🌽)
God is always on our side 🙏 🙌 Mwakani tenaaaaaaaaaaaa

Invest With @stewart_investment 
#ManWithWorldDreams🌎

@jemedarisaid @hansrafael14 @musa.bigambo @innocentbash @anthonymavunde @daniel_godfrey_chongolo @joelnanauka_ @wizara_ya_kilimo taken in Nanenane Mwanza by @cytewarty
4
2 months ago
Download
Apply yourself both now and in the next life. Without effort, you cannot be prosperous. Though the land be good, You cannot have an abundant crop without cultivation💎💎 

Invest With SLI💰

#ManWithWorldDreams🌎

@stewart_investment  @irenekillenga @wizara_ya_kilimo @daniel_godfrey_chongolo @anthony_mtaka @anthonymavunde @innocentbash @bashehussein @hansrafael14 @ofisi_ya_rais_utumishi @samuel_mazota @tryphone_augustine_mwinuka @mwigulunchemba by @cytewarty
0
3 months ago
Download
PUMZIKA KWA AMANI MBINGUNI BINTI YETU MPENDWA ABIGAEL RICHIUS LAURENT💔💔💔😭😭

HAIKUWA DUNIA BALI MAPITO 🕊🕊

#RIP💔💔 by @cytewarty
21
6 months ago
Download
UJUMBE WA SHUKRANI👇👇👇💎

Kwa niaba ya  Kampuni ya Bayer Life Science, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wakulima, viongozi na wananchi wa kata za Ntobeye, Kasuro, Kanazi na Kibimba kwa mapokezi mazuri, ushirikiano na ukarimu mkubwa mlioonesha kwetu wakati wa mwendelezo wa shughuli za Farmers Field Day zilizofanyika Wilayani Ngara kuanzia tarehe 24–26 Februari 2026.

Ushiriki wenu, moyo wa kujifunza pamoja, na ushirikiano mliotuonesha umeifanya shughuli hii kuwa na mafanikio makubwa. Tumefurahishwa sana na jitihada zenu katika kuendeleza kilimo chenye tija na kutumia mbinu bora za kilimo kwa maendeleo ya wakulima na jamii kwa ujumla.

Tunaamini kuwa ushirikiano huu utaendelea kuimarika zaidi katika siku zijazo, na kwamba maarifa na teknolojia zilizoshirikishwa zitasaidia kuongeza uzalishaji na kuboresha maisha ya wakulima wetu.

Tunawatakia mafanikio mema katika shughuli zenu za kilimo na maendeleo ya jamii.

Asanteni sana kwa ukarimu wenu na kwa kutukaribisha kwa moyo mkunjufu.

Imetolewa na:
STEWART SABACE LAURENT (DA_NGARA_KAGERA🌽🌽)

@wizara_ya_kilimo
@bashehussein
@dottobahemu_ @daniel_godfrey_chongolo taken in Ngara, Kagera, Tanzania by @cytewarty
1
7 months ago
Download
UJUMBE WA SHUKRANI NA PONGEZI
BAADA YA FARMERS FIELD DAY – 5/2/2026
KATA YA NYAMIAGA, KIJIJI CHA MUSUMBA
WILAYA YA NGARA

Kwa niaba ya kampuni ya Bayer Life Science, tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wakulima wote wa mahindi, viongozi wa serikali ya kijiji cha Musumba, Kata ya Nyamiaga, pamoja na uongozi wa Wilaya ya Ngara kwa ushiriki wenu mzuri na mafanikio ya Farmers Field Day iliyofanyika tarehe 5/2/2026.

Tunaipongeza Serikali ya Wilaya ya Ngara kwa ushirikiano wake mkubwa katika kuhamasisha kilimo chenye tija na chenye kuzingatia matumizi sahihi ya pembejeo bora, mbegu zilizothibitishwa, pamoja na teknolojia za kisasa za kilimo.

Kwa wakulima wa mahindi, tunawapongeza kwa:

Kujitokeza kwa wingi na kuonesha ari ya kujifunza teknolojia mpya

Kuthamini matumizi ya mbegu bora na dawa sahihi za mazao

Kuendelea kuwa mstari wa mbele katika uzalishaji wa chakula na kuinua uchumi wa familia na taifa kwa ujumla

Kupitia mafunzo na maonesho yaliyofanyika, tumeshuhudia dhamira yenu ya kuongeza tija, kupunguza changamoto za magonjwa na wadudu waharibifu, na kuboresha mavuno kwa kutumia suluhisho za kisasa za kilimo.

Bayer Life Science itaendelea kushirikiana nanyi bega kwa bega katika:

Kutoa elimu endelevu ya kilimo bora

Kusambaza teknolojia na suluhisho za kisasa

Kuimarisha usalama wa chakula na kipato cha mkulima

Kwa pamoja tunaweza kufikia lengo la uzalishaji mkubwa, wenye ubora na wenye faida zaidi.

Asanteni sana kwa ushirikiano wenu.
Kilimo ni Biashara – Tujikite katika Ubora na Tija! 🌽🌱

Imetolewa na STEWART SABACE LAURENT (DA_NGARA_KAGERA)
#manwithworlddreams🌎
@dottobahemu_ @massawe_vivian @wizara_ya_kilimo @daniel_godfrey_chongolo @bayerofficial @waziri_wa_vijana @official_mavumbi @innocentbash @bashehussein @ngalula_jackson_ @joh_1326 @johns_knows @eliya_siki @officialshetta taken in Ngara, Kagera, Tanzania by @cytewarty
1
8 months ago
Download
WILAYA YA NGARA
KATA;  NYAMIAGA 
KIJIJI; NTELUNGWE 
📅 04.02.2026
FARMERS FIELD DAY (FFD)

 IKIWA ni sehemu ya mwendelezo wa shughuli za Farmers Field Day zinazoendeshwa na kampuni ya Bayer Life Science, wazalishaji wa mbegu bora za mahindi aina ya DEKALB (DK), tulitembelea kata ya NYAMIAGA👇

Lengo  ilikuwa ni kutoa elimu kwa wakulima kuhusu kilimo cha kisasa cha mahindi, matumizi sahihi ya mbegu bora, na mbinu bora za kilimo zinazolenga kuongeza uzalishaji, tija na kipato cha mkulima.

Tulifurahishwa na mapokezi makubwa na ushirikiano mzuri tulioupata kutoka kwa wakulima na viongozi wa serikali. Katika majadiliano, wakulima waliwasilisha changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo, ambapo suala la upatikanaji wa soko la uhakika la mahindi limeonekana kuwa changamoto kubwa inayowakatisha tamaa licha ya kuongeza uzalishaji.

Ni dhahiri kuwa juhudi za kuhamasisha matumizi ya mbegu bora na teknolojia za kisasa haziwezi kuleta matokeo chanya na endelevu bila kuwepo kwa mfumo imara wa masoko ya mazao.

Hivyo basi, tunaiomba  Serikali kupitia wizara na taasisi husika kuhakikisha:

Kuwepo kwa soko la uhakika la mahindi kwa wakulima.

Uwekaji wa bei elekezi zenye tija kwa mkulima.

Ununuzi wa mazao kwa wakati kupitia mifumo rasmi.

Kupanua fursa za masoko ya ndani na nje ya nchi.

Kuwapatia wakulima soko la uhakika ni msingi wa kuinua uchumi wa vijijini, kuongeza uzalishaji wa taifa na kuimarisha usalama wa chakula nchini.

Tunaendelea kusisitiza ushirikiano kati ya sekta binafsi, Serikali na wakulima katika kuhakikisha mapinduzi ya kilimo yanakuwa na manufaa halisi kwa mkulima na taifa kwa ujumla.

STEWART SABACE LAURENT (DA-BAYER LIFE SCIENCE-NGARA-KAGERA)

#DEKALB 
#MAFANIKIOSHAMBANI
#KILIMONIAJIRA
#NGARA

@dottobahemu_ @daniel_godfrey_chongolo @wizara_ya_kilimo @kilimohalisi @yaratanzania @bayerofficial taken in Ngara, Kagera, Tanzania by @cytewarty
2
8 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up