Instagram story viewer> @dadawaccm> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Her excellence Dkt @samia_suluhu_hassan by @dadawaccm
1
24 days ago
Download
*TUJIKUMBUSHE 👉🏿 TABIA ZA WANASIASA MAKANJANJA, MATAPELI, VIGEUGEU - NDUMILAKUWILI KAMA PETER MSIGWA* by @dadawaccm
0
a month ago
Download
*AMANI NA UTULIVU NDIO MAENDELEO YETU, WAPO WANASIASA WANAPEWA UGALI NJE YA NCHI KUJA KUHARIBU AMANI YETU - KIHONGOSI* by @dadawaccm
2
a month ago
Download
KARIBU MWENGE WA UHURU KILOSA DC @ccmtanzania @kilosadc @uvccm_kilosa @uvccm_kilosa by @dadawaccm
0
2 months ago
Download
MAJUMUISHO YA ZIARA YA MWENEZI TAIFA KATIKA MIKOA YA KILIMANJARO, MANYARA NA ARUSHA

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi amehitimisha ziara yake katika Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha kwa kutembelea wilaya tisa (9), ambapo alifanya vikao na mabalozi wa mashina, kukagua miradi ya maendeleo, kufanya mikutano ya hadhara pamoja na kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali za wananchi.

Wilaya zilizotembelewa ni:

1. Siha
2. Moshi Mjini
3. Hai
4. Hanang
5. Babati
6. Simanjiro
7. Karatu
8. Arumeru
9. Arusha

Katika ziara hiyo, Mwenezi Taifa amesisitiza mshikamano ndani ya Chama, utekelezaji wa Ilani ya CCM, uwajibikaji wa viongozi, pamoja na kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa vitendo. Ziara hiyo imeendelea kudhihirisha CCM kuwa ni chama kinachowasikiliza wananchi na kushughulikia changamoto zao kwa karibu.

MTUMISHI WA WOTE. by @dadawaccm
0
2 months ago
Download
*BILA UTULIVU HAKUNA BIASHARA,HAKUNA KULIMA,HAKUNA UTALII,HAKUNA KUENDESHA BODABODA WALA BAJAJI*

Katibu wa NEC ITIKADI UENEZI NA MAFUNZO Amewaeleza wananchi wa Wilaya ya  Karatu katika Mkutano wa Hadhara.

*KARATU - ARUSHA*

*Ziara inaendelea Leo Wilaya ya Arumeru* by @dadawaccm
0
2 months ago
Download
TUKUTANE ARUSHA!

Tarehe 04 Juni, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, anatarajia kuanza ziara yake rasmi Mkoa wa Arusha kwa kuanzia Wilaya ya Karatu.

Ziara hiyo inalenga kuimarisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM, kusikiliza na kupokea changamoto za wananchi.

Wanakaratu na wananchi wa Mkoa wa Arusha kwa ujumla mnakaribishwa kwa wingi kushiriki katika shughuli mbalimbali za ziara hii muhimu. Tujitokeze kwa pamoja kumpokea kiongozi wetu na kuendelea kujenga mshikamano, umoja na maendeleo chini ya Chama Cha Mapinduzi.

MTUMISHI WA WOTE NDUGU KENANI L KIHONGOSI

#KaziNaUtuTunasongaMbele by @dadawaccm
0
2 months ago
Download
*KUONGOZA NCHI SIO KWENDA KUNUNUA MAANDAZI UONGOZI UNAHITAJI KIONGOZI JASIRI,MZALEMDO,MCHA MUNGJ NA MADHUBUTI HIZI SIFA ZA UONGOZI MH RAIS DKT SAMIA ANAZO*

Mwenezi wa CCM TAIFA *Ndugu Kenani Laban Kihongosi* amehitimisha ziara ya kikazi Mkoa wa Kilimanjaro Wilaya ya Hai

*ZIARA INAANZA KESHO TAREHE 01.06.2026 MKOA WA MANYARA WILAYA YA HANANG* by @dadawaccm
0
2 months ago
Download
*ASANTENI SANA WANANCHI WA KILIMANJARO!*

Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, tunatoa shukrani za dhati kwa wananchi wote wa Mkoa wa Kilimanjaro kwa mapokezi makubwa, ushiriki wa hali ya juu na ari kubwa mliyoionesha katika mikutano na shughuli mbalimbali za chama. Mwitikio wenu umeonyesha imani kubwa mliyonayo kwa CCM na uongozi wake katika kusimamia maendeleo ya wananchi.

Tunawapongeza kwa kuendelea kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ambayo imeendelea kuleta mafanikio katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, miundombinu, maji, nishati na huduma za kijamii. Maendeleo yanayoonekana leo ni ushahidi wa ushirikiano mzuri kati ya serikali na wananchi.

CCM itaendelea kusimama imara kuhakikisha ahadi zote zinazotolewa kwa wananchi zinatekelezwa kwa vitendo, huku ikiendeleza misingi ya amani, umoja na maendeleo. Asanteni Kilimanjaro kwa kuendelea kuwa sehemu ya safari ya maendeleo ya Taifa letu.

MTUMISHI WA WOTE NDUGU KENANI LABAN KIHONGOSI🙏🏻

*HATUWEZI KUWA CHAMA CHA KUJIFUNGIA CHUMBANI*

*ZIARA YA MWENEZI WA CCM TAIFA KOMRED KENANI KIHONGOSI IMEENDELEA LEO MOSHI MJINI KWA KUTEMBELE MASHINA YA MABALOZI,KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO PAMOJA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI KATIKA MKUTANO WA HADHARA*

*ZIARA ITAENDELEA KESHO WILAYA YA HAI* by @dadawaccm
0
2 months ago
Download
*CHAMA CHA MAPINDUZI KIMEONYESHA TENA KUWA NI CHAMA CHA VITENDO, SI MANENO TU.*

Jana Mei 29, 2025 Mlemavu huyo alieleza kero yake Kwa Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM *Ndg KENANI LABAN KIHONGOSI* kwenye Mkutano wa hadhara. Saa 24 tu baadae Ahadi imetekelezwa. Bajaji imekabidhiwa ili aweze kujipatia Kipato.

"Rais *Mhe.Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN* alisema bajaji hii inunuliwe na muhusika apewe. CCM kikiahidi kinatenda. Leo Mlemavu huyu ana miguu yake mipya ya biashara" - Alisema Kihongosi wakati wa Kukabidhi.

Mlemavu huyo amefurahi na kusema msaada huo umebadilisha Maisha yake Sasa ataweza kujikimu bila kumtegemea mtu yeyote.

*#TabasamuLaUtu*
*#KaziNaUtuTunasongaMbele* by @dadawaccm
0
2 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up