Instagram story viewer> @dalmiamikaya> Posts
757
posts
57.5K
followers
319
following
District Commisioner Kigamboni
|Presidents’ Office| Adventist
Former DAS Tanga & Mkuranga
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Kampeni ya Usafi maeneo ya Biashara na Makazi wilaya ya kigamboni. by @dalmiamikaya
29
16 days ago
Download
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Dalmia Mikaya (@dalmiamikaya) amewataka Wananchi wa Kigamboni kujenga utamaduni wa kufanya usafi wa mara kwa mara huku akipiga marufuku ujenzi holela wa madampo na utupaji takataka hovyo.Dalmia ameyasema hayo leo Julai 24,2026 katika ziara yake ya Kampeni ya kuhamasisha usafi wa mazingira katika maeneo ya biashara na makazi Magogoni katika Kata ya Tungi.“Nawasititiza Wananchi wa Kigamboni kuhakikisha kila mmoja kwenye eneo lake anafanya usafi, leo tumepita maeneo kadhaa mfano Kata ya Tungi, Kibada na Somangila tumeona Watu wanatupa taka hovyo maeneo sio rasmi, kuna maeneo wanatumia taka kutengeneza maeneo ya madampo,”“Kuna Watu wanajenga work shop bila kufuata utaratibu kwenye maeneo yasiyo rasmi, tunataka Kigamboni iwe kwenye mpangilio safi, sio kujenga makazi na maeneo ya biashara holela, wito wangu pia usafi uwe wa mara kwa mara na mifereji isafishwe kwa wakati pia Wakandarasi wakusanye taka kwa wakati,”amesema Dalmia.#MillardAyoUPDATES by @dalmiamikaya
51
2 days ago
Download
Flashback 8 years ago SDA Mzizima 🤣🤣 by @dalmiamikaya
140
15 hours ago
Download
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Dalmia Mikaya, amepiga marufuku ujenzi wa madampo holela na workshops katika maeneo yasiyo rasmi, akisema hatua hiyo inalenga kuhakikisha wilaya hiyo inakuwa na usafi na mpangilio unaoendana na mipango ya matumizi ya ardhi.Dalmia amesema hayo Julai 24, 2026 wakati wa ziara ya kampeni ya kuhamasisha usafi wa mazingira katika maeneo ya biashara na makazi ya Magogoni, Kata ya Tungi. Amesema ofisi yake imebaini baadhi ya wananchi wamekuwa wakitupa taka ovyo na kuzitumia kutengeneza maeneo ya madampo kwa lengo la kuyatumia baadaye kwa shughuli nyingine.“Nawasisitiza wananchi wa Kigamboni kuhakikisha kila mmoja anafanya usafi kwenye eneo lake. Tumebaini watu wanatupa taka kwenye maeneo yasiyo rasmi na wanatengeneza madampo kwa ajili ya kujenga baadaye. Hili kwa Kigamboni ni marufuku kuanzia sasa,” amesisitiza Dalmia.Aidha, amewataka wananchi kuacha kujenga workshops na kuanzisha biashara katika maeneo yasiyo rasmi, akisisitiza kuwa maendeleo ya Kigamboni yanapaswa kuzingatia mipango ya matumizi bora ya ardhi ili kulinda mazingira na kuimarisha ustawi wa wananchi. by @dalmiamikaya
4
a day ago
Download
 by @dalmiamikaya
7
2 days ago
Download
Leo tumeendelea na zoezi la usafi na kuhamasisha wananchi kujali mazingira yanayo wazunguka. by @dalmiamikaya
17
2 days ago
Download
Tunaendelea na zoezi la kuhamasisha utamaduni wa kufanya usafi wa Mara kwa Mara pamoja na kuboresha miundo mbinu na vitendea kazi ili kuweka mji katika mazingira rafiki. by @dalmiamikaya
10
2 days ago
Download
📍Gezaulole - Kigamboni by @dalmiamikaya
57
3 days ago
Download
📍Vijibweni by @dalmiamikaya
10
4 days ago
Download
Ziara ya Mheshimiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Uratibu na wenye ulemavu Prof.Kabudi alipotembelea na kuzindua wodi ya kina Mama kata ya vijibweni Pongezi kwa Serikali @samia_suluhu_hassan kwa hatua kubwa ya kuboresha miundo mbinu ya afya na kuleta fedha za ujenzi wa hospitali itakayo rahisisha upatikanaji wa huduma bora na ya uhakika kwa wananchi wa Wilaya ya kigamboni. by @dalmiamikaya
9
4 days ago
Download
Grateful 🩵🩵#sisiniwaletunaosaidiwanaBwana🙏 by @dalmiamikaya
29
5 days ago
Download
Leo Tarehe 21/07/2026 Nimefungua rasmi mafunzo ya vijana wa Jeshi la akiba na kuwasisitiza vijana wanaopatiwa mafunzo ya Jeshi la Akiba (Mgambo) kuwa wazalendo, wenye nidhamu na kuzingatia mafunzo wanayopatiwa ili yaweze kuwajengea uwezo wa kushiriki kikamilifu katika kuimarisha ulinzi na usalama wa wananchi na mali by @dalmiamikaya
35
5 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up