Instagram story viewer> @damiso_official> Posts
859
posts
4.1K
followers
6
following
๐Ž๐Ÿ๐Ÿ๐ข๐œ๐ข๐š๐ฅ ๐Œ๐š๐ง๐š๐ ๐ž๐ ๐›๐ฒ| ๐Œ๐ข๐ง๐ข๐ฌ๐ญ๐ซ๐ฒ ๐จ๐Ÿ ๐ˆ๐ง๐Ÿ๐จ๐ซ๐ฆ๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐š๐ง๐ ๐๐ฎ๐›๐ฅ๐ข๐œ๐ข๐ญ๐ฒ
๐Ÿ“š๐Ÿ“’๐Ÿ…๐Ÿ†
๐‹๐ž๐š๐๐ข๐ง๐  ๐‚๐ž๐ง๐ญ๐ซ๐ž ๐ข๐ง ๐Œ๐š๐ซ๐ข๐ญ๐ข๐ฆ๐ž ๐„๐๐ฎ๐œ๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐š๐ง๐ ๐‚๐จ๐ง๐ฌ๐ฎ๐ฅ๐ญ๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง
๐ˆ๐ง๐ฌ๐ญ๐ข๐ญ๐ฎ๐ญ๐ž ๐š๐œ๐œ: @dmi_tanzania
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
๐’๐‘ฐ๐‘จ๐‘น๐‘จ ๐’€๐‘จ ๐‘บ๐‘ฌ๐‘น๐‘ฐ๐‘ฒ๐‘จ๐‘ณ๐‘ฐ ๐’€๐‘จ ๐‘พ๐‘จ๐‘ต๐‘จ๐‘ญ๐‘ผ๐‘ต๐’๐‘ฐ ๐‘ช๐‘ฏ๐‘ผ๐‘ถ ๐‘ช๐‘ฏ๐‘จ ๐‘ฉ๐‘จ๐‘ฏ๐‘จ๐‘น๐‘ฐ ๐‘ซ๐‘จ๐‘น ๐‘ฌ๐‘บ ๐‘บ๐‘จ๐‘ณ๐‘จ๐‘จ๐‘ด (๐‘ซ๐‘จ๐‘ด๐‘ฐ๐‘บ๐‘ถ) ๐‘ฉ๐‘ผ๐‘ต๐‘ฎ๐‘ฌ๐‘ต๐‘ฐ, ๐‘ซ๐‘ถ๐‘ซ๐‘ถ๐‘ด๐‘จ.Serikali ya Wanafunzi Chuo Cha Bahari Dar es Salaam pamoja na baadhi ya wawakilishi wa wanafunzi walifanya ziara ya kulitembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mnamo tarehe 09/04/2025 kupitia mwaliko wa Mhe. Naibu Spika MUSSA AZZAN ZUNGU ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ilala, Dar es Salaam.Kupitia Ziara hii ambayo iliongozwa na Mhe. Rais MICKIDADI MICKIDADI KHALIFAN wawakilishi wa wanafunzi waliweza kulifahamu bunge kiundani kuanzia historia, muundo, taratibu pamoja na uendeshwaji wake.Shukrani ziende kwa Mhe. Naibu Spika MUSSA AZZAN ZUNGU kwa kutupa mwaliko wa kuhudhuria Bunge Tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Pia Shukrani ziende kwa Mhe. Rais Mama SAMIA SULUHU HASSAN kwa mengi mazuri anayoyafanya katika kuhakikisha nchi yetu inapata maendeleo katika kila sekta ikiwemo sekta yetu ya Uchukuzi.@dmi_tanzania @bunge.tanzania @zungumussa ๐ŸŽฅ Courtesy of @tbc_online by @damiso_official
7
a year ago
Download
Kutoka Maktaba โœ๐ŸฝFahamu kiufupi kuhusu Chuo Cha Bahari Dar es Salaam Maritime Institute kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Chuo [ Dr. Tumaini S. Gurumo ]Courtesy : (@tbc_online) ๐ŸŽฅ@elizabethmrambaofficial by @damiso_official
9
4 years ago
Download
โœ๐Ÿฝ Kutoka Maktaba- Kaimu Mkuu wa Chuo [ Dr. Tumaini S. Gurumo ] akieleza kuhusu Chuo Cha Bahari Dar es Salaam (DMI).-WELCOME DMI โžก The leading Centre in Maritime and education, training, research consultancyCourtesy : (@magicfm_tanzania ) ๐ŸŽฅ by @damiso_official
1
4 years ago
Download
๐‘๐„๐€๐ƒ๐˜ ๐…๐Ž๐‘ ๐“๐‡๐„ ๐๐„๐๐’ ๐ƒ๐Ž๐–๐ ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ” Serikali ya Wanafunzi Chuo Cha Bahari Dar es Salaam (๐ƒ๐€๐Œ๐ˆ๐’๐Ž) inachukua nafasi hii kukuandaa mwanafunzi wa Chuo Cha Bahari Dar es Salaam (๐ƒ๐Œ๐ˆ) uwepo wa ๐ƒ๐€๐Œ๐ˆ๐’๐Ž ๐๐„๐๐’ ๐ƒ๐Ž๐–๐ ๐๐€๐‘๐“๐˜ ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ”. Siku ya Ijumaa ya Tarehe 31 Julai 2026 usipange kukosa. ๐€๐‹๐‹ ๐Ž๐“๐‡๐„๐‘ ๐ƒ๐„๐“๐€๐ˆ๐‹๐’ ๐“๐Ž ๐๐„ ๐€๐๐๐Ž๐”๐๐‚๐„๐ƒ ๐’๐Ž๐Ž๐. by @damiso_official
5
19 hours ago
Download
MPIGIE KURA KOCHA LA MABAHARIA Godfrey Leonard Chapa KUTOKA @damiso_official KAMA KOCHA BORA WA MWEZI KWENYE @unisokaleaguetz LINK IPO KWENYE BIO HAPO JUU by @damiso_official
11
2 days ago
Download
โ€‹TUNAWATAKIA KILA LA HERI KATIKA MITIHANIโ€‹Serikali ya Wanafunzi Chuo cha bahari Dar es salaam (DAMISO) inapenda kuwatakia wanafunzi wote wa DMI kila la heri na mafanikio mema katika kipindi hiki cha mitihani. Kipindi hiki ni hatua muhimu katika safari yetu ya elimu, na ni fursa ya kuonesha juhudi, maarifa na bidii mliyowekeza katika masomo yenu.โ€‹Tuna imani kuwa mtapitia mitihani yenu kwa utulivu na umakini mkubwa, na hatimaye kupata matokeo mazuri yatakayowawezesha kusonga mbele katika malengo yenu ya kielimu na kitaaluma. DAMISO inaendelea kuwatakia mafanikio makubwa na maendeleo mema katika juhudi zenu za kielimu.โ€‹Kila la heri katika mitihani yenu. Mafanikio yawe upande wenu.โ€‹ VISION.INTEGRITY.EXELLENCE #DAMISO 2026/2027 by @damiso_official
2
7 days ago
Download
Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) @dmi_tanzania kimewahimiza vijana na wanawake, kujiunga na masomo ya sekta ya bahari kutokana na kuendelea kuongezeka kwa mahitaji ya wataalamu wa ubaharia duniani, huku nchi za Mashariki ya Kati zikitajwa kuwa miongoni mwa masoko makubwa ya ajira.Wito huo umetolewa na mwalimu wa DMI mafunzo kwa vitendo, Master Cary Mwandambo, ambaye amesema wahitimu wa chuo hicho wana nafasi kubwa za kuajiriwa ndani na nje ya nchi kutokana na ubora wa mafunzo yanayotolewa yanayokidhi viwango vya kimataifa.Huku Mkufunzi Msaidizi na baharia, Mhandisi Winfrida Ngallu, amewahamasisha wanawake kuondoa hofu na mitazamo hasi kuhusu sekta ya bahari, akisema taaluma hiyo si ya wanaume pekee bali wanawake pia wanafanya vizuri na kupata ajira kwa urahisi.SOURCE@bintiwaamaniFollow us @dmi_celebritiestz by @damiso_official
12
9 days ago
Download
UNISOKA LEAGUE 2026/2027๐Ÿ’™ Asanteni sana mashabiki wa DMI! ๐Ÿ’™Tunawashukuru kwa sapoti yenu kubwa na isiyoyumba kwa kuwapa nguvu wachezaji wetu, licha ya mabadiliko ya uwanja kutoka TIA Stadium kwenda Ardhi Stadium. Hamkukata tamaa wala kupunguza hamasa yenu.Hamasa yenu ndiyo imekuwa chachu ya mapambano ya wachezaji wetu uwanjani. Ushindi huu ni wa kila mmoja wenu ambaye aliendelea kusimama nasi.Asanteni kwa kuwa sehemu ya familia ya DMI. Ushindi huu ni wenu! ๐Ÿ’™โšฝTHE BLUE SOLDIERS ๐Ÿ”ต by @damiso_official
3
10 days ago
Download
*๐“๐€๐๐†๐€๐™๐Ž*Timu yetu ya Chuo Cha Bahari Dar es Salaam leo hii inaanza rasmi mashindano ya UNISOKA yanayokutanisha vyuo vyote vya mkoa wa Dar es Salaam. Mara baada ya kubeba ๐”๐ง๐ข ๐‚๐ก๐š๐ฆ๐ฉ๐ข๐จ๐ง๐ฌ, hii ni zamu ya Kubeba UNISOKA 2026.๐Ÿ† UNISOKA 2026โšฝ DSJ vs DMI๐Ÿ“† WEDNESDAY, 15th JULY, 2026โฐ 4:00hrs (10.00 Jioni) ๐ŸŸ๏ธ TIA GROUND ๐Ÿ“Œ FREE TRANSPORT GO AND RETURN Usikose, karibu tuipe nguvu timu yetu katika mashindano haya. Imeandaliwa naWizara ya Michezo - DAMISO 2026/27 by @damiso_official
1
11 days ago
Download
Kamishna wa maadili, uongozi na uzalendo Ndgu; Shadrack M. Charles @shadrack_m_charles leo hii ametembelea chuo cha Daresalaam Marine institute (DMI) @dmi_tanzania Amesema kuwa,Changamoto za wanafunzi zinahitaji kusikilizwa kwa makini na kushughulikiwa kwa uwajibikaji.Hiyo ndiyo dhamira ya TAHLISO kupitia Kamisheni ya Maadili, Uongozi na Uzalendo. Tunaendelea kufika karibu na wanafunzi, kusikiliza hoja zao, kuzijadili kwa uwazi na kushirikiana na mamlaka husika ili kutafuta suluhisho la kudumu, huku tukikuza utamaduni wa maadili, uongozi bora na uzalendo.Aliendelea kwa kusema, Tunaamini kuwa mwanafunzi anayesikilizwa hujengewa mazingira bora ya kujifunza, kuongoza na kulitumikia taifa kwa uadilifu. Hivyo, safari yetu itaendelea kuwa ya kusikiliza, kuunganisha na kutatua changamoto kwa maslahi ya wanafunzi na maendeleo ya elimu nchini.โ€œTunajenga viongozi kwa kusikiliza, tunajenga taifa kwa maadili.โ€ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ#TAHLISO #Maadili #Uongozi #Uzalendo #StudentLeadership Vijana Elimu Tanzania. by @damiso_official
17
12 days ago
Download
๐ŸŽ‰ ๐‡๐€๐๐๐˜ ๐๐ˆ๐‘๐“๐‡๐ƒ๐€๐˜ ๐“๐Ž ๐Ž๐”๐‘ ๐•๐ˆ๐‚๐„ ๐๐‘๐„๐’๐ˆ๐ƒ๐„๐๐“! ๐ŸŽ‰Leo tunasherehekea siku ya kuzaliwa ya Makamu wa Rais wa Serikali ya Wanafunzi DMI 2025/2026.Kwa niaba ya DMI CELEBRITIES, tunakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa. Tunakuombea afya njema, hekima, nguvu na mafanikio katika maisha yako binafsi, masomo, pamoja na majukumu yako ya kiuongozi.Asante kwa kujitoa kulitumikia jamii ya wanafunzi wa Dar es Salaam Maritime Institute kwa uadilifu, maono na uzalendo. Mungu azidi kukuongoza na kukubariki katika kila hatua ya safari yako.@officialsalim997Happy Birthday, Vice President! ๐ŸŽ‚๐ŸŽˆKeep Leading. Keep Inspiring.Pride of DMI, One Love. ๐Ÿ’™โš“Follow us @dmi_celebritiestz#HappyBirthday #DMI #StudentLeadership #DMICelebrities #PrideOfDMI OneLove by @damiso_official
9
12 days ago
Download
UGENI KUTOKA TAHLISO |13/07/2026Siku ya jumatatu tarehe 13 Julai 2026 ulifanyika mjadala Kati ya kamisheni ya maadili, uongozi na uzalendo TAHLISO ikiongozwa na kamishna wa maadili mheshimiwa SHADRACK M CHARLES na naibu wake mheshimiwa ZAKARIA MPAGAMA kwa kushirikiana na serikali ya wanafunzi chuo cha Bahari Dar es Salaam (DAMISO) ikiongozwa na Mheshiwa Raisi EDMOND LAYMOND MTUNGI akiwa pamoja na viongozi wake kama vile makamu wa raisi,waziri mkuu, spika wa bunge na viongozi wengineMjadala huo ulikuwa na lengo la kuimarisha maadili ya uongozi ,kujenga uzalendo na kuwahamasisha Vijana kuwa sehemu ya mabadiliko chanya katika Jamii na TaifaKamisheni ya maadili pia ilipata fursa ya kutembelea maaneo mbalimbali ndani ya chuo cha Bahar Dar es Salaam (DMI) kama vile ofisi ya mlezi wa wanafunzi, sehemu za mafunzo na nyinginezoKiongozi bora si yule mwenye mamlaka pekee ,bali ni yule anayewaongoza wengine kwa mfano wa maadili na uzalendo na uwajibikaji by @damiso_official
3
12 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up